Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Naufatilia Uzi huu kinagaubaga sana ilanaweza changia walao kidogo,,
Kwanza nikubali hizi power zipo ila kinachofanya wengi tuzipoteze ni madhambi hasa ya zinaa(changanya changanya ya wanawake)
 
hii tunayohangaika nayo koote ni imaan basi!yesu aliwaambia wanafunzi wake mngekua japo na chembe ya iimaan sawa na kipunje cha mchanga basi mngeiamuru mlima uhame ulipo na ungetiii.sasa kila moja anaimani yake ya kuamini kwa jinsi apendavyo ila kwa siance mzungu ndo na wengineo wamekuja na style tofauti ila njia ni moja tu iimaan kuweza kufanya yote!nadhani tuache kuwaambia watu kuna sijui hivi sijui vile bali ni iimaan basi.
 
sure kaka,wanadanganyana..bible imeeleza yotee kabisa! Imani chanzo chake kusikia na kusikia neno la mungu
 
Naufatilia Uzi huu kinagaubaga sana ilanaweza changia walao kidogo,,
Kwanza nikubali hizi power zipo ila kinachofanya wengi tuzipoteze ni madhambi hasa ya zinaa(changanya changanya ya wanawake)
hahahaha iiman ndo kila kitu usihangaike rudi kwa mola wako na haya yote utayaona ukihitaji[emoji2]
 
Hii thread ni nzuri sana ikiwa hujaegemea upande wowote wa dini....!!

Anayejua zaidi kuhusiana na temple zao na kama kuna ma-group ya whatsapp ya kuelekezana tufahamishane zaidi...!
 
Hili soma itabidi nilifatilie kwa umakini sana
Mimi kama miaka 5 au 6 nilikaa na mdogo wangu tunakunywa chai nilimuangalia tu nikaona matukio mengi sana atakayo kutana nayo alikuwa anaenda fua mtoni ila nilishindwa kumwambia baadae ilibidi nimwambie mama na aligombeza sana kwann sikusema mapema namalizia kumsimulia mama mdogo wangu akaingia na akasimulia kama nilivyomsimulia mama
Na ilifikia kipindi kama kuna kitu kinataka kutokea roho inaniuma kupita maelezo mpaka hilo tukio likishatokea narudia hali ya kawaida ila siku hizi sioni tena hali hiyo
 
Mimi naona pia sisi tunaojifunza kupitia hata kina Pasco, pia tujitahidi kutafuta vitabu ili kuelewa zaidi, na sio kutegemea walimu wetu kina Pasco, Mshana wawe wanaleta kila kitu. Ni kweli mkuu haya masomo ni mazur sana ukiyazingatia na kuyapa muda
 
Na ndipo mtihani ulipo, maana watu wengi tunapenda njia ya moat mkato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…