Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

kamwe usijidanganye rafiki, kuna spirt za mababu walokufa huwa znafutilia sana koo zetu, roho hizi hutenda kazi kama kukuotesha unachimba mzizi wa mti flani ndo dawa na ukifanya hivyo inakuwa dawa kweli...sprite hizo ni mizimu kwa lugha nyingine , ni roho na ikumbukwe mwili hufa ila roho haifi...roho ambazo wamiliki wazo hawakutenda mema hukosa mahali pa kustarehe baada ya mtu kufa hali ambayo hupelekea kuwaingia ndugu hasa ukoo wake i mean watoto,wajukuu,vitukuu,vilembwekeze n.k....hizi ndo huwaletea watu fikra flani flani hivi, k.v eneo flani unahisi umewahi kuwepo kabisa ni roho [mizim] hizo ndo hufanya hayo..YESU ikumbukwe alisema ntawaachia roho mtakatifu ambaye atawafundisha kweli yote, huyo ndo roho ambaye anatujuza kweli yote kabisa ikiwemo hii ya kuzitambua roho hizi [mizim]...rafiki mambo haya usiyaangalie kimtazamo wako utapotea kabisa, ikumbukwe after the death mambo haya ndo sehem ya maisha yetu asee,hivyo mwombe sana MUNGU ndo muumbaji hata mapepo,mizimu,majini na shetani mwenyewe analitambua hili ,yeye atakusaidia na kukutoa ktk haya..

......usipo niamini haya niyasemayo muamuni YESU bila kusita atakusaidia na ww kama alivyonisaidia na mimi ...devil is the liar so be carefully kabisa..samahani km nmekukosea asee
 
muombe sana MUUMBA akujuze juu ya roho hiyo km ni mizim au ni MUNGU ndo anafanya haya....lkn km ulivyosema hutokea unapo tubu na kuanza kuomba sana you never no,pengine ni MUNGU anataka akufanyie jambo flani km huduma but hili lipo kama unaishi maisha matakatifu [haki]...
 
kuna watu anamuangalia mbuzi machoni mpaka mbuzi anakufa au anaangalia kitu mpaka kinasogea
kaka nmeona umeandika ulipiga hadi coarse iitwayo sattanism,lkn kwa maelezo yako hii ilisababishwa na desire yako ya kutaka kujua mambo haya,, ni kama mtoa post alivyo na mtazamo wake,satan ni mjanja sana na hucheza na mind zetu,ndo maana YESU KRISTO alionya akisema 'iweni wajanja km nyoka [satan] na wapole km hua'
[njiwa].. shetan amefanikiwa sana kuwahadaa watu kupitia mind zao asee,,lkn fikilia ni kwa nn watu hawa walifundisha hadi sattanism??? na yakapingana na imani yako?? nadhani yalianza km fikra za mtoa post,lkn kumbuka nguzu hizi zmekuwa zikifail likitajwa jina la YESU na wenye imani, SO TUWENI MAKINI NA MIND ZETU ZIUFIKILIE UFALME WA MUNGU... fikilia pia n kwa nn ni rahisi sana mtu kusema ameweza jambo flani kwa nguvu za MUNGU??... Na hawasemi ni shetani kaniwezesha hata km waliomba mashetani yawasaidie?? hapo ndo ujue njia ya kweli ni kuamini nguvu za KIMUNGU na si kujiaminisha km mtoa mada anavyodhania!!!!.
 
sawa kaka ila nyie walokole hamna shida kwani mpo kama kondoo siku mtajua jamaa zenu kumbe wanatumia nguvu za giza pia sijui itakuwaje
 
Kuwa positive na jaribu usisali sana maana kuna nguvu mpya inataka kukufundisha vitu vipya sio kama ulivyozoe na kufundishwa na wazazi au society!
Acha dhambi kama unavyodai lakini jiachie kwa nafsi yako ya ndani inavyo kutuma!
 
sawa kaka ila nyie walokole hamna shida kwani mpo kama kondoo siku mtajua jamaa zenu kumbe wanatumia nguvu za giza pia sijui itakuwaje
Hapo ndipo inspotisha! Unaenda kwa mkuu wa dini akuombee kumbe mwizi wa nyota!
 
sawa kaka ila nyie walokole hamna shida kwani mpo kama kondoo siku mtajua jamaa zenu kumbe wanatumia nguvu za giza pia sijui itakuwaje
kaka mm mwenyewe n mhubiri na YESU kanifanyia mengi sasa mm binafsi ikiwa n pamoja na kuwaumbua wachawi na wao kunifuata na kunilaum nawahalibia mambo yao..so mambo haya sijaona kwa wachungaj bali n mm mwenyewe nikitumia jina la YESU tu bila kingine
 
Daa mimi kuna jamaa kani dhulumu kama 280k iv anae weza nisaidi plz uyu jamaa arudishe hela yangu [emoji27]
 
POint on fact huyu mtoa mada ajasoma bibilia kakulupuka bible ina sema nyakati za mwisho ni nyakati za hatari kutaongezeka maarifa sana hii ni quote from daniel lakini pia wewe mtoa mada kasome 1timotheo 4:1-3
 
Daa mimi kuna jamaa kani dhulumu kama 280k iv anae weza nisaidi plz uyu jamaa arudishe hela yangu [emoji27]
hahahaa! according to mtoa post unazo nguvu ukijiamin na kujua kuzitumia just apply ili uone mtoa post was posted nothing
 
Nyenyele inaonesha wazi umeegemea kwenye kupinga tuu huna point ya msingi zaidi ya kupinga tuu hum kuna wakristo weng Sana lkn wanasubili waone mwishowe itakuaje ndipo waanze kuleta hoja lkn ww na kundi lako LA watu watatu mnataka kuvuluga mjadalaa.iv kwan? hakuna njia ya kuwaondoa hawa watu hum
 
Uzi wa mwaka gani huu? It seems you have an agenda, haya Sena tukusikie
 
share hivo vitabu mkuu...!!
 
Pasco,
Hongera kwa kutia changamoto kwenye jamii yetu. Hii elimu si popular kwenye jamii yetu, ndio maana wengi hawakuelewi. Mwanzoni wakati naanza kufuatilia mambo ya POWERS nilichukua sana taadhari nikidhani ni mambo hatari; lkn HATIMAYE nikaja baini SI HATARI KIVILE ingawa NI HATARI to some extent hasa kwenye mambo kama Aura transportation au mambo ya multilocation, mtu asipokuwa na mkufunzi aweza kujikuta kwenye brain damage, paralysis au hata death!

Lakini pia mtu kuelewa power iliyo active ndani yake ni vyema akafundishwa basically khs mambo ya 'power channeling wheels' maarufu 'chakra' na jinsi ya kuzi-activate ili ziwe active na kuripua hizo inner energies ambazo wewe unaita power within.

Nashauri ukipata nafasi jaribu kufundisha kwanza mambo haya kabla watu hawajaanza ku-practice, vinginevyo itajaleta madhara kwa baadhi na lawama zote zitakujia wewe.

Elimu uliyoachiliwa wewe ni MUHIMU and it works, lkn kwa beginners HAIWEZI kuwasaidia sana.


Ni mawazo yangu.

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…