Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Masomo ni mazuri sana haya ila watu hawataki kusoma wanataka kukaririshwa yale tu waliyoambiwa kuwa ndiyo sahihi tu!
 
Telepathy in the classical sense means that you can read other people’s minds. It means that you can communicate through thought alone, and that you’re deepest most innermost thoughts and insecurities are on display because others can read your mind. This may manifest itself in the notion that the TISS or the government has planted a chip in your head, or that you somehow have gained magical powers because you’re a prophet or a magician. Either way, this set of symptoms is particularly insidious in the moment.
Most pscychistrists consider telepathy as a symptom of schizophrenia just like delusions and paranoia
 
Thanks for your additional explanations
 
Mkuu Pasco! hizi nguvu kuna kipindi huwa zinaisha au kupungua? au ni za kudumu? na pia mtu anaweza kurithishwa kama uchawi?
 
Mkuu Pasco! hizi nguvu kuna kipindi huwa zinaisha au kupungua? au ni za kudumu? na pia mtu anaweza kurithishwa kama uchawi?
Zinaisha kama mtu atashindwa kutekeleza masharti. Na zinaibuka iwapo mtu anazihitaji na kuzifanyia utaratibu ili zianze kufanya kazi.
Kuhusu mambo ya uchawi ebu waje walimu wetu waweke mambo sawa
 
Mkuu Pasco! hizi nguvu kuna kipindi huwa zinaisha au kupungua? au ni za kudumu? na pia mtu anaweza kurithishwa kama uchawi?
Kila mtu anazaliwa nazo, ila kuna wengine ziko well defined, na kuna wengine lazima ziamshwe. Kwa kadri mtu anavyokuwa bila kutumika, zinapotea.

Mfano huwezi amini, mimi nawakumbuka wanafunzi niliosoma nao vidudu, kwa majina yote mawili, hivyo nikutana nao nawakumbusha, halafu mimi huyo huyo, siwakumbuki wanafunzi niliomaliza nao UDSM.

Hizi nguvu mtu hawezi kurithishwa kama uchawi kwasababu kila mtu ana zake. Kitu kinachoweza kufanyika, ni mtu kumfundisha mtu mwingine namna ya kuzitumia.

Wale wahubiri wote wa miujiza, wanachofanya ni kukufungulia nguvu zako zikufanyie miujiza kwa jina la Yesu. Kinachofungua ni imani, ukiamini tuu, hivyo kinachoponya ni imani yako.

Tembelea hapa

"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani!. -Kila Mtu Anazo! - JamiiForums
P.
 
Hiyo ni kwa sababu utotoni ulikuwa bado uko fresh kwenye mind .. sasa huko chuoni tayari ulishachanganya damu yako na scubbush - unategemea nini?
 
Pili nini tofauti ya telepathic powet na psychiatric delusions ambazo wagonjwa wengi wa akili wanayo mathalani schizophrenia?
Telepathy ni mambo ya parapsychology, schizophrenia ni mambo ya psychiatry, ila usichanganye parapsychology, na yale mambo ya hypnotism, yaani longo longo au mazingaombwe, kwenye parapsychology hakuna delusions, ila watu wenye psychic powers, wanaweza kufanya utepale na mind za watu, kwa kuwafanyia kuwa kwenye the highest state of mind suggestibility, hivyo unakuwa umekabidhi mind yako kwa anayecheza nayo, na hiki ndicho wanachofanyiwa waumini wengi kwenye makanisa ya wokovu.

P.
 
Sante Dkt.Pasko
 
Daaaaaah ais aisee! Mkuu pasco kwa mara ya kwanza nilimuona mume wangu akiwa kijana nikasema huyu kaka ndio nimpeleke nyumbani kumtambulisha!! Aiseee nikapotezea, yeye akaanza kuja kwa kasi kwangu nilimkataa kbs ni nikawaambia rafiki zangu yani Mimi simtaki kabisa!! Tulipitia changamoto nyingi ila tumeoana na tunaishi vizuri.


Mara ya pili ilikuwa destruction Dada aliniuzi sana kwa kunyanyasa mtoto mmoja hivi nikamnenea kuwa atazaa na hatoolewa na mwanae atapitia hayahaya!! Miezi michache baadae akpata mimba jamaa akaingia mitini!

Ya tatu niliwaangalia wanawake wajawazito nikasema mhhh watazaa watoto Ila kuna atakaekufa!!!!! Lahaula
Mtoto mmoja akafia tumboni kwa mamake!!

Siku za karibuni wish zangu nzuri zuri na za maana positive oriented hazitokei yani nashtukia tukio kabla halijatokea! Nifanyeje hivi vitu positive vitokee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…