Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Telepathy in the classical sense means that you can read other people’s minds. It means that you can communicate through thought alone, and that you’re deepest most innermost thoughts and insecurities are on display because others can read your mind. This may manifest itself in the notion that the TISS or the government has planted a chip in your head, or that you somehow have gained magical powers because you’re a prophet or a magician. Either way, this set of symptoms is particularly insidious in the moment.Mkuu Mzee, kwanza isiniite Dkt,
Pili telepathy ni communication through mind. Ili umnase mtu kwa mvuto lazima kwanza akuone, ndipo avutike, mtambulishane, mzungumze, mzoeane, mpange, ndipo mtekeleze!.
Lakini kutumia telepathy, hakuna kuongea lolote, unamtazama mtu, macho yakigongana tuu, unatoka, anakufuata, mnamalizana, bila hata kupanga, na mkimaliza, mtu anaona noma.
P
Thanks for your additional explanationsTelepathy in the classical sense means that you can read other people’s minds. It means that you can communicate through thought alone, and that you’re deepest most innermost thoughts and insecurities are on display because others can read your mind. This may manifest itself in the notion that the TISS or the government has planted a chip in your head, or that you somehow have gained magical powers because you’re a prophet or a magician. Either way, this set of symptoms is particularly insidious in the moment.
Most pscychistrists consider telepathy as a symptom of schizophrenia just like delusions and paranoia
Mkuu Pasco! hizi nguvu kuna kipindi huwa zinaisha au kupungua? au ni za kudumu? na pia mtu anaweza kurithishwa kama uchawi?Mkuu Mzee, kwanza isiniite Dkt,
Pili telepathy ni communication through mind. Ili umnase mtu kwa mvuto lazima kwanza akuone, ndipo avutike, mtambulishane, mzungumze, mzoeane, mpange, ndipo mtekeleze!.
Lakini kutumia telepathy, hakuna kuongea lolote, unamtazama mtu, macho yakigongana tuu, unatoka, anakufuata, mnamalizana, bila hata kupanga, na mkimaliza, mtu anaona noma.
P
Zinaisha kama mtu atashindwa kutekeleza masharti. Na zinaibuka iwapo mtu anazihitaji na kuzifanyia utaratibu ili zianze kufanya kazi.Mkuu Pasco! hizi nguvu kuna kipindi huwa zinaisha au kupungua? au ni za kudumu? na pia mtu anaweza kurithishwa kama uchawi?
Kila mtu anazaliwa nazo, ila kuna wengine ziko well defined, na kuna wengine lazima ziamshwe. Kwa kadri mtu anavyokuwa bila kutumika, zinapotea.Mkuu Pasco! hizi nguvu kuna kipindi huwa zinaisha au kupungua? au ni za kudumu? na pia mtu anaweza kurithishwa kama uchawi?
Hiyo ni kwa sababu utotoni ulikuwa bado uko fresh kwenye mind .. sasa huko chuoni tayari ulishachanganya damu yako na scubbush - unategemea nini?Kila mtu anazaliwa nazo, ila kuna wengine ziko well defined, na kuna wengine lazima ziamshwe. Kwa kadri mtu anavyokuwa bila kutumika, zinapotea.
Mfano huwezi amini, mimi nawakumbuka wanafunzi niliosoma nao vidudu, kwa majina yote mawili, hivyo nikutana nao nawakumbusha, halafu mimi huyo huyo, siwakumbuki wanafunzi niliomaliza nao UDSM.
P.
Telepathy ni mambo ya parapsychology, schizophrenia ni mambo ya psychiatry, ila usichanganye parapsychology, na yale mambo ya hypnotism, yaani longo longo au mazingaombwe, kwenye parapsychology hakuna delusions, ila watu wenye psychic powers, wanaweza kufanya utepale na mind za watu, kwa kuwafanyia kuwa kwenye the highest state of mind suggestibility, hivyo unakuwa umekabidhi mind yako kwa anayecheza nayo, na hiki ndicho wanachofanyiwa waumini wengi kwenye makanisa ya wokovu.Pili nini tofauti ya telepathic powet na psychiatric delusions ambazo wagonjwa wengi wa akili wanayo mathalani schizophrenia?
Sante Dkt.PaskoTelepathy ni mambo ya parapsychology, schizophrenia ni mambo ya psychiatry, ila usichanganye parapsychology, na yale mambo ya hypnotism, yaani longo longo au mazingaombwe, kwenye parapsychology hakuna delusions, ila watu wenye psychic powers, wanaweza kufanya utepale na mind za watu, kwa kuwafanyia kuwa kwenye the highest state of mind suggestibility, hivyo unakuwa umekabidhi mind yako kwa anayecheza nayo, na hiki ndicho wanachofanyiwa waumini wengi kwenye makanisa ya wokovu.
P.
Waliozaliwa kuanzia 2015 kuna uwezekano wachache wakafika 2115Wazungu wajinga sana walahiii...
Mwaka 2115 nani atakuepo sasa..
Hakuna powers zozote za kuongeza, powers zote unazaliwa nazo, kinachofanyika ni kuzifungua tuu na kuziimarisha, wengine zimefunguka zenyewe, na wengine lazima zifunguliwe kupitia sala, maombi, mazoezi na meditationVipi unaweza kuitengeneza ambayo hujazaliwa nayo?
Hazina kikomo, you can do anything.Hizo power kikomo chake ni kipi au unaweza kufanya lolote maadamu unajua ni jinsi ya kutumia?
aisee! Mkuu pasco kwa mara ya kwanza nilimuona mume wangu akiwa kijana nikasema huyu kaka ndio nimpeleke nyumbani kumtambulisha!! Aiseee nikapotezea, yeye akaanza kuja kwa kasi kwangu nilimkataa kbs ni nikawaambia rafiki zangu yani Mimi simtaki kabisa!! Tulipitia changamoto nyingi ila tumeoana na tunaishi vizuri.Mkuu mwakibete, kwanza hongera sana!, you have the powers!. Kinachotakiwa sasa ni namna ya kuzidevep na kuzi channel uanze kuzitumia positively to make things happen!. Hilo la kuruka kwenye ndoto ni kuwa watu wabaya hufanya mambo yao usiku, wachawi huloga usiku, wanga huwanga usiku, etc, hizo unazoziona kama ndoto, ni uwezo wa kuwashutukia na hawakupati!, hawakuwezi!.
Hilo la la kuwakuta watu na vitu kabla ni
Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
Kukumbuka mambo yaliyotokea zamani ni
- Remote viewing - Gathering of information at a distance.
- Retrocognition - Perception of past events.
- Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the future.
Kutokana na huyo shangazi yako kukuhitaji, ile statement ya "hotokufa mpaka nimuone", wewe bila kujijua, uli stop her death!. Hizi ni powers kubwa sana na hapo uliweza kuzi invoke kwa sababu you had no way, unahitaji kumuona shangazi ila huwezi kuacha mitihani!, the powers from within, zika open up, zikamzuia shangazi asife mpaka ulikenda, na ulipomuona, wewe bila kujijua, uka let it go, na shangazi alipokuona naye she let it go, the she was gone!, laiti ungelijue by then kuwa you have such powers, ungeweza kuzitumia sio kumuacha shangazi afe, bali hata kumponya!, unless alikuwa too old, and she needed to rest!. Powers to delay death ni sawa na powers to stop death, ni powers to perform miracles!.
Now that you know you have powers, nenda kwenye kumbukumbu, watu waliokuudhi hadi ukaumia, nini huwa kinawakuta!. Sometimes watu sio tuu wana powers za kuzuia mambo makubwa, wengine wana destructive powers bila kujijua!. Inawezekanu mtu akikuudhi sana ukakasirika, ukiumia na kulia machozi ya ndani kwa ndani!, linamkuta la kumkuta!.
Hapo ni Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.
Huna haja ya kumuomba Mungu kukuepusha, bali kukuongaza, nguvu hizi zijidhihirishe wazi, uzitumie more positively more profitably zaidi ya kupambana tuu na wanga na wachawi, bali kuwatokomeza na hata ikibidi kutoa mapepo kwa wengine, kuponya, kuzuia vifo na kuleta mafanikio.
Hili la kusoma tuu vitabu kuwa makini sana!, kuna vitabu sio tuu vinafundisha kutumia nguvu hizi vuzuri, vingine vinapoteza, ikiwemo matumizi mabaya kuusaka utajiri!.
Pasco.
Ni Ushetani na Ushirikina mtupu.Hizo Nyota huwa Naona ni ushetani tu.