Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Sorry Mate Sio Nakupinga Ila UKWELI Ni Kwamba Lucifer Hakuwa Malaika Alikuwa Ni Jini.. Malaika Wa Mungu Hawapingi Kile Anachosema Mungu Hawakupewa FREE WILLS wao asemacho mungu ndio hicho hicho kwa.. Lucifer Ana Material Ya Moto Ndio Maana Aliweza Kupinga Maana Alipewa FREE WILLS....

Source Ya Mungu Ni Nyingine na anaijua yeye tu Mkuu..

Lucifer Hakujiumba Aliumbwa na mungu kwa hiyo usiseme mwanzo wa mungu ndio wa lucifer....

kwamba wanazidiana nguvu hiyo haipo mungu ni alpha na omega kama ulivyonena sasa kama ni alpha na omega means vingine vyote vipo chini yake tena havimkaribii hata robo.....

"Rakims"

Daah we jamaaa unajua had unakera nashukuru kumfahamisha kijana ulichosema n kweli Lucifer alkuwa jini aliyeumbwa na moto hicho kiburi chake cha kukataa kumsujudia baba yetu Adam kwakuwa yeye anauwezo wa kumunguza sekunde tu na ukweli malaika wanatiii hawana ujuzi wowwte juu ya mola wao ahsante sana yeye Alfa na omega kamwe haifi ahsante naona watu wanashaka juu ya uwezo wa aliyewaumba namini had wanampa Lucifer sifa kama za mwenyez mungu tobaaaaaaaaa
 
Yes, nina maana shetani hapo mwanzo alikuwa malaika!, alipoasi, alifukuzwa tuu mbinguni lakini hakunyanganywa powers zake!. Tofauti kati ya shetani na malaika ni majukumu tuu, lakini make up, is the same kila kitu!.

Pasco

Hapana ndugu yangu yule jamaa alikuwa jini ila alikuwa msafi wa matendo mema yake yalkuwa makubwa ndipo aliposogezwa hapo.......na anajina lake halisi nmelisahau katka makundi yako hivi Jini asili yake maana na yeye kiumbe kama sisi akihasi anaitwa shetani malaika kamwe hawez kuhasi wala kufanya kinyume na mola wake binadamu kama asili yake anatakiwa awe na ubinadamu wema akitenda kinyume anauwa wenzio mznfu mfitinish muongo akiwa cfa zote mbaya anatenda yeye bac anatoka kundi LA ubinadamu anakuwa agent wa shetani anakuwa adui kiumbe anakuwaa sio binadamu tena
 
Kuna Power Mbili Za Ziada Ambazo Watu Baadhi Wanazo I'm One Of Them...

Other Two Types Of Powers:

1: Confessor: Brain Comander Is The Ability Of Confess Someone To Tell You Everything That He/She Hide It For Everyone But h/hSelf And Do Everything For You...

2: Po Hu: Physic Power Breaker
This Is The Ability To Stop All Others Psychic Powers To Work Infront Of Po Hu Or Someone Who Has Po Hu.. You Can't Hurt Po Hu By Any Psychic Power.. Once You Concertrate Infront Of Po Hu Or Nearby Po Hu You Cant Even Meditate...

#Rakims

Boss naomba ni add 0659812121
 
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, mfano, "Miujiza ya Ukweli!".

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo bila kujijua kuwa wanazo nguvu hizo!.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza!.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za giza!".

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen!".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.

Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.

Karibu tujadiliane!.

Pasco.

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism

Mkuu Pasco

Mimi Mwaka 1996 nilikuja kugundua kuwa kama ikitokea mtu akanifanyia jambo baya na kunitia simanzi bila mimi kumkosea yeye. Nikiingia kinyongo na kusikitika kwa maumivu ya ndani basi mtu huy0 hakika hupatwa na janga/masahibu fulani. hali hii imekuwa ikinitia wasiwasi sana hasa pale ndugu wa karibu wanaponifanyia mambo mabaya unfairly (isivyo haki). Je waweza kunipa ufafanuzi wa jambo hili kiroho na jinsi ya kuepuka au kulidhibiti
 
Hapana ndugu yangu yule jamaa alikuwa jini ila alikuwa msafi wa matendo mema yake yalkuwa makubwa ndipo aliposogezwa hapo.......na anajina lake halisi nmelisahau katka makundi yako hivi Jini asili yake maana na yeye kiumbe kama sisi akihasi anaitwa shetani malaika kamwe hawez kuhasi wala kufanya kinyume na mola wake binadamu kama asili yake anatakiwa awe na ubinadamu wema akitenda kinyume anauwa wenzio mznfu mfitinish muongo akiwa cfa zote mbaya anatenda yeye bac anatoka kundi LA ubinadamu anakuwa agent wa shetani anakuwa adui kiumbe anakuwaa sio binadamu tena
Shetani ndie alikuwa malaika mkuu, luciferi!, alipoasi ndipo cheo cha malaika mkuu akapewa Mikaeli na Gabrieli ndiye msaidizi wake huku Israel ni mtoa roho!.

Pasco.
 
Mkuu Pasco

Mimi Mwaka 1996 nilikuja kugundua kuwa kama ikitokea mtu akanifanyia jambo baya na kunitia simanzi bila mimi kumkosea yeye. Nikiingia kinyongo na kusikitika kwa maumivu ya ndani basi mtu huy0 hakika hupatwa na janga/masahibu fulani. hali hii imekuwa ikinitia wasiwasi sana hasa pale ndugu wa karibu wanaponifanyia mambo mabaya unfairly (isivyo haki). Je waweza kunipa ufafanuzi wa jambo hili kiroho na jinsi ya kuepuka au kulidhibiti
You have the powers ambazo zinakuwa invoked, ukikasirika, powers hizi zitakuwezesha kufanya chochote!. Usisubiri kukarika ndipo zifunguke zenyewe naturall, bali anza mazoezi ya kuziamuru unataka nini?, pesa, kazi nzuri, gari nzuri, nyumba nzuri etc, jush wish kwa dhati kama unavyoumia ukiudhiwa, then zitakufungulia njia, utayapata yote, tena kwa gari unaweza kuchagua hata make Vogue Sprort etc!, ni wewe tuu!.

Walimu wa kukufungulia wapo humu humu wakiongozwa na Mkuu Rakims!.

Pasco.
 
Shetani ndie alikuwa malaika mkuu, luciferi!, alipoasi ndipo cheo cha malaika mkuu akapewa Mikaeli na Gabrieli ndiye msaidizi wake huku Israel ni mtoa roho!.

Pasco.

kwa elimu.hiyo pasco bado sana.nyie mumenyimwa elimu hyo so kamwe hutofahamu ukwwl km hutotaka kusoma.uku na kule
 
kwa elimu.hiyo pasco bado sana.nyie mumenyimwa elimu hyo so kamwe hutofahamu ukwwl km hutotaka kusoma.uku na kule

huyu anatumia sana imani ya kikristo wewe kama ni muislam ukimuelewesha hawezi kukuelewa hadi apewe na mkristo mwenzio pia WAO wanawatambua majini kama mapepo na mapepo wanayatambua kama malaika walioasi mbinguni... sikutaka kuendelea kumuelewesha Zaidi maana alianza kuingiza Udini Na Wengine Wakazidisha Kujiaminisha Kwa Hili Somo Ni Uchawi....

"Rakims"
 
mkuu pasko mimi ni mtu muongeaji sana automatic huwa naweza nkachambua jambo kwa kulisikiliza na kutoa majibu papo kwa papo in deep.

pia nafanya mambo mengi sana pasipo kufundishwa nikimuona mtu anafanya nikitia nia basi nitaweza kulifanya tuu kwa njia yoyote ila imebase sana kwenye sience na utabili wa jambo

2008 nilialikwa canada kwenye congamano ila ile miji niliijua nikiwa tz nikawa kama naota nipo canada na image ilijaa kichwani hadi mitaa na hali ya hewa na mavazi yanayo faa ila sikwenda coz mambo yaliingiliana

sijajua mpaka leo nini kilikuwako ndani yake

huwa naota pia na najikuta imetokea kama nilichoota ila sina uhakika kama nilikiota au ni chicho la tatu coz huwa naona mambo ambayo nafsi inaamini nishakutana nayo na siku hiyo yatajirudia vile vile je ni nini?
 
Katika mojawapo kati ya posts zote JamiiForums. HII NI POST YA MUHIMU SANA NA NI THREAD YA PEKEE. Nimesema ni ya pekee kwani kila kitu katika maisha yetu, maamuzi yetu (hata maamuzi unayofanya ukiwa humu kwenye Forums n.k) vinakuwa guided na These Facts. Pia ni thread ya muhimu kwani unaweza kubadili maisha yako kwa kutambua maelekezo yaliyoelezewa, kujitambua, kuzidi kusoma imani, facts, sayansi n.k kuongeza ufahamu wako.
 
Shetani ndie alikuwa malaika mkuu, luciferi!, alipoasi ndipo cheo cha malaika mkuu akapewa Mikaeli na Gabrieli ndiye msaidizi wake huku Israel ni mtoa roho!.

Pasco.

Ukisoma Kabbalah (Elimu ya siri ya kale ya kiyahudi inayoelezea maana ya undani wa biblia) utagundua kuwa Lile ni fumbo. Mambo mengi katika biblia ni fumbo lakini ni wachache walikuwa wanajua elimu hiyo.

Vitu kama mwanga, garika, farao, exodus n.k havikumaanisha uhalisia unaoona wewe bali ni mafumbo. Shetani anamaanisha your Mind, Hakuna jitu lenye mapembe linaloshawishi watu as imani zinavyokosea. Hakuna shetani. Kama ilivyo kwenye giza, hakuna chanzo cha giza bali kuna chanzo cha mwanga. Hakuna chanzo cha mabaya bali kuna chanzo kimoja tu cha mazuri (G-d, The Universe). Mwanga usipokwepo giza linatawala lakini halina source bali ni kiashiria cha kutokwepo kwa mwanga. Najaribu kukusaidia ili ukifunguka na kuutambua facts utaelewa wewe ndio mhusika wa kuongoza maisha yako.

N.B-Malaika Gabriel is your Gut.
 
mkuu bado niko nafuatilia mapoint yako........
 
Hata pia kitabu cha mwanzo nacho ni full of mafumbo kwani hakuna anayejua mwanzo kama ndio kuanza Kwa dunia. Bali ni hadithi zilizotungwa wakat wa mfalme suleiman na si kitabu kimoja bali vipo vingi vinavyoelezEa mwanzo wa ulimwengu
Hata hadithi ya adam na hawa is not real n hadith tu
Makasisi wa kanisa katoliki wanajua hili
Lakini wanaamin Kwa kutumia hadithi hizi zitatufikisha kwenye heri iliyoadiwa.

Elimu hii juu bibli tuiache tu tutawafanyA watu wasiamin ktk biblia hususan agano la kale.
Ramakism
 
You have the powers ambazo zinakuwa invoked, ukikasirika, powers hizi zitakuwezesha kufanya chochote!. Usisubiri kukarika ndipo zifunguke zenyewe naturall, bali anza mazoezi ya kuziamuru unataka nini?, pesa, kazi nzuri, gari nzuri, nyumba nzuri etc, jush wish kwa dhati kama unavyoumia ukiudhiwa, then zitakufungulia njia, utayapata yote, tena kwa gari unaweza kuchagua hata make Vogue Sprort etc!, ni wewe tuu!.

Walimu wa kukufungulia wapo humu humu wakiongozwa na Mkuu Rakims!.

Pasco.

Wwe unamiliki hiyo vogue!!
 
Precognition, premonition and precognitive dreams- Huwa inanitokea mara kwa mara, kwangu huwa sioti ndoto bari kuna hisia kali huwa zinanijia. Pia nina uwezo wa kumwambia mtu kuwa kitu fulani kitatokea. Mwaka huu imetokea mara mbili. Remote viewing - Gathering of information at a distance... Hii nayo
 
Hata pia kitabu cha mwanzo nacho ni full of mafumbo kwani hakuna anayejua mwanzo kama ndio kuanza Kwa dunia. Bali ni hadithi zilizotungwa wakat wa mfalme suleiman na si kitabu kimoja bali vipo vingi vinavyoelezEa mwanzo wa ulimwengu
Hata hadithi ya adam na hawa is not real n hadith tu
Makasisi wa kanisa katoliki wanajua hili
Lakini wanaamin Kwa kutumia hadithi hizi zitatufikisha kwenye heri iliyoadiwa.

Elimu hii juu bibli tuiache tu tutawafanyA watu wasiamin ktk biblia hususan agano la kale.
Ramakism

True. Ni kweli kabisa.
 
Ukisoma Kabbalah (Elimu ya siri ya kale ya kiyahudi inayoelezea maana ya undani wa biblia) utagundua kuwa Lile ni fumbo. Mambo mengi katika biblia ni fumbo lakini ni wachache walikuwa wanajua elimu hiyo.

Vitu kama mwanga, garika, farao, exodus n.k havikumaanisha uhalisia unaoona wewe bali ni mafumbo. Shetani anamaanisha your Mind, Hakuna jitu lenye mapembe linaloshawishi watu as imani zinavyokosea. Hakuna shetani. Kama ilivyo kwenye giza, hakuna chanzo cha giza bali kuna chanzo cha mwanga. Hakuna chanzo cha mabaya bali kuna chanzo kimoja tu cha mazuri (G-d, The Universe). Mwanga usipokwepo giza linatawala lakini halina source bali ni kiashiria cha kutokwepo kwa mwanga. Najaribu kukusaidia ili ukifunguka na kuutambua facts utaelewa wewe ndio mhusika wa kuongoza maisha yako.

N.B-Malaika Gabriel is your Gut.

Mkuu una kitu cha muhim sana cha kutueleza kitabu.... Kinapatikanaj3 hicho na n kwann imekuwa siri.?
 
Mkuu una kitu cha muhim sana cha kutueleza kitabu.... Kinapatikanaj3 hicho na n kwann imekuwa siri.?

Asante mkuu, Sio kwamba ni siri. Ni kitu ambacho kipo wazi lakini sio watu wote wanaweza kuelewa, hata ukimwelekeza mtu atakwambia anaamini alichoambiwa na kiongozi wake wa imani, na kiongozi wake wa imani naye unakuta kuna sababu fulani iliyompelekea akajifunza hivyo. Kwa waisrael wa zamani wapo wakuhani waliokuwa na Musa ambao hawakuwa viongozi wa imani bali walifunguliwa na kutambua maono ya Muumba. Ni sawa na Yesu alipoulizwa na wanafunzi wake ni kwanini akiwa na wanafunzi wake anawafundisha tofauti na anachofundisha watu wa kawaida kwenye makutano. Ni kwa sababu levels za reality/consciousness zinatofautiana kwa wanadamu. Hatuwezi kufahamu sawa, bali kwa wanaopenda kufahamu na wenye akili huru ndio wanaweza kujifunza. Cha msingi ni kujisomea vitabu na kuwa na akili huru ya kupenda kujifunza.
 
Back
Top Bottom