Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Kuna mengi ya kufanya lakini nakupa basics kwanza ukifaulu hii hatua ya kwanza nijulishe

Hapo ulipo tafuta Sehemu kimya na utulivu kwa kwenye kiti au jamvi usikunje mgongo weka mikono mapajani kwa kurelax au lala chali kwa kulerax fumba macho halafu anza kuhesabu pumzi

Ili inhale hesabu moja uki exhale mbili endelea na mchakato huo, utaona utakapoanza tu kuhesabu yatakuja mambo kibao utakumbuka mambo ya jana, mipango ya kesho changamoto zako yaani matukio yatakuja kama mkanda wa sinema

Unachotakiwa kufanya ni kustick kwenye pumzi tu, hayo matukio yanayopita ndio takataka zilizojaa kwenye bongo yako

Pia kuna kitu kinaitwa empty meditation: hii unakaa kwakurelax na kuangalia ukuta tu usifikirie chochote zaidi ya kuuangalia huo ukuta, utajikuta huoni ukuta bali unaona mawazoni yako, chanamoto zako mipango yako madeni yako nk nk nk
aya yote ndio takataka zilizojaa kwenye ubongo, Kwahiyo zinacompress mind na kuifanya ishindwe kufanya kazi sawasawa

Unachotakiwa kufanya uwapo kwenye breathing au empty meditation ni kufocus tu kwenye kile ukifanyacho kwa Wakati huo kila kinachojaribu kuja kwenye mind unakifukuza na kurudi kwenye concentration yako ni kazi ngumu mno kutaka kuistation mind kwenye kitu kimoja kwa Wakati mmoja but with serious practice utaona mabadiliko. ...ukiiweza hatua hii ya kwanza nijulishe tuendelee
Aseee naandaa venue nataka nijaribu na mimi
 
Asante sana Pasco kwa mada hii.Hili ni jambo ambalo limenitatiza kwa muda mrefu na nimekua nikitamani nifungulie nguvu hizi lakini bado sijafika huko.Nimesoma sana kuhusu haya mambo na ninashukuru kupata kitabu cha The Master Key hiki ndicho kilichonitambulisha kwenye ulimwengu huu.

Ninaendelea kujisomea kila siku na sasa nimejikita kwenye maandiko ya Tibet hssa hasa mafundisho ya Atisha.Ninatumaini nitagika huko ninakokutazamia kwa maana yote haya ni nguvu ya Mind.
Mkuu unaweza nisaidia namna ya kupata kitabu kama hicho
 
Nina swali!Je kuna binadamu kizazi hiki anaweza akafanya muujiza wa kutembea juu ya maji kwa kutumia hizo nguvu kama YESU alivyofanya?
Wapo wanaotembea juu ya maji, wanaotembea hewani, wanaotembea adhini kama wanatembea kumbe wanaelea, hii kwenye mada kuu, iko chini ya topic ya Transvection - Bodily levitation or flying.

Wale wanaoyafanya haya mbele ya watu ili watu waone ni usanii tuu, wenyewe wanaofanya mambo, wanafanya kimya kimya!. Nchini Tibet kuna jamii ya watu wakitembea, wanaonekana kama wanatembea kawaida likini kiukweli ni wana tansvect, wanatembea peku na miguu kama imegusa chini, ila kiukweli wanakuwa wanatembea hewani!, hawa watu wananyoa vipara na kujitanda kwa shuka za orange. Wengine huko Japan wanatembea juu ya makaa ya moto na hawaungui!.

Paskali
 
Je inawezrkana kusoma mind y mtu?!au kuiongelesha mind ya mtu yaani remotely?
Yes hii inawezekana na inafanyika kila siku kwa kujijua au bila kujijua. Mambo ya mawasiliano ya mind yanaitwa telepathy, ni rahisi zaidi kwa watu wa karibu wakiongozwa na identical twins, wanaweza kuzungumza baina yao kwa mind tuu, mume na mke wenye kupendana kwa pendo la kweli, 'spiritual love' pia wanazungumza kwa mind tuu, hata siku mume anahitaji, mke anapokea taarifa na kujiandaa, au siku mke anahitaji, mume anapokea taarifa, hivyo muda ukifika ni utekelezaji tuu!.

Mimi nikiwa kijana, na mambo ya ujana, nikienda kwenye sherehe, unamtazama sana binti unayemhitaji, huku umemkazia macho, atageuka macho yakigona tuu, unamwambia njoo kimoyo moyo!, kisha unaamka, unatoka nje, atakufuata, mnakwenda nyuma ya nyumba, michongomani, kwenye ngazi, msalani, maliwatoni au popote penye faragha, utamshika, utamvua nguo, utamaliza shida zako, utamwambia avae, utamuongoza kurudi kwenye sherehe!, na from that time, hawezi tena kukuangalia machoni kwa aibu ya kutokuamini mmetoka kufanya nini!.

Kwenye maisha ya kili hizi telepathy zipo kibao!. Mnaweza kuwa mnamzungumzia mtu fulani mara akaibuka!, mnaishia kumwambia "una maisha marefu!". Mara kibao unakwenda mahali mahali ambao hujawahi kufika hata mara moja, au unakutana na mtu na kujisikia kama uliishawahi kumuona mahali, hii kwa Kifaransa inaitwa "de ja vu". Mind yako inakuwa iliwahi kufika mahali hapo kabla ya mwili wako haijafika!, au mind yako iliwahi kufika mahali hapo kabla ya mwili.

Kuna baadhi ya mabingwa wa kusoma mind za watu, kwenye mitihani wanaibuka vipanga kwa sababu kila swali, atasoma majibu ya vipanga na kuandika majibu sahihi, hivyo kuoneka ni jiniasi, kumbe ni jiniasi wa kuibilizia kwenye mind za vipanga!.

Pasco
Nimeamini unaweza kuwa psych powers ila usijielewe me niko mmojawapo tena yangu ni kali ya kiPhD.ila huwa nadharau mara nyingi nikiwaza mtu akilini au kitu mara nakiona au kupishana nacho.mmenifungua sasa itakuwa shida huku duniani
 
Yes hii inawezekana na inafanyika kila siku kwa kujijua au bila kujijua. Mambo ya mawasiliano ya mind yanaitwa telepathy, ni rahisi zaidi kwa watu wa karibu wakiongozwa na identical twins, wanaweza kuzungumza baina yao kwa mind tuu, mume na mke wenye kupendana kwa pendo la kweli, 'spiritual love' pia wanazungumza kwa mind tuu, hata siku mume anahitaji, mke anapokea taarifa na kujiandaa, au siku mke anahitaji, mume anapokea taarifa, hivyo muda ukifika ni utekelezaji tuu!.

Mimi nikiwa kijana, na mambo ya ujana, nikienda kwenye sherehe, unamtazama sana binti unayemhitaji, huku umemkazia macho, atageuka macho yakigona tuu, unamwambia njoo kimoyo moyo!, kisha unaamka, unatoka nje, atakufuata, mnakwenda nyuma ya nyumba, michongomani, kwenye ngazi, msalani, maliwatoni au popote penye faragha, utamshika, utamvua nguo, utamaliza shida zako, utamwambia avae, utamuongoza kurudi kwenye sherehe!, na from that time, hawezi tena kukuangalia machoni kwa aibu ya kutokuamini mmetoka kufanya nini!.

Kwenye maisha ya kili hizi telepathy zipo kibao!. Mnaweza kuwa mnamzungumzia mtu fulani mara akaibuka!, mnaishia kumwambia "una maisha marefu!". Mara kibao unakwenda mahali mahali ambao hujawahi kufika hata mara moja, au unakutana na mtu na kujisikia kama uliishawahi kumuona mahali, hii kwa Kifaransa inaitwa "de ja vu". Mind yako inakuwa iliwahi kufika mahali hapo kabla ya mwili wako haijafika!, au mind yako iliwahi kufika mahali hapo kabla ya mwili.

Kuna baadhi ya mabingwa wa kusoma mind za watu, kwenye mitihani wanaibuka vipanga kwa sababu kila swali, atasoma majibu ya vipanga na kuandika majibu sahihi, hivyo kuoneka ni jiniasi, kumbe ni jiniasi wa kuibilizia kwenye mind za vipanga!.

Pasco
Kabisa mi huwa inanitokeaga mara chache, naona mazingira na mtu hadi maongezi anayoongea kama vile tulishawahi ongea na hapo sijawahi hata muona. Au siku, mfano siku ya Jumamosi kuanzia hali ya hewa ilivyo na siku vile inavyoenda as if ushaiona awali sasa inakua imejirudia tena hii hunitokea mara nyiingi.
 
Au wakati mwingine unamtakia mtu neno hata kwa utani hee inakua kweli, hadi mwingine ananiambia tafadhali niongelee kwa mazuri. Hii ni nini Pasco?
Kusema jambo ambalo linatokea, hiyo ni power of speech!. Kama nilivyosema tangu mwanzo wa uzi huu, sisi binadamu tumeumbwa na nguvu za kiMungu ndani yetu. Wengine nguvu hizo zinajibainisha wazi sana na wengine zimejificha na kuibuka in times of need ila kila kiumbe chenye uhai kina powers.

Miongoni mwa maeneo makubwa yenye nguvu hizi ni nguvu ya kauli, "kauli huumba!" "the power of speech" ambapo maneno huumba!. Mungu alipoumba ulimwengu alitumia kauli tuu, na iwe mbingu, na iwe viumbe, na iwe ardhi, vitu vingine vyote vimeumbwa kwa kauli isipokuwa binadamu ndio amemuumba kwa mavumbi kwa kufinyanga udongo na kumpulizia pumzi ya uzima, pumzi hiyo ndio uhai, ndiyo yenye nguvu za Uungu ndani yake!.

Hata Yesu alifanya miujiza mingi kwa kauli tuu!. Wengi wa wahubiri wa uponyaji hutumia kauli kama "Katika jina la Yesu", "Jina la Bwana", "Zi shindwe", "Toka!". etc!.

Kitu kinachoitwa laana ni kauli tuu!, albadir, au itkaf ni kauli tuu, ndio maana kuna mara nyingi watu watasema usitoe kauli mbaya dhidi ya binadamu mwingine ni kuchuria watu!. Unapo wish mabaya fulani yamkute mwingine. Unakuwa umejifungulia njia kwa mabaya kukurudia wewe kwa njia ya "karma".

Kuna watu wengi wanakwama kimaisha kutokana na kauli za kukamishana, moja wapo kubwa ni kuukubali umasikini, kuna masikini wengi, ni masikini tuu kwa sababu wamejiumbia umasikini huo kwa kauli za kuukubali umasikini bila kujitambua!, na kuna matajiri wengi wamefanikiwa sana kutokana na kujiundia utajiri kwa kauli za utajiri!.

Power hii ya speech, huweza kutumika hata kuzuia magonjwa au kutibu magojwa na kujiletea mafanikio, inaitwa "affirmatives", toa kauli njema zitakazoleta neema, baraka na mafanikio!. Ukitoa kauli mbaya dhidi ya wengine, sio tuu zinaleta majanga bali pia unajiundia majanga yatakayo kurudia. "What goes around, comes around".

Mimi japo usafiri wangu ni boda boda, niliwahi kuwish kuja kuendesha Benzi!, nikajizungumzia kwa kauli, hivyo nikaumba kuendesha Benz na kweli ikaja kutokea kuendesha Benzi tena E-Class!. Sasa nimejinuizia kuendesha gari jingine fulani (naomba nisilitaje kwanza kuwaepuka wanga, wasije nichuria).

Katika kutoa kauli, sii lazima kutamka kwa sauti, ile genuine wish tuu ya dhamira ya dhati ndani ya mayo wako na nafsi yako, inatosha kabisa kufungua "powers of will" zilizo ndani yako kukufanyia mambo yako yawe mazuri!, yawe supper!. Na kuna wengine wenye ill motives, ambao kauli zao zina powers, wakikutolea kauli mbaya, mabaya yanakukuta na kweli una rosti na kuwa arosto!.

Ni muhimu sana kuchunga kauli zetu wakati wote zinakuwa regulated na kitu kinachoitwa "karma", tenda mema, fanya mema, sema mema, utavuna mema!. Sema maovu, fanya maovu, tenda maovu, utavuna uovu!.

Paskali
 
Kusema jambo ambalo linatokea, hiyo ni power of speech!. Kama nilivyosema tangu mwanzo wa uzi huu, sisi binadamu tumeumbwa na nguvu za kiMungu ndani yetu. Wengine nguvu hizo zinajibainisha wazi sana na wengine zimejificha na kuibuka in times of need.

Miongoni mwa maeneo makubwa yenye nguvu hizi ni nguvu ya kauli, "kauli huumba!" "the power of speech" ambapo maneno huumba!. Mungu alipoumba ulimwengu alitumia kauli tuu, na iwe mbingu, na iwe viumbe, na iwe ardhi, vitu vingine vyote vimeumbwa kwa kauli isipokuwa binadamu ndio amemuumba kwa mavumbi na kumpulizia pumzi ya uzima, pumzi hiyo ndio uhai, ndiyo yenye nguvu za uungu!.

Hata Yesu alifanya miujiza mingi kwa kauli tuu!. Wengi wa wahubiri wa uponyaji hutumia kauli kama "Katika jina la Yesu", "Jina la Bwana", "Zi shindwe", "Toka!". etc!.

Kitu kinachoitwa laana ni kauli tuu!, albadil, au itkaf ni kauli tuu, ndio maana kuna maa nyingi watu watasema usitoe kauli mbali, ni kuchuria watu!.

Kuna watu wengi wanakwama kimaisha kutokana na kauli za kukamishana, moja wapo kubwa ni kuukubali umasikini, kuna masikini wengi, ni masikini tuu kwa sababu wamejiumbia huo umasikini kwa kauli za kuukubali umasikini bila kujitambua!, na kuna matajiri wengi wamefanikiwa sana kutokana na kujiundia kauli za utajiri!.

Power hii ya speech, huweza kutumika hata kuzuia magonjwa au kutibu magojwa na kujiletea mafanikio, inaitwa "affirmatives", toa kauli njema zitakazoleta neema, baraka na mafanikio!. Ukitoa kauli mbaya zinaleta majanga!.

Mimi japo usafiri wangu ni boda boda, niliwahi kujiongelea kuendesha Benzi!, niliendesha Benzi tena E-Class!. Sasa nimejinuizia kuendesha gari jingine fulani (naomba nisilitaje kwanza kuwaepuka wangu, wasije nichuria".

Katika kutoa kauli, sii lazima kutamka kwa sauti, ile genuine wish tuu inatosho kufungua powers of will kukufanyia mambo mazuri!. Na kuna wengine wenye ill motives, wakikutolea kauli mbaya una rosti na kuwa arosto!.

Ni muhimu sana kuchunga kauli wakati wote zinakuwa regulated na kitu kinachoitwa "karma", tenda mema, fanya mema, sema mema, utavuna mema!. Fanya maovu, tenda maovu, sema maovu, utavuna uovu!.

Pasco
Asante saana mtu wangu wa nguvu, nimekuelewa. Huwa nina daily positive affirmation siziachiiii [emoji1] [emoji1].
 
Nilisafiri safari moja kwa njia mbili tofauti kwa wakati mmoja!

Ingia link hiyo hapo juu kwanza kabla kusoma haya niliyoandika chini....
cc Pasco

Mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu kwa mara nyingine tena yasiyoeleweka yamenitokea. Nina chumba kazini kwangu, na kila siku ili ninywe chai inanipasa niondoke chumbani atleast saa kumi na moja na dakika 40 asubuhi kwa sababu mlango wa mess unafungwa saa kumi na moja na dakika 45 na kutoka chumbani ni dakika 5 hadi mess.

Siku moja ndani ya mwezi december nilichelewa kuamka, hadi kufikia saa 11:43 nikawa bado niko chumbani. Nikakata tamaa ya kunywa chai siku hiyo kwahiyo nikatembea kizembe tu kuelekea ofisini, nilipofika maeneo ya mess nikaangalia saa yangu na kuona ni saa 11:42, yaani dakika moja nyuma ya muda nilioondoka chumbani. Sikuamini, nikauendea mlango wa mess kuufungua kweli ukafunguka nikaingia na nikanywa chai. Sasa nikaanza kujiuliza ni kwamba niliangalia muda vibaya au ni simu yangu imepoteza majira sahihi ya muda au ni wenge langu tu? Nikapuuzia tu.....

Siku nyingine tena ndani ya mwezi december nikachelewa pia, nikaondoka chumbani saa 11:42, nikaona isiwe taabu nikatimua mbio ili niwahi mess kabla hapajafungwa (Hufanya hivi mara nyingi napochelewa). Nilipofika katikati nikatazama muda katika simu yangu, ni saa 11:44, nikaongeza mbio zaidi nikaufikia mlango wa mess na nilipotazama muda wa simu yangu inaonyesha ni saa 11:43...nilistaajabu sana sana. Nilirudi likizo nyumbani nikanunua saa ya mkononi, kwa kawaida mimi si mvaaji kabisa wa saa, labda tu ninapotembea njiani na mama wife kwa sababu anapenda kuniona nimevaa saa mkononi. January mwaka huu wa 2016 kweli ikatokea tena mara moja nikiwa na simu na saa ya mkononi.....nilifika mess dakika 2 nyuma ya muda niliotoka chumbani!
 
Ya dunia yana mengi!
 
Salaam mku Pasco, nakshukuru naktakia Neema na rhma za mwenyezi na mafanyikio mema, sins chaku Kula wewe kwa upendo ambao umetupa, ilibidi tulips pesa nyiingi alakini twapokea kwa bure, indeed you have given a lot, sass nakuuliza unasema inawezekana kwa imani kutembea juu ya maji ILA tuionayo sio alisi mbali usanii tupu, sass kivipi ikiwa nauona kwa macho yangu na sio kuambiwa? na hapa dr Congo Kuna mchezo WA catch Kuna siku nilibahatika kuiona mshindi aka alimkata kichwa naku mpasua tumbu kabisa kikweli, tena baada ya match nikamwona huyu maiti anatembea hivi mpaka sass sijaielewa Ni nguvu gani AMA usanii kivipi? Kuna meengi nitakuambia Yale ninisha ziona, Kuna PIA mjamaa ka order leaf iletwe mayo akaibadili kuwa dollar halisi, basi naomba msaada Wako mkuu Pasco, Mimi Ni mgeni kwa hii group jamiiforums.
 
Pasco kuna kitabu niliwahi kukisoma zamani na kujaribu kupractise nikawa naona kama inakuwa kweli.ni vitu vya kawaida ila ni rahisi kutokuvifanya kwa kujisahau
Inahitajika kuupa ubongo chakula chake kikuu ambacho ni oxygen then utaongeza thinking capacity against mambo yanayokuzunguka.
Namna ya kulala,Kujenga imani,kupata utulivu wa rangi na fresh flowers vyote hufungua milango ya nguvu hizi
Pia kutoa kiasi ya ulichonacho kws wahitaji hukuongezea,hii niliijaribu nikiwa chuo na ika-work out siku hiyo hiyo.kwa kifupi huwezi kupata zaidi kama hutumii(refer Bill Gates)
Mtu anayepractise njia hizi ile kumtazama tumgonjwa anaweza kujua kama atapona au la..bila kujali muonekano wake wa nje
Hakika nilifikia mahali nikasema ukiacha bible that was my second favourite book...

Kitabu gani mkuu?
 
Salaam mku Pasco, nakshukuru naktakia Neema na rhma za mwenyezi na mafanyikio mema, sins chaku Kula wewe kwa upendo ambao umetupa, ilibidi tulips pesa nyiingi alakini twapokea kwa bure, indeed you have given a lot, sass nakuuliza unasema inawezekana kwa imani kutembea juu ya maji ILA tuionayo sio alisi mbali usanii tupu, sass kivipi ikiwa nauona kwa macho yangu na sio kuambiwa? na hapa dr Congo Kuna mchezo WA catch Kuna siku nilibahatika kuiona mshindi aka alimkata kichwa naku mpasua tumbu kabisa kikweli, tena baada ya match nikamwona huyu maiti anatembea hivi mpaka sass sijaielewa Ni nguvu gani AMA usanii kivipi? Kuna meengi nitakuambia Yale ninisha ziona, Kuna PIA mjamaa ka order leaf iletwe mayo akaibadili kuwa dollar halisi, basi naomba msaada Wako mkuu Pasco, Mimi Ni mgeni kwa hii group jamiiforums.
Mkuu Joni, hayo ni mazingaombwe tuu, au kiini macho!, huyo mtu unayemuona kama anatembea juu ya maji, kwa kule chini amekanyaga kitu ambacho kimefunikwa na maji hivyo nyinyi hamkioni!. Mazingaombwe yanaitwa hypnotism, mfanya mazingaombwe anaitwa hypnotist na kitu kinachofanyika kinaitwa hypnosis, hapa wanatumia nguvu tuu ya ushawishi, iitwayo 'mind suggestibility' kwa kukuzuga kuwa anabadili karatasi kuwa noti, anachinja mtu, etc. Anatumia tricks tuu kuzugia, zipo hadi operations zinaitwa psychic surgery lakini kiukweli hakuna chochote kinachofanyika physically bali ni just playing with peoples mind kama wafanyavyo wahubiri wa miujiza!, unaangalia na kuona unachoona kumbe ni zuga tuu!.

Ila katika zuga hizo, kuna watu wanapona kweli, kinachowafanya wapone ni nguvu za Mungu za uponyaji zilizomo ndani yako ambazo kila binadamu au viumbe hai wanazo, ndio maana hata wanyama kila siku wanaugua na kujitibia wenyewe!.

Huo mchezo wa huko Congo kwa maiti kutembea, inafanywa sana visiwa vya Haiti, Trinidad and Tobago, Babados na america ya kati, kwa kutumia uchawi unaitwa Voodoo, ni kama imani inatwa voodoism, unaweza kuisoma kwenye ile thread ya kwanza kwenye link ya
Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.
Mysteries
Alchemy
Earth Mysteries
Esoteric/Occult
Mysticism
Native American
Neopaganism/Wicca
Shamanism
NB, kwenye hizo links, ukifungua, ili uweze kusoma na kuelewa, ni lazima kwanza uwe na kiwango fulani cha uelewa kwa sababu mambo mengine ni uchawi kabisa, yaani pure magic!, hivyo ushauri wangu ni ujitafakari kwanza kiwango chako cha uelewa wa mambo makubwa, Manitoba, magumu kabla hujazama kwenye hizo links. Namna ya kujijua kiwango chako ni ukifungua hizo linka kwa lengo la kusoma, ukijiona kama huelewi elewi havi, achana nazo, wewe utakuwa bado, it's only when the student is ready, the teacher will appear.

Paskali
 
Mkuu Joni, hayo ni mazingaombwe tuu, au kiini macho!, huyo mtu unayemuona kama anatembea juu ya maji, kwa kule chini amekanyaga kitu ambacho kimefunikwa na maji hivyo nyinyi hamkioni!. Mazingaombwe yanaitwa hypnotism, mfanya mazingaombwe anaitwa hypnotist na kitu kinachofanyika kinaitwa hypnosis, hapa wanatumia nguvu tuu ya ushawishi, iitwayo 'mind suggestibility' kwa kukuzuga kuwa anabadili karatasi kuwa noti, anachinja mtu, etc. Anatumia tricks tuu kuzugia, zipo hadi operations zinaitwa psychic surgery lakini kiukweli hakuna chochote kinachofanyika physically bali ni just playing with peoples mind kama wafanyavyo wahubiri wa miujiza!, unaangalia na kuona unachoona kumbe ni zuga tuu!.

Ila katika zuga hizo, kuna watu wanapona kweli, kinachowafanya wapone ni nguvu za Mungu za uponyaji zilizomo ndani yako ambazo kila binadamu au viumbe hai wanazo, ndio maana hata wanyama kila siku wanaugua na kujitibia wenyewe!.

Huo mchezo wa huko Congo kwa maiti kutembea, inafanywa sana visiwa vya Haiti, Trinidad and Tobago, Babados na america ya kati, kwa kutumia uchawi unaitwa Voodoo, ni kama imani inatwa voodoism, unaweza kuisoma kwenye ile thread ya kwanza kwenye link ya

NB, kwenye hizo links, ukifungua, ili uweze kusoma na kuelewa, ni lazima kwanza uwe na kiwango fulani cha uelewa kwa sababu mambo mengine ni uchawi kabisa, yaani pure magic!, hivyo ushauri wangu ni ujitafakari kwanza kiwango cha uelewa wako kabla hujazama kwenye hizo links, ukifungua na kujiona huelewi, achana nazo!.

Pasco
Mkuuu huwa nafuatilia sna huu uzi wako lengo ni kujifunza zaid ila umekaa kimya sana mkuu bado tunauitaji wako kaka
 
Back
Top Bottom