Baada ya kudai kuwa wewe umejifunza hizo extra Senses In India and so On. na Baada ya kuanza kulewa ukazipoteza
Nimekuuliza swali hapo juu NANI KTK DUNIA HII Tunayoishi ana UWEZO wa Kunambia yaliojificha? NITAJIE MMOJA TU anaejulikana.
Usinitajie majina ya Vitabu na Philosophers!
or Name of the Movie.
Nipe jina la mtu anaejulikana mwenye hizo so called 8 senses Bull crap!
Watu wanasoma miaka 20 ili waweze kutambua tu namna gani ya kumuhoji mhalifu wewe unatwambia kuna mtu ANA UWEZO WA KUUONA UHALIFU WA MTU hata kabla HAJASEMA?
Pasco kaka hizi habari zako bora upeleke kwenye Jukwaa la Jokes. hapa utasababisha baadhi ya wadau dhaifu wakufuate Inbox uwapatie solution ya Umaskini wao hali ya kuwa wewe mwenyewe Rizki miguuni.
Tazama mzizi mkavu anavyodanganya watu.
matokeo yake anauza dawa za Bahati na zingine za ajabu ajabu kwa bei anazojua yeye wakati yeye mwenyewe anatafuta Bahati mpk leo.
Nimesema niliishi India kwa mengine ila nikapata wasaa wa kujifunza hayo kwa kujisomea tuu, hivyo sikufundishwa na yeyote na wala sikwenda India kusomea hayo.
Kwa vile mimi source yangu ni kusoma tuu vitabu na wala sijawahi kujifunza rasmi chochote, na popote, then siwezi kukutafutia mtu yoyote zaidi ya kukushauri utafute vitabu vya mtu anaitwa Uri Geller usome.
Wenzetu CIA, FBI, Scotland Yard, wanawatumia watu hawa kusolve mysterious deaths. British Airways wanawatumia kuzuia ajali za ndege. Balozi zote za Israel dunia nzima zinawatumia kulinda usalama wa rais wao. Kuna mamia ya Wa Israel wanafanya kazi Twin Towers, siku ya 9/11, wote walitumiwa warning wasiende kazini, hakuna hata mmoja wao alipoteza maisha.
By now usikute tayari kuna watu, wenye hizi powers wanamuona huyu dogo mahali alipo, fichwa, ila hawaruhusiwi kusema!, At the same time matapeli wa kuchungulia mtungini na kumuona yule yule, wako busy kustrategize jinsi ya kupiga hela.
Ni kweli baada ya kupandisha uzi huu, kiukweli nimefuatwa sana inbox, watu wakitaka msaada wangu kwa kunidhania mimi ni teacher na wako tayari kulipa nifungue darasa, na wenginei ni 'fundi'
Wote ninawaeleza humu knowledge yangu kwenye mambo haya ni kwa kusoma tuu vitabu, na links zote nimempata humu.
Baada ya mimi kugoma kupokea senti tano ya mtu, wenye jicho la kuangazia fursa, wakaona fursa, wakachangamkia, wameunda ma group yao ya WhatsApp, wanajipigia pesa yao na kujilia mpunga wao kwa ulaini na mimi kazi yangu ni kushauri tuu kama hapa kwenye bandiko hili, angalia watu wanafundishwa nini na uangalie mchango wangu nimeshauri nini
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection) - JamiiForums
P