Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mkuu Mzee, kwanza isiniite Dkt,
Pili telepathy ni communication through mind. Ili umnase mtu kwa mvuto lazima kwanza akuone, ndipo avutike, mtambulishane, mzungumze, mzoeane, mpange, ndipo mtekeleze!.

Lakini kutumia telepathy, hakuna kuongea lolote, unamtazama mtu, macho yakigongana tuu, unatoka, anakufuata, mnamalizana, bila hata kupanga, na mkimaliza, mtu anaona noma.
P
Acheni kudanganya watu nyie viumbe
Ingekuwa hii rubbish iko kweli kwanini serikali ipeleke watu kusomea mambo ya upelelezi miaka 20 na pia wakirudi wanashindwa kuelewa ukweli wa kesi ndogo ndogo tu.? si wangekuita wewe Ukamtazame macho huyo muhalifu kisha uwaambie kafanya nini na mahala gani?

Hivi mnapata faida gani kudanganya watu?
hamuogopi Mungu ?
 
Tafadhali MziziMkavu naomba uweke na nyota ya Samaki
Nyie ndio mnasababisha hawa washirikina wapate viburi na kujiona wanafanya ya maana kumbe ni waongo wakubwa.

hakuna cha nyota wala nini. nenda kapige kazi, Hakuna cha nguo ya bahati wala siku mbaya.
siku zote ni nzuri na nguo rangi zote ni njema tu.
Utaibiwa hizo senti zako ndugu.
 
Wewe Pasco una nguvu gani kati ya ulizozitaja?
Nguvu za kuandika Uongo JF.
Hakuna ziada.
na SIO yeye tu. Hawa washirikina wote hawana nguvu wala uwezo wwt ambao Mimi na wewe hatuna. kazi zao kutafuta umaarufu na kuibia watu tu.

Nilisema huko Juu yyt mwenye uwezo wa kujua kilichojificha aniambie Mimi nina Umri gani tu naahidi kutembea makende nje wiki nzima.
Sijui mshana,Pasco, na mganga wao mzizi mkavu. Hawa wote waongo watupu.
 
Mkuu Shemeji Kahatani, nitakupigia darasa mdogo mdogo hadi tutakwenda pamoja.
Somo la kwanza, Mungu au Allah ni nini, ni nani, yukoje yuko wapi, alianzaje na ana uwezo gani?.

Somo la pili shetani nini, ni nani, yukoje yuko wapi, alianzaje na ana uwezo gani?.

Somo la tatu
Binadamu ni nini, ni nani, yukoje yuko wapi, alianzaje na ana uwezo gani?.
Ukishajibu ndipo nita determine IQ yako na uwezo wako wa kuelewa hivyo nitaamua nikupige darasa au nisijisumbue kumpigia mbuzi gitaa.
P
 
Nguvu za kuandika Uongo JF.
Nilisema huko Juu yyt mwenye uwezo wa kujua kilichojificha aniambie Mimi nina Umri gani tu naahidi kutembea makende nje wiki nzima.
Sijui mshana,Pasco, na mganga wao mzizi mkavu. Hawa wote waongo watupu.
Usichanganye ushirikina, wabashiri, wapiga ramli, ma palmistry, astrology na mambo ya parapsychology.
P
 
Usichanganye wabashiri, wapiga ramli, ma palmistry, astrology na mambo ya parapsychology.
P
Baada ya kudai kuwa wewe umejifunza hizo extra Senses In India and so On. na Baada ya kuanza kulewa ukazipoteza
Nimekuuliza swali hapo juu NANI KTK DUNIA HII Tunayoishi ana UWEZO wa Kunambia yaliojificha? NITAJIE MMOJA TU anaejulikana.
Usinitajie majina ya Vitabu na Philosophers!
or Name of the Movie.

Nipe jina la mtu anaejulikana mwenye hizo so called 8 senses Bull crap!

Watu wanasoma miaka 20 ili waweze kutambua tu namna gani ya kumuhoji mhalifu wewe unatwambia kuna mtu ANA UWEZO WA KUUONA UHALIFU WA MTU hata kabla HAJASEMA?

Pasco kaka hizi habari zako bora upeleke kwenye Jukwaa la Jokes. hapa utasababisha baadhi ya wadau dhaifu wakufuate Inbox uwapatie solution ya Umaskini wao hali ya kuwa wewe mwenyewe Rizki miguuni.

Tazama mzizi mkavu anavyodanganya watu.
matokeo yake anauza dawa za Bahati na zingine za ajabu ajabu kwa bei anazojua yeye wakati yeye mwenyewe anatafuta Bahati mpk leo.
 
NYOTA YA MIZANI (LIBRA)

View attachment 876972

Hii ni nyota ya saba katika mlolongo wa nyota 12

Wenye nyota hii ni wale waliozaliwa kati ya tarehe 23 September na 22 Oktoba ya mwaka wowote.

Sayari yao ni VENUS (ZUHURA).

Siku yao ya Bahati ni Ijumaa.

Namba ya Bahati ni 6.

Rangi ya Bahati ni Kijani isiyoiva.

Asili ya nyota hii ni Hewa.

KIPAJI CHA MIZANI

(Extra Sensory Perception)

Wenye nyota hii wana kipaji cha kufumbua mafumbo na kujua siri za watu bila kuambiwa.

TABIA ZA MIZANI:

Wenye nyota ya Mizani wana tabia ya kupenda usuluhishi, amani na upatanishi. Ni watu wasikivu, watiifu, na wepesi kuongozwa. Ni wenye maumbo ya kupendeza hasa wanawake. Kwa ujumla ni watu wenye roho nzuri na wanajua kupenda na wenye mahaba mengi.

Ni watu wastraabu, wenye adabu heshima na ni wakarimu kwa mtu yeyote na wanajipenda sana. Katika maisha yao wajipenda sana.

TABIA YA MIZANI KATIKA MAPENZI

Kujihusisha na suala la mapenzi kwa wenye nyota hii ni kitu cha kawaida kabisa pamoja na kwamba wenye nyota hii wanachukua muda mrefu kufanya maamuzi na inawawia vigumu sana kuchagua kati ya wapenzi wawili yupi anaefaa. Kwao kuishi vizuri ni kuwa na mpenzi au uhusiano wa kimapenzi.

Watu wa mizani wanathamini sana mapenzi kuliko hata maisha yao wenyewe na wanapenda sana kujionyesha kwamba wanapendwa.

Kwa sababu hizo wengi sana wanapumbazwa na mapenzi na ndoa zao zinakuwa zina matatizo na zisizo na raha kwa sababu ya kuoa mapema bila kuangalia. Wenye nyota hii wanaonelea bora kuishi katika ndoa yenye matatizo kuliko kuishi peke yao.

Katika suala la mahaba (Romance) na ngono (Sex) wao ni mabingwa. Wanajua sana kumpendeza mwanamke kwa maneno matamu yenye mpangilio na zawadi za thamani na wawapo kitandani wanatumia muda mrefu kuwachezea wapenzi wao sehemu nyeti.

Kwa ujumla wenye nyota ya Mizani wanapenda kuishi vizuri na wanapenda wapenzi wao nao waishi katika hali nzuri.

TABIA YA MIZANI KATIKA FEDHA

Watu wenye nyota ya Mizani wana tabia ya kutokuwa na maamuzi katika masuala ya fedha. Lakini hiyo siyo sababu ya wewe kufikiri kwamba wao ni wajinga.

Wanapofanya hivyo huwa wanapima au kufikiria kuona uwezekano wa fedha kutumika vizuri.

Ni watu wenye mipango mizuri na mara nyingi kwa kutumia uzoefu na kipaji chao kidiplomasia na upole, huwa wanapata mafanikio katika biashara zao.

Wana kipaji cha kuelewa watu wengine wanahitaji nini na wanatumia maneno matamu kuwashawishi wawape wanachokitaka na wanafanikiwa.

Wanapenda sana vitu vizuri na vyenye thamani na wako tayari kutumia fedha yeyote kutekeleza malengo yao.

Kwa ujumla ni watumiaji wazuri na wenye ubinafsi mkubwa.

MAVAZI YA MIZANI

Wenye nyota ya Mizani wanatakiwa wavae nguo yenye kupendeza zenye mapambo na zenye kuashira mahaba.

Nguo ziwe za rangi ya Pinki au rangi ya udongo.

Kitambaa kiwe cha kotoni chepesi na chenye picha picha, kisiwe kile ambacho hakikuchorwa kitu.

Wavae sana mikanda na wapende kuvaa nakshi za maua pamoja na skafu au mitandio iliyoingia. Wanapendelea mavazi ya ushanga na mikufu.

MATATIZO YA KIAFYA

Nyota hii inatawala figo, sehemu ya utumbo mkubwa, kiuno, mpaka sehemu ya juu ya matako.

Sababu kubwa ya maradhi yao ni kwamba wanapenda sana kutafuta amani na suluhu hata wakiudhiwa au kukasirishwa. Matokeo yake wanavunjika moyo na kujinyima yale wanayoyapenda. Sana na hiyo inawafanya waudhike na wajisikie vibaya na inawasababishia maradhi.

Magonjwa yao makubwa ni figo, kibofu cha mkojo, ugonjwa usioambukiza wa ngozi unaowasha na unapojikuna huvimba (Eczema),maradhi ya misuli ya kiuno na matoki.

Tatizo lingine kubwa ni unene.Watu wa mizani wanapenda sana kula na hiyo inatokea sana wanapokuwa wameudhiwa. Wao wanaona ni bora zaidi kuondoa hasira zao kwa kula chakula.

KAZI ZA WENYE NYOTA YA MIZANI

Wenye nyota hii wanapenda sana kutumia uwezo wao wa kuzaliwa na inawawia vigumu wakati mwingine kutafuta kazi wanazozipenda.

Wanapenda kufanya kazi katika mazingira ya amani na yasiyo na usumbufu.

Kazi zao hasa zinakuwa za uhusiano wa jamii ushauri wa ndoa, biashara ya sanaa, ushauri wa mambo ya urembo au mwanasheria.

FAMILIA ZA MIZANI

Wazazi wenye nyota ya mizani wanapenda sana unadhifu na wanapenda watoto wao wawe nadhifu na wenye mavazi mazuri.

Wanapenda kutumia muda mwingi na fedha nyingi kuwafunza watoto wao tabia nzuri. Kwao ni muhimu sana mtoto akikubalika na kila mtu.

Wanapenda amani katika nyumba zao na wana tabia ya kuwapangia watoto wao namna ya kuishi na kufanya vitu ambavyo wao wnyewe wameshindwa kuvifanya.

MADINI YA MIZANI

Wenye nyota hii wanatakiwa wavae vito vinavyoitwa LAPIS LAZULI. Mawe kama nye rangi ya Bluu iliyokoza, wamisri wanayaita mawe ya peponi. Yakiwekwa kama kito kwenye pete ya dhahabu yanaleta mizani kwa wenye nyota hii.

UHUSIANO WA KIMAPENZI

(Punda na Mizani)

Tabia ya Punda ya haraka haraka. Vishindo na kutumia nguvu bila kufikiria, hulainishwa au kuzimwa na diplomasia, uerevu na ujanja wa mizani. Punda vile vile hupendezwa na uwezo au kipaji cha mahaba walichonacho wenye nyota ya mizani.

VYAKULA VYA MIZANI:
Wenye nyota hii wanashauriwa wapende kula vyakula au Matunda yafuatayo ambayo ndio yanayotawaliwa na nyota yao,Tufaha (Apple), viazi Mviringo (Potatoes), Chaza (Oyster) na Nyama ya Njiwa.

NCHI ZA KUISHI ZA MIZANI:
Ili kupata mafanikio ya kinyota kwa wale wenye uwezo wanashauriwa aidha kuishi au kutembelea nchi au miji ifuatayo ambayo inatawaliwa na nyota hii ya Mizani.
Miji hiyo ni Copenhagen (Denmark) na Vienna (Austria) na nchi ni Canada na Japan.

RANGI ZA MIZANI
Wenye nyota hii wanapenda rangi zilizopakwa juu juu ra.na laini hivyo wanashauriwa watumie rangi ya aina yeyote lakini iwe hafifu katika nyumba zao au vyumba vyao au sehemu zao za biashara.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
MziziMkavu tafadhali pia andika na nyota ya Ng'ombe(Taurus)
 
Ni Ushetani na Ushirikina mtupu.

Hawa wapiga Ramli Wana Laana ya Mungu.
kazi kuibia watu tu. kazi za halali hawawezi kufanya. Yaani ni Mashetani wabaya sana hawa .
Mambo ya nyota, sio ushirikina, ni astrology.
P
 
Mambo ya nyota, sio ushirikina, ni astrology.
P
Don't make me laugh P. I'm not in the mood.
Astrology means the study of the movements and relative positions of celestial bodies interpreted as having an influence on human affairs and the natural world.

These morons Never ever been to any study of celestial bodies rather they learn from JINN. au kwa kiswahili Mashetani to practice their whitch crafts.

watabiri wapiga Ramli Wana shule inayojulikana?
Kuna School of Astrology wanafukiza mavi ya panya na miguu ya chura? na kuvaa hirizi na vitambaa vyeusi?

Pasco unatetea huu Uchafu au na wewe unataka kuwa mwanga?
 
Tafuta vitabu vya Linda Goodman's Sun Signs na Love Signs, ameeleza vizuri, kwenye astrology hakuna uchawi wowote, bali the effects of powers from the movements and relative positions of celestial bodies inavyo influence on human affairs siku unazaliwa depending on exactly time and location and also its influence, effects na impacts on the natural world, inayotokana na nguvu ya uvutano kati ya dunia, mwezi na nyota, ndio zinasababisha maji kujaa na kupwa, ndio ina control siku za wanawake na changing moods zao, ndio ina determine kuanza kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadan na kuisha kwa mfungo, ndio determinant ya direction ya Kibla na hata Masiya alipozaliwa, no nyota zilionyesha.

Ukiondoa ma astrologers matapeli, the real astrology is for real na haitumii uchawi wowote!.
P
 
kama ni hivyo basi wengi tuna hizo nguvu zaidi ya mbili.mfsno. kwa uoande wangu huwa naota kila mara nakemea vitu viovu hasa vya kishirikina. na hata kuruka hewami ninapokuwa na pambana na kitu.
 
Baada ya kudai kuwa wewe umejifunza hizo extra Senses In India and so On. na Baada ya kuanza kulewa ukazipoteza
Nimekuuliza swali hapo juu NANI KTK DUNIA HII Tunayoishi ana UWEZO wa Kunambia yaliojificha? NITAJIE MMOJA TU anaejulikana.
Usinitajie majina ya Vitabu na Philosophers!
or Name of the Movie.

Nipe jina la mtu anaejulikana mwenye hizo so called 8 senses Bull crap!

Watu wanasoma miaka 20 ili waweze kutambua tu namna gani ya kumuhoji mhalifu wewe unatwambia kuna mtu ANA UWEZO WA KUUONA UHALIFU WA MTU hata kabla HAJASEMA?

Pasco kaka hizi habari zako bora upeleke kwenye Jukwaa la Jokes. hapa utasababisha baadhi ya wadau dhaifu wakufuate Inbox uwapatie solution ya Umaskini wao hali ya kuwa wewe mwenyewe Rizki miguuni.

Tazama mzizi mkavu anavyodanganya watu.
matokeo yake anauza dawa za Bahati na zingine za ajabu ajabu kwa bei anazojua yeye wakati yeye mwenyewe anatafuta Bahati mpk leo.
Nimesema niliishi India kwa mengine ila nikapata wasaa wa kujifunza hayo kwa kujisomea tuu, hivyo sikufundishwa na yeyote na wala sikwenda India kusomea hayo.

Kwa vile mimi source yangu ni kusoma tuu vitabu na wala sijawahi kujifunza rasmi chochote, na popote, then siwezi kukutafutia mtu yoyote zaidi ya kukushauri utafute vitabu vya mtu anaitwa Uri Geller usome.

Wenzetu CIA, FBI, Scotland Yard, wanawatumia watu hawa kusolve mysterious deaths. British Airways wanawatumia kuzuia ajali za ndege. Balozi zote za Israel dunia nzima zinawatumia kulinda usalama wa rais wao. Kuna mamia ya Wa Israel wanafanya kazi Twin Towers, siku ya 9/11, wote walitumiwa warning wasiende kazini, hakuna hata mmoja wao alipoteza maisha.

By now usikute tayari kuna watu, wenye hizi powers wanamuona huyu dogo mahali alipo, fichwa, ila hawaruhusiwi kusema!, At the same time matapeli wa kuchungulia mtungini na kumuona yule yule, wako busy kustrategize jinsi ya kupiga hela.

Ni kweli baada ya kupandisha uzi huu, kiukweli nimefuatwa sana inbox, watu wakitaka msaada wangu kwa kunidhania mimi ni teacher na wako tayari kulipa nifungue darasa, na wenginei ni 'fundi'
Wote ninawaeleza humu knowledge yangu kwenye mambo haya ni kwa kusoma tuu vitabu, na links zote nimempata humu.

Baada ya mimi kugoma kupokea senti tano ya mtu, wenye jicho la kuangazia fursa, wakaona fursa, wakachangamkia, wameunda ma group yao ya WhatsApp, wanajipigia pesa yao na kujilia mpunga wao kwa ulaini na mimi kazi yangu ni kushauri tuu kama hapa kwenye bandiko hili, angalia watu wanafundishwa nini na uangalie mchango wangu nimeshauri nini
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection) - JamiiForums
P
 
Tafuta vitabu vya Linda Goodman's Sun Signs na Love Signs, ameeleza vizuri, kwenye astrology hakuna uchawi wowote, bali the effects of powers from the movements and relative positions of celestial bodies inavyo influence on human affairs siku unazaliwa depending on exactly time and location and also its influence, effects na impacts on the natural world, inayotokana na nguvu ya uvutano kati ya dunia, mwezi na nyota, ndio zinasababisha maji kujaa na kupwa, ndio ina control siku za wanawake na changing moods zao, ndio ina determine kuanza kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadan na kuisha kwa mfungo, ndio determinant ya direction ya Kibla na hata Masiya alipozaliwa, no nyota zilionyesha.

Ukiondoa ma astrologers matapeli, the real astrology is for real na haitumii uchawi wowote!.
P
Now you are talking about something different all together P.

kwanza ulianza kuleta habari za jicho la nne sasa unaongelea habari tofauti kabisa.

Nadhani utakuwa umekubaliana na Mimi kuwa HAKUNA MTU mwenye uwezo wa kuona kesho wala kuona YALIOJIFICHA.

Huu ni uongo na utapeli wa kitoto kabisa.
 
Huku sio kunitendea haki!.
P.
kiongozi unapoandika kuwa ulijifunza elimu ya Yoga huko India na ukathibitisha kuwa kuna watu wana uwezo wa kuona yasio onekana kwenye macho ya watu wengine (So called 8 senses) huo ulikuwa ni Uongo Bro.

tuseme ukweli Pascal.
 
Enyi wadanganyika kama kuna mtu anajihisi ana hizo nguvu za ajabu kama mnavyosimuliana hata kama ni bibi yako huko kijijini mtafutie hela mpeleke USA akashiriki The One Million Dollar Paranormal Challenge linalodhaminiwa na James Randi Educational Foundation (JREF) otherwise mnafanya porojo za kwenye ghahawa tu!!..
NOTE:
shindano limeanza toka 1964 lakini hakuna mshindi hata mmoja, yawezekana mnakaa kupiga porojo kumbe hizo shirki mnaweza zitumia kupiga hela!(Tafakari Millioni Moja ya USA ukiileta kibongo)
Superpowers sio za kupublicize au kushow off, huwezi mwamini mtu au jua wanataka wakutumieje, maybe wanakutega, as many people don't officially believe in it ndo maana inakuwa ni undercover, na ndo maana people with powers wanajidistance away from people au hawainteract sana na watu.
 
Now you are talking about something different all together P.

kwanza ulianza kuleta habari za jicho la nne sasa unaongelea habari tofauti kabisa.

Nadhani utakuwa umekubaliana na Mimi kuwa HAKUNA MTU mwenye uwezo wa kuona kesho wala kuona YALIOJIFICHA.

Huu ni uongo na utapeli wa kitoto kabisa.
Akikutajia hayo majina unitag na mie niendelee kujifunza zaidi.
 
Back
Top Bottom