Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Nisaidieni maana mpaka sasa sielewi. Juzi kati nilikua natembea na kaka mmoja, kukatokea ndege jamii ya kunguru, alikua anatufukuza na kutaka kudonoa kichwa cha huyo kaka kama mala sita hivi, ila mimi wala hanigusi, anakuja kasi anataka donoa vile ana paa, then analudi tena mpaka mara sita, cikielewa mpaka leo

Huyo mkaka alikuwa amesuka nywele au??
Maana wanamme wakisuka nywele wale kunguru hudhani ni jike lingine linaingia anga zake!

Kama alikuwa kawaida basi huenda kunguru alidhani ni msosi flani!
Hakuna cha mashetani wala cha upuuzi gani!
Usidanganywe na mtu dada! Hawa wanaokwambia sijui nini nguvu ya madudu gani WOOTE HAO MATAPELI!
Hawana wajualo zaidi ya kutuwekea vitu vya ku copy and paste!

We toka umezaliwa umeshaona kwa macho yako jini au sheitwani??
Saana utaona vivuli vya ajabu ajabu ukimbie kivyako! Lkn hakuna upuuzi wa shetani akamvamia mtu akamuumiza!.

Wachawi wapo lkn kama imani yako madhubuti hawana llt! Wanachofanya ni kutisha watu tu.
Km hao wababe kwanini wasiwaendee watu maarufu?? Wanaishia uswahilini tu na vijijini!
 
Huyo mkaka alikuwa amesuka nywele au??
Maana wanamme wakisuka nywele wale kunguru hudhani ni jike lingine linaingia anga zake!

Kama alikuwa kawaida basi huenda kunguru alidhani ni msosi flani!
Hakuna cha mashetani wala cha upuuzi gani!
Usidanganywe na mtu dada! Hawa wanaokwambia sijui nini nguvu ya madudu gani WOOTE HAO MATAPELI!
Hawana wajualo zaidi ya kutuwekea vitu vya ku copy and paste!

We toka umezaliwa umeshaona kwa macho yako jini au sheitwani??
Saana utaona vivuli vya ajabu ajabu ukimbie kivyako! Lkn hakuna upuuzi wa shetani akamvamia mtu akamuumiza!.

Wachawi wapo lkn kama imani yako madhubuti hawana llt! Wanachofanya ni kutisha watu tu.
Km hao wababe kwanini wasiwaendee watu maarufu?? Wanaishia uswahilini tu na vijijini!

Kaka inaonekana hujamuelewa mleta uzi, mleta uzi hajazungumzia kuhusu habari za uchawi, mleta uzi anazungumzia habari za mwanadamu kuwa na nguvu kuu iliyo ndani yake ambayo kama ataitumia vizuri basi inaweza kusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazo mzunguka. Soma swali elewa swali jibu swali
 
Kaka inaonekana hujamuelewa mleta uzi, mleta uzi hajazungumzia kuhusu habari za uchawi, mleta uzi anazungumzia habari za mwanadamu kuwa na nguvu kuu iliyo ndani yake ambayo kama ataitumia vizuri basi inaweza kusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazo mzunguka. Soma swali elewa swali jibu swali

Hapo sijamjibu mleta uzi! Nimemjibu huyo dada aliyekuwa anafukuzwa na kunguru!
Elewa jibu kaka kabla ya kuchallenge!

Dada kaona mambo ya ajabu! Mi nnachofanya ni kumuondoa wsws tu! Manake kuna watu wanatafuta biashara kwa kutisha watu!!
 
Ninawaonea huruma na kuwasikitikia sana wale wote walionaswa na huu mtego.
Waabudu shetani wanatafuta wafuasi,asomae na afahamu

Roby super natural powers si uchawi wala kuabudu shetani kuna tofauti kubwa sana katika ya kuabudu shetani na kuwa na hizo nguvu na uchawi pia

Ni swala la self practice na insight meditation unaweza kuwa mtu mwingine kabisa lakini si mchawi wala mwabudu shetani

Kwa faida yako waabuduo shetani huendana na ibada za Kunywa damu na kula nyama ya binadamu, kufanya ibada uchi na kupiga muziki mzito, kutoa kafara ya binadamu na mambo yote machafu, nimebahatika kusali mara moja kwenye moja ya makanisa yao sio hapa nchini lakini,naifahamu satanism vizuri sana

Super natural powers ni kinyume kabisa na kifanywacho na dini ya mashetani-Satanism, Hapa hakuna kutoa kafara wala ibada chafu nk nk, ni mafundisho ya kuondoa takataka zilizozunguka ufahamu wako ,Pasco amefafanua vizuri sana Natamani niandike mengi ili.uelimike
 
Hivi haya mambo yanahuhusiano na mambo ya NYOTA maana nimeona MziziMkavu kiana ka anayaunganisha pamaoja...!! Na ka yanahuhusiano, je ni kivipi, nahisi ka yakiwa yanaconnect na mambo ya nyota..!! yanapingina na mambo ya Mungu...
Jaman anaejua hili anitoe dukuduku...

mkuu haya mambo mm ninavyofikili yana pande kuu 2 kuna namna ya kiMUNGU na kishetani?
hizi nguvu zipo na huwa tunazaliwa nazo na huwa kadri tunavyo kua kwa kujua mema na mabaya huwa zinapotea na kupungua. aidha kwa kutojua kuzitumia na kuzielewa au kwa kufanya mambo ambayo huzikimbiza au kuzififisha hizo nguvu.

sasa kosa kubwa ambalo huwa hufanyika baada ya kujitambua na kutambua umuhim wa nguvu hizi na kuanza kuhangaika kuzirejesha kwa watu wenye ufaham wa haya mambo ndio huwa wanatuangushia kwenye njia zisizo salama za kishetani na ndizo ambazo njia wengi wetu tunazimudu kutokana na zile za kiMUNGU kuwa na masharti magum sana hasa ya kuishi kwa kumtegemea yeye. na kutotenda zambi.
 
three-breathing-exercises-inside.jpg

[h=2]Three Breathing Exercises[/h]"Practicing regular, mindful breathing can be calming and energizing and can even help with stress-related health problems ranging from panic attacks to digestive disorders."
Andrew Weil, M.D.

Since breathing is something we can control and regulate, it is a useful tool for achieving a relaxed and clear state of mind. I recommend three breathing exercises to help relax and reduce stress: The Stimulating Breath, The 4-7-8 Breathing Exercise (also called the Relaxing Breath), and Breath Counting. Try each and see how they affect your stress and anxiety levels.
Exercise 1:
The Stimulating Breath (also called the Bellows Breath)

The Stimulating Breath is adapted from a yogic breathing technique. Its aim is to raise vital energy and increase alertness.

  • Inhale and exhale rapidly through your nose, keeping your mouth closed but relaxed. Your breaths in and out should be equal in duration, but as short as possible. This is a noisy breathing exercise.
  • Try for three in-and-out breath cycles per second. This produces a quick movement of the diaphragm, suggesting a bellows. Breathe normally after each cycle.
  • Do not do for more than 15 seconds on your first try. Each time you practice the Stimulating Breath, you can increase your time by five seconds or so, until you reach a full minute.
If done properly, you may feel invigorated, comparable to the heightened awareness you feel after a good workout. You should feel the effort at the back of the neck, the diaphragm, the chest and the abdomen. Try this breathing exercise the next time you need an energy boost and feel yourself reaching for a cup of coffee.
Exercise 2:
The 4-7-8 (or Relaxing Breath) Exercise

This exercise is utterly simple, takes almost no time, requires no equipment and can be done anywhere. Although you can do the exercise in any position, sit with your back straight while learning the exercise. Place the tip of your tongue against the ridge of tissue just behind your upper front teeth, and keep it there through the entire exercise. You will be exhaling through your mouth around your tongue; try pursing your lips slightly if this seems awkward.

  • Exhale completely through your mouth, making a whoosh sound.
  • Close your mouth and inhale quietly through your nose to a mental count of four.
  • Hold your breath for a count of seven.
  • Exhale completely through your mouth, making a whoosh sound to a count of eight.
  • This is one breath. Now inhale again and repeat the cycle three more times for a total of four breaths.
Note that you always inhale quietly through your nose and exhale audibly through your mouth. The tip of your tongue stays in position the whole time. Exhalation takes twice as long as inhalation. The absolute time you spend on each phase is not important; the ratio of 4:7:8 is important. If you have trouble holding your breath, speed the exercise up but keep to the ratio of 4:7:8 for the three phases. With practice you can slow it all down and get used to inhaling and exhaling more and more deeply.
This exercise is a natural tranquilizer for the nervous system. Unlike tranquilizing drugs, which are often effective when you first take them but then lose their power over time, this exercise is subtle when you first try it but gains in power with repetition and practice. Do it at least twice a day. You cannot do it too frequently. Do not do more than four breaths at one time for the first month of practice. Later, if you wish, you can extend it to eight breaths. If you feel a little lightheaded when you first breathe this way, do not be concerned; it will pass.
Once you develop this technique by practicing it every day, it will be a very useful tool that you will always have with you. Use it whenever anything upsetting happens - before you react. Use it whenever you are aware of internal tension. Use it to help you fall asleep. This exercise cannot be recommended too highly. Everyone can benefit from it.
Exercise 3:
Breath Counting
If you want to get a feel for this challenging work, try your hand at breath counting, a deceptively simple technique much used in Zen practice.
Sit in a comfortable position with the spine straight and head inclined slightly forward. Gently close your eyes and take a few deep breaths. Then let the breath come naturally without trying to influence it. Ideally it will be quiet and slow, but depth and rhythm may vary.

  • To begin the exercise, count "one" to yourself as you exhale.
  • The next time you exhale, count "two," and so on up to "five."
  • Then begin a new cycle, counting "one" on the next exhalation.
Never count higher than "five," and count only when you exhale. You will know your attention has wandered when you find yourself up to "eight," "12," even "19."
Try to do 10 minutes of this form of meditation.
 
kweli wajinga ndio waliwao .
na siku zote hata bible imeandika tunaangamia kwa kukosa maarifa.
hakuna uchawi mkubwa kama IMANI hakika hapa ndio penye kila kitu bila kusita nguvu za mungu zinafanya kazi kama neno hili IMANI lipo ndani yako juu yake na kile kitolewacho naye.
bila shaka kwa wale wa imani ya yesu hakika yeye mwenyewe kaponya sana ila neno hili alikuwa haachi kulisisitiza IMANI ni mara ngapi anawaponya watu bila hata kuwashika au mwagia maji au paka mafuta au kuwawekea mikono na kuwaambia kuwa IMANI yako imekuponya?

hata kama watashuka malaika toka mbinguni leo hata kama wawe 800 kukutibu kama huna IMANI hakika hutopona.hata leo hii YESU KRISTO arudi na kuanza kuponya hakika kama mponywaji hana imani kamwe hata pona?
kuna yule mama 1 alikuwa na tatizo la kutokwa na dam hakika alikuwa na imani bila hata YESU kumuombea yeye aliamini kuwa akishika tu upinde wa vazi la YESU atapona hakika alipona hapa kilicho mponya sio nguo ya yesu bali ni IMANI yake?

kabla ya kuletewa hizi dini magumashi na wazungu tulikuwa na imani zetu na tulikuwa tunaziabudu na zilikuwa na majibu mazuri sana juu ya imani zetu leo hii makanisa kila kona na kamwe mapepo na majini hayaishi makanisani kwa nini?? inamaana kuna watu wao huko na ikiwezekana huyo mchungaji ndio mfuasi wao na nimkubwa wao pia sasa kwanini kutwa wasiwe na mfuasi wao? kama wachungaji wanaponya kwa kutumia hizi nguvu but wameziwezesha kwa njia ya ushetani mnategemea nini hapo?

tatizo hapa sio nguvu bali ni jinsi njia ya kuwa na hizo nguvu au kuzi grow ili ziweze fanya kazi watu ndio wanapotea hapa na wajanja kwa kutumiwa na shetani wanawafunza watu vibaya kwa kuzitumia kwa njia ya kishetani.

siku zote cha shetani na MUNGU hutenganishwa na matendo?
AKILI ZAKO CHANGANYA NA ZAKUAMBIWA THEN UTAPATA JIBU
 
Mkuu Mbeky, kabla hajaja Masiya, mabingwa wa nyota waliishatabiri miaka mingi kabla!. Siku alipozaliwa pale Bethlehemu, Nyota ilionekana kuwa "amezaliwa mfalme!". Herode akapanick na kutuma wapepelezi kwenda kupepeleza huyo mfalme kazaliwa wapi?. Waliposhindwa kutambua, akawafuata wataalamu wa nyota "mamajusi" akawapa zawadi mbalimbali za vito, dhahabu, almasi na manukato ya gharama yakiwemo manemane ili kwenda kumsujudia!. Wale mamajusi kwa kutumia powers za "telepathy" wakasoma mawazo ya Horode, kuwa hakuwa na nia njema!, hivyo baada ya kufika na kuthibitisha kuwa kumbe kweli Masiya ni Mfalme wa Wayahudi, wakachage mind, hawakurudi tena kwa Herode kumpa taarifa, bali walitokomea zao!. Herode kuona hivyo, akatoa amri watoto wote wa kiume chini ya miezi 6 nchi nzima, wasakwe wauwawe!. Masikini ya Mungu, watoto wale waliuliwa bure!, Masiya alikwisha toroshewa Misri siku nyingi!.

Mambo ya nyota yapo kote na sio ya kishetani, bali matumizi ya hizo powers za mambo ya nyota ukiyatumia vibaya kama ulozi, kupiga ramli, kufifisha nyota za watu, au kusafiria nyota za wengine, ndio yanakuwa ni ya kishetani, nguvu za nyota zinapotumika kurekebisha mood, kupanga uzazi, kutibu ugumba kwa astrabiology, kujua majira ya mwaka, masiki na kiangazi , kujua tabia na mienendo ya watu, kubaini majanga na kuchukua tahadhari, atc, sio kishetani!.
Pasco
Mkuu vp kuhusu ndoto,,zina conection yoyote na hiz power,,af mm kuna kitu cha ajabu kishawah kunitokea,nlikua nimelala chumban kwangu ucku ila nkaja kustuka niko sebulen kwenye kiti na ckujua nlifikaje pale,hii ikoje?
 
Roby super natural powers si uchawi wala kuabudu shetani kuna tofauti kubwa sana katika ya kuabudu shetani na kuwa na hizo nguvu na uchawi pia

Ni swala la self practice na insight meditation unaweza kuwa mtu mwingine kabisa lakini si mchawi wala mwabudu shetani

Kwa faida yako waabuduo shetani huendana na ibada za Kunywa damu na kula nyama ya binadamu, kufanya ibada uchi na kupiga muziki mzito, kutoa kafara ya binadamu na mambo yote machafu, nimebahatika kusali mara moja kwenye moja ya makanisa yao sio hapa nchini lakini,naifahamu satanism vizuri sana

Super natural powers ni kinyume kabisa na kifanywacho na dini ya mashetani-Satanism, Hapa hakuna kutoa kafara wala ibada chafu nk nk, ni mafundisho ya kuondoa takataka zilizozunguka ufahamu wako ,Pasco amefafanua vizuri sana Natamani niandike mengi ili.uelimike
Andika mengine 2elimike mkuu,,vp kihusu ndoto?
 
Andika mengine 2elimike mkuu,,na vp kuhusu ndoto? Af mi kuna cku nlikua nimelala chumban kwangu ucku ila nkaja kustuka niko sebulen tena kwenye nyumba kubwa,,hii ikoje???
Mkuu Mwamba, kwa kuanzia "ndoto ni nini?". Ndoto is just a "state of mind", kitu ambao kiko kimawazo tuu!.
Hizi ndoto zimegawanyika katika makundi tofauti kutegemea lengo la ndoto!.
Ziko ndoto za kawaida tuu kwa lengo la kuupumzisha ubongo. Hizi ndizo nyingi!. Wakati sisi tumelala, ubongo wenyewe unahitaji mapumziko ya say 30 minutes only!. baada ya hapo, ubongo huamka wakati mwili bado umelala. Ubongo unapoamka na kujikeep bize kwa hili na lile, ndipo wewe huota!.

Ni katika kujikeep bize huko, ndiko hufanya mambo kadhaa mengine ya kweli na mengine si ya kweli. Yale ya kweli ambayo hatimaye hutokea ndio hayo huitwa "Dream Come True" na yale yanayobakia ndotoni bila ku materialize huitwa ndoto tuu!.

Ndoto za kweli ni yale unayooteshwa na kionyeshwa kama maono, hata kitabu cha Biblia kina maeneo kimeandika kwa mambo watu walootoshwa kikiwemo kitabu cha Mwanzo na Ufunuo wa Yohana.

Kwenye hizi ndoto, tunaonyeshwa mambo ya everday life yakiwemo matukio yaliyopita, yaliyopo na yajayo, ila uwezo wetu wa kumbukumbu ni mdogo, hivyo hatuwezi kuzikumbuka ndoto zote!.

Miongoni mwa ndoto maarufu za kweli, ni ndoto zootwazo "wet dreams" ambapo huotwa na vijana wa kike na kiume waliokwisha "kukua", hivyo lengo la hizi "wet dreams" ni ku fanya "emmission" ya "access" ili "production" iendelee!, hivyo unaota una "do!" ukiamka umelowa au kulowesha mashuka!.

Kuna watu wakiota, wanaota huku wanazungumza kwa sauti kabisa!. Mfano mtu ameiba mje ya ndoa, aliua, au chochote, akiwa ndoto huweza kukiri wazi. Hawa ambao huzungumza ndotoni.

Kuna wale ambao hutembea wawapo ndotoni, yaani "sleep working" huitwa Somnambulist na kitendo cha kutembea huku umelala huitwa Somnambulism na hiki ndicho kilichokutokea, hadi kujikuta uko sebuleni!, iliamka ndotoni, ukafungua milango ndotoni, ukaenda sebuleni ndotoni, na ukiwa hapo sebuleni ndipo ukashtuka na kuamka kiukweli.
Pasco.
 
Back
Top Bottom