Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasco, thread hii haina tofauti na ile ya yue ndugu alieanzaisha thread yake 'NAMNA YA KUYAITA MAJINI".
[h=1]See Energy in the Air[/h]
Mkuu Mwamba, kwa kuanzia "ndoto ni nini?". Ndoto is just a "state of mind", kitu ambao kiko kimawazo tuu!.
Hizi ndoto zimegawanyika katika makundi tofauti kutegemea lengo la ndoto!.
Ziko ndoto za kawaida tuu kwa lengo la kuupumzisha ubongo. Hizi ndizo nyingi!. Wakati sisi tumelala, ubongo wenyewe unahitaji mapumziko ya say 30 minutes only!. baada ya hapo, ubongo huamka wakati mwili bado umelala. Ubongo unapoamka na kujikeep bize kwa hili na lile, ndipo wewe huota!.
Ni katika kujikeep bize huko, ndiko hufanya mambo kadhaa mengine ya kweli na mengine si ya kweli. Yale ya kweli ambayo hatimaye hutokea ndio hayo huitwa "Dream Come True" na yale yanayobakia ndotoni bila ku materialize huitwa ndoto tuu!.
Ndoto za kweli ni yale unayooteshwa na kionyeshwa kama maono, hata kitabu cha Biblia kina maeneo kimeandika kwa mambo watu walootoshwa kikiwemo kitabu cha Mwanzo na Ufunuo wa Yohana.
Kwenye hizi ndoto, tunaonyeshwa mambo ya everday life yakiwemo matukio yaliyopita, yaliyopo na yajayo, ila uwezo wetu wa kumbukumbu ni mdogo, hivyo hatuwezi kuzikumbuka ndoto zote!.
Miongoni mwa ndoto maarufu za kweli, ni ndoto zootwazo "wet dreams" ambapo huotwa na vijana wa kike na kiume waliokwisha "kukua", hivyo lengo la hizi "wet dreams" ni ku fanya "emmission" ya "access" ili "production" iendelee!, hivyo unaota una "do!" ukiamka umelowa au kulowesha mashuka!.
Kuna watu wakiota, wanaota huku wanazungumza kwa sauti kabisa!. Mfano mtu ameiba mje ya ndoa, aliua, au chochote, akiwa ndoto huweza kukiri wazi. Hawa ambao huzungumza ndotoni.
Kuna wale ambao hutembea wawapo ndotoni, yaani "sleep working" huitwa Somnambulist na kitendo cha kutembea huku umelala huitwa Somnambulism na hiki ndicho kilichokutokea, hadi kujikuta uko sebuleni!, iliamka ndotoni, ukafungua milango ndotoni, ukaenda sebuleni ndotoni, na ukiwa hapo sebuleni ndipo ukashtuka na kuamka kiukweli.
Pasco.
Mimi hata sijaelewa, mnaweza kunipa breif kidogo kwa kiswahili
Mkuu Kakalende, kwanza hongera!, you have the powers!, kitu unachohitaji ni kwanza kujitambua kuwa you have the powers, hivyo wewe ni mtu powerful!.Mkuu Pasco, heshima mbele kwa huu uzi, hakika kama ni upele umepata mkunaji!
Mimi mwenyewe sijui nijiweke katika kundi gani; kwa mfano, kama kuna kitu nimepoteza huweza kukitafuta kwa kukaa sehemu moja na kutafakari muda mrefu kisha nakiona kitu hicho mahala kilipo na kwenda kukikuta. wakati mwingine kama nafuatilia jambo lenye manufaa; kama kazi inayolipa, kabla hata ya kuiomba hutafakari kwa muda mrefu na mara nyingi huomba kazi hiyo mwishoni na ni nadra sana kuikosa. Wakati mwingine hufanya hivyo kama kujipima uweza na kisha nikaikataa kazi yenyewe.
Mara kadhaa nimeota ndota juu ya matukio yahusuyo jamaa zangu wa karibu na kisha kuja kuhakikishiwa kesho yake. Katika shughuli zangu kuna kipindi nilikuwa naota nikitembea juu ya mawingu na kukaa muda mrefu ikawa kama ni uhalisia; tena zinajirudia kwa siku kadhaa, na katika kipindi hicho mambo yangu huenda kama nilivyotarajia.
Hata hivo mie ni mu-Isilam na nimelelewa katika kisanduku cha imani zetu hizi za dini na kila mara hufanya maombi sana hadi kuamini ni matokeo ya hizo dua. Siku za karibuni nimekuwa mvivu sana wa maombi, nimeongeza starehe na uwezo huu nahisi kama unapotea.
Lakini uzi huu umenifungua macho sasa nitafanya juhudi za makusudi kufungua kipawa nilichonacho
Mkuu Kakalende, kwanza hongera!, you have the powers!, kitu unachohitaji ni kwanza kujitambua kuwa you have the powers, hivyo wewe ni mtu powerful!.
Pili upate mazoezi ya mastering those powers under your control at will. Wengi wana powers hizi ila zimelala, na huiamka tuu pale wanapokuwa wamekwama na hawana jinsi, ndipo huzifungulia na mwishowe kujishaanga wamewezaje!, wengi huishia kusema ni Mungu tuu!.
Wewe uki shapen hizo powers zako kutafuta vitu vilivyopotea, utajikuta, unaweza kutazama tuu ramani ya eneo fulani, ukajua ukuchimba hapa chini kuna dhahabu, almasi, mafuta au gesi, and save lots of exploration money!, huku wewe ukizua some % ya chochote kitakachopatikana. Tafuta kitabu cha Fortune Secrets: Uri Geller:
Hili la usafi wa mwili na roho ni kweli, ndio maana hata Masiya alipotaka kufanya miujiza mikubwa, alifunga!. Ukifunga, unaiusafisha mwili na kuiimarisha roho. Ukiutumia mwili wako vibaya, powers zinapingua!.
Mimi ni Mkatoliki, tunaruhusiwa kunywa mvinyo na tunaunywa mpaka madhabahuni!, kati ya wahubiri wote duniani, wahubiri dhaifu kuliko wote ni Wakatoliki!, sisemi ni kwa sababu ya pombe, ila kuna uwezekano hilo linachangia.
Mimi nimeshindwa kujiunga na kundi lolote rasmi la meditation kwa sababu, nimeshindwa kabisa kuacha pombe na yale "mambo" yetu yale!.
Pasco
Mwamba, powers ziko kwenye subconcious mind, zimezongwa na mazagazaga ya mawazo ya concious mind, ili uweze kuzifikia ni lazima u relax ili hayo mazagazaga ya concious mind yapingue ndipo ziamke. Meditation ni mazoezi ya relaxation tuu ili subconcious mind iamke. Bangi ina kemikali ya canabis ambayo inasaidia relaxation.kwn ili ufanye meditation ni vitu gan ambavyo hutakiw kuvitumia au kuvifanya? Af kuna m2 aliuliza km kuna uhusiano wwte kat ya bang na meditation