Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Pasco, thread hii haina tofauti na ile ya yue ndugu alieanzaisha thread yake 'NAMNA YA KUYAITA MAJINI".
 
Kuna ndoto niliota nikiwa na umri mdogo kama 6-7 hajabu sijaisahau mpaka leo ni mtu mzima around 40.
Niliona farasi angani wakiendesha deraya huku wakiwaka moto bila kuungua sijui ina maana gani nisaidieni kama kuna uhusiana wowote na hizi nguvu.
 
Mkuu Mwamba, kwa kuanzia "ndoto ni nini?". Ndoto is just a "state of mind", kitu ambao kiko kimawazo tuu!.
Hizi ndoto zimegawanyika katika makundi tofauti kutegemea lengo la ndoto!.
Ziko ndoto za kawaida tuu kwa lengo la kuupumzisha ubongo. Hizi ndizo nyingi!. Wakati sisi tumelala, ubongo wenyewe unahitaji mapumziko ya say 30 minutes only!. baada ya hapo, ubongo huamka wakati mwili bado umelala. Ubongo unapoamka na kujikeep bize kwa hili na lile, ndipo wewe huota!.

Ni katika kujikeep bize huko, ndiko hufanya mambo kadhaa mengine ya kweli na mengine si ya kweli. Yale ya kweli ambayo hatimaye hutokea ndio hayo huitwa "Dream Come True" na yale yanayobakia ndotoni bila ku materialize huitwa ndoto tuu!.

Ndoto za kweli ni yale unayooteshwa na kionyeshwa kama maono, hata kitabu cha Biblia kina maeneo kimeandika kwa mambo watu walootoshwa kikiwemo kitabu cha Mwanzo na Ufunuo wa Yohana.

Kwenye hizi ndoto, tunaonyeshwa mambo ya everday life yakiwemo matukio yaliyopita, yaliyopo na yajayo, ila uwezo wetu wa kumbukumbu ni mdogo, hivyo hatuwezi kuzikumbuka ndoto zote!.

Miongoni mwa ndoto maarufu za kweli, ni ndoto zootwazo "wet dreams" ambapo huotwa na vijana wa kike na kiume waliokwisha "kukua", hivyo lengo la hizi "wet dreams" ni ku fanya "emmission" ya "access" ili "production" iendelee!, hivyo unaota una "do!" ukiamka umelowa au kulowesha mashuka!.

Kuna watu wakiota, wanaota huku wanazungumza kwa sauti kabisa!. Mfano mtu ameiba mje ya ndoa, aliua, au chochote, akiwa ndoto huweza kukiri wazi. Hawa ambao huzungumza ndotoni.

Kuna wale ambao hutembea wawapo ndotoni, yaani "sleep working" huitwa Somnambulist na kitendo cha kutembea huku umelala huitwa Somnambulism na hiki ndicho kilichokutokea, hadi kujikuta uko sebuleni!, iliamka ndotoni, ukafungua milango ndotoni, ukaenda sebuleni ndotoni, na ukiwa hapo sebuleni ndipo ukashtuka na kuamka kiukweli.
Pasco.

Ila mkuu Pasco mbn ule mlango mkubwa ulikua umefungwa kwa ndan na hakukua na uwezekano wowote wa kuufungua nikiwa nje na mi chumba changu ni cha nje
Then nahitaji kujua hayo mafunzo ya meditation yanapatkana upanga sehem gan na ni ln na ln
 
Ila nashukuru sna bwana Pasco na wengne kwa hii mada mana imenipa majibu mengi ya maswali nlokua najiuliza toka mda mrefu sana,,nimejifunza meng sna,,mwenzenu nataka kuwa immortal bana,,haha
 
Mkuu Pasco, heshima mbele kwa huu uzi, hakika kama ni upele umepata mkunaji!

Mimi mwenyewe sijui nijiweke katika kundi gani; kwa mfano, kama kuna kitu nimepoteza huweza kukitafuta kwa kukaa sehemu moja na kutafakari muda mrefu kisha nakiona kitu hicho mahala kilipo na kwenda kukikuta. wakati mwingine kama nafuatilia jambo lenye manufaa; kama kazi inayolipa, kabla hata ya kuiomba hutafakari kwa muda mrefu na mara nyingi huomba kazi hiyo mwishoni na ni nadra sana kuikosa. Wakati mwingine hufanya hivyo kama kujipima uweza na kisha nikaikataa kazi yenyewe.

Mara kadhaa nimeota ndota juu ya matukio yahusuyo jamaa zangu wa karibu na kisha kuja kuhakikishiwa kesho yake. Katika shughuli zangu kuna kipindi nilikuwa naota nikitembea juu ya mawingu na kukaa muda mrefu ikawa kama ni uhalisia; tena zinajirudia kwa siku kadhaa, na katika kipindi hicho mambo yangu huenda kama nilivyotarajia.

Hata hivo mie ni mu-Isilam na nimelelewa katika kisanduku cha imani zetu hizi za dini na kila mara hufanya maombi sana hadi kuamini ni matokeo ya hizo dua. Siku za karibuni nimekuwa mvivu sana wa maombi, nimeongeza starehe na uwezo huu nahisi kama unapotea.
Lakini uzi huu umenifungua macho sasa nitafanya juhudi za makusudi kufungua kipawa nilichonacho
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Kakalende, kwanza hongera!, you have the powers!, kitu unachohitaji ni kwanza kujitambua kuwa you have the powers, hivyo wewe ni mtu powerful!.

Pili upate mazoezi ya mastering those powers under your control at will. Wengi wana powers hizi ila zimelala, na huiamka tuu pale wanapokuwa wamekwama na hawana jinsi, ndipo huzifungulia na mwishowe kujishaanga wamewezaje!, wengi huishia kusema ni Mungu tuu!.

Wewe uki shapen hizo powers zako kutafuta vitu vilivyopotea, utajikuta, unaweza kutazama tuu ramani ya eneo fulani, ukajua ukuchimba hapa chini kuna dhahabu, almasi, mafuta au gesi, and save lots of exploration money!, huku wewe ukizua some % ya chochote kitakachopatikana. Tafuta kitabu cha Fortune Secrets: Uri Geller:

Hili la usafi wa mwili na roho ni kweli, ndio maana hata Masiya alipotaka kufanya miujiza mikubwa, alifunga!. Ukifunga, unaiusafisha mwili na kuiimarisha roho. Ukiutumia mwili wako vibaya, powers zinapingua!.

Mimi ni Mkatoliki, tunaruhusiwa kunywa mvinyo na tunaunywa mpaka madhabahuni!, kati ya wahubiri wote duniani, wahubiri dhaifu kuliko wote ni Wakatoliki!, sisemi ni kwa sababu ya pombe, ila kuna uwezekano hilo linachangia.

Mimi nimeshindwa kujiunga na kundi lolote rasmi la meditation kwa sababu, nimeshindwa kabisa kuacha pombe na yale "mambo" yetu yale!.
Pasco
 
hii mada ni nzuri japo kwa kupata elimu tuu na sio kuingia moja kwa moja.ila na mimi nina swali mkuu pasco,kuna siku house irl wetu alipandisha mapepo sikuogopa hata nilimshika kichwa na kuomba kwa ukimya gafla akaanza kusema lugha ya ajabu kwa kerere na mie nilikuwa siongei kwa sauti.pili uwa sometimes nikilala majinamizi yakitaka kuja na kuwa najua kabla kwa kusismuka sana na kuingia kwenye maombi,nikizidisha maombi na yenyewe yanazidisha mateso ila mwishoni huwa nashinda tena nashtuka sana na kuseat.hii ni nn? mkuu pasco
 
Mkuu Kakalende, kwanza hongera!, you have the powers!, kitu unachohitaji ni kwanza kujitambua kuwa you have the powers, hivyo wewe ni mtu powerful!.

Pili upate mazoezi ya mastering those powers under your control at will. Wengi wana powers hizi ila zimelala, na huiamka tuu pale wanapokuwa wamekwama na hawana jinsi, ndipo huzifungulia na mwishowe kujishaanga wamewezaje!, wengi huishia kusema ni Mungu tuu!.

Wewe uki shapen hizo powers zako kutafuta vitu vilivyopotea, utajikuta, unaweza kutazama tuu ramani ya eneo fulani, ukajua ukuchimba hapa chini kuna dhahabu, almasi, mafuta au gesi, and save lots of exploration money!, huku wewe ukizua some % ya chochote kitakachopatikana. Tafuta kitabu cha Fortune Secrets: Uri Geller:

Hili la usafi wa mwili na roho ni kweli, ndio maana hata Masiya alipotaka kufanya miujiza mikubwa, alifunga!. Ukifunga, unaiusafisha mwili na kuiimarisha roho. Ukiutumia mwili wako vibaya, powers zinapingua!.

Mimi ni Mkatoliki, tunaruhusiwa kunywa mvinyo na tunaunywa mpaka madhabahuni!, kati ya wahubiri wote duniani, wahubiri dhaifu kuliko wote ni Wakatoliki!, sisemi ni kwa sababu ya pombe, ila kuna uwezekano hilo linachangia.

Mimi nimeshindwa kujiunga na kundi lolote rasmi la meditation kwa sababu, nimeshindwa kabisa kuacha pombe na yale "mambo" yetu yale!.
Pasco

kwn ili ufanye meditation ni vitu gan ambavyo hutakiw kuvitumia au kuvifanya? Af kuna m2 aliuliza km kuna uhusiano wwte kat ya bang na meditation
 
kwn ili ufanye meditation ni vitu gan ambavyo hutakiw kuvitumia au kuvifanya? Af kuna m2 aliuliza km kuna uhusiano wwte kat ya bang na meditation
Mwamba, powers ziko kwenye subconcious mind, zimezongwa na mazagazaga ya mawazo ya concious mind, ili uweze kuzifikia ni lazima u relax ili hayo mazagazaga ya concious mind yapingue ndipo ziamke. Meditation ni mazoezi ya relaxation tuu ili subconcious mind iamke. Bangi ina kemikali ya canabis ambayo inasaidia relaxation.

Nikiwa mwafunzi wa Tambaza miaka ya 80's, kuna wanafunzi walikuwa wanavuta sana bangi "summit" na wote wakaibuka na DIV 1 kali!, tena mmoja alikuwa ni mtoto wa kiongozi mkubwa serikalini!. Bangi iliwasaidia kwenye deep concentration, Hivyo na mimi kwa kutaka DIV 1, nikaijaribu!, very unfortunately mimi ilinituma vibaya!. Kungekuwa na standard formula nani bangi unawatuma vizuri na nani vibaya!, ingekuwa legalized kwa inaowatuma vizuri!.
Pasco
 
Pasco
its unfortunate you are teaching the New Age religion under pretext of Psychic Powers.
Its a disgrace that you include the name of Jesus among the demonic things you teach.
Its cruel you are taking many captive like sheep into dark dungeons that will cost them dearly

Let me make a lovely warning to all people here. The powers he is speaking of are indeed there. Th methods he is proposing are ancient and are working. The tricks have been there from the garden of Eden where the god pasco is preaching" here invented them. But they are demonic powers, and be sure they will put you into bondage you will forever re-great. They are dark powers that have nothing to do and very inferior to the Name of Jesus.

Don't mess with the devil, he is known for destroying people's lives.
And Pasco, be careful and take care
Blessing...
S.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom