Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Nataka kujua uhusiano wa majina tuliyonayo tarehe za kuzaliwa na hizi internal power mfano mimi jina langu lina maanisha mtu anayependwa na watu. Kwa kiasi fulani nimetokea kuishi hivyo kwa jamii inayonizunguka.

Mama yangu aliniambia hivi kipindi nazaliwa wakwanza kunibeba alikuwa babu yangu aliniita jina lenye maana ya shujaa though mama aligoma kuniambia hadi pale mambo anayotaka yeye nije niyafanye maishani ndo ataniambia am a very siku mbili kabla ya babu yetu kufariki alituita wajukuu wake wawili tu mimi dada yangu mimi nikiwa na miaka 5 dada yangu 10 alitupa ulithi dada angu alipewa kitabu babu alisema anamtakia mjukuu wake kheri aje awe msomi wa kimataifa aongoze nyanja za kimataifa mimi nilipewa vi sent na barakashia mzee akasema anataka nije niwe na pesa tajiri kumshinda yeye na nije niwe mtu wa dini.

Babu alikuwanazo alibahatika kuwa mbunge wa bunge la nyerere enzi hizo na mwenyekiti wa bodi ya pareto kanda ya kusini. Sasa dada yangu nahisi anaelekea kutimiza sababu ni mtambo na ana akili kweli next year atakuwa md doctor na akiwa chuo amebahatika kuwa mmoja viongozi wa vyuo vya madaktari wanafunzi afrika issue kwangu.

Dini naona nimepunguza wito ila utajiri spirit yangu huwa inaamini one day yes shughuli ndogondogo na hata marafiki zangu huwa wana judge haiba yangu kwamba nastahili kuwa anga hizo.

Nina amini katika unachosema Pasco sababu kama nikuona maono mama yetu huwa anaona vingine huwa anatuambia nikiwaambia mtaniita mchawi nimefurahi sana napenda kusoma mnanipa task ya ku establish new research program
 
Last edited by a moderator:
Mkuu major mwendwa, kilichofanywa na babu yako kwako na kwa dada yako ni "kukurithisha mikoba" ya "goodwill!". Kama nilivyosema mwanzo, kitu ambacho ni very powerful ni "will power", hii vill powers kila mtu anayo, and its "not transfarable!" " but inducable" unaweza ku induce ili itumike kuamsha "powers" zilizoko ndani yako!. Baba yako "was a powerful man" na alijua "ana powers", na ulipokua karibu kuaga dunia, akaamua kuwaridhisha "hizo powers!". Wazee wengi kabla ya kufa, huita watoto wao na kuwaanga kwa kuwaachia wosio. Kitendo hicho ni ku "will" zile powers zihamie kwenu, ila kinachotokea sio kwa hizo powers kuhamia kwako bali ile "will" ya babu yenu, ime invoke powers zenu "from within" zifunguke!.

Huku kupeana mikoba sio kwa powers za wema tuu, hata wenye "evil powers" kabla kufa huwatafuta wa kuirithi mikoba yao! na mara nyingi hutoka kwa bibi na babu na kupewa wajukuu!.

Hiyo "goodwill" ya babu kwako ni ufunguo wa milango ya mafanikio kwao, kwa sababu inafungua "powers zako, zilizoko ndani yako" kukufanyia makubwa!. Ile tuu "kuamini" babu ametuachia hiki na kile, kunatosha kufungua milango ya mafanikio!. Ndia maana nikasema tangu mwanzo, msingi mkuu wa kwanza kufungua "power doors" ni kuamini!.

Wale wachungaji/wahubiri wafanya miujiza, wanautumia uwezo wao kukuamimisha kuwa ni "Mungu" au ni "Jina la Yesu" ndio limekuponya!, kwa kuamini ni "Mungu" au ni "Yesu", kunafungua milango ya imani na nguvu iliyoko ndani yako, inainuka na kukuponya!. Kinachoponya ni "powers from within you!".

Siri kuu ya kwanza ya mafanikio ni kuamini pasi shaka kuwa utafanikiwa!, them milango ya mafanikio itafunguka!.
Hii inaitwa "The Hidden Power of Affirmative ".
Pasco.

Pasco.
 
Mimi umenigusa sana kuna nguvu na mimi ninazo hapo,kwa mfano unaweza ukanisimulia story kuhusu watu au mtu fulani siku nyingine kabla haujanitambulisha naweza kukisia majina yao kutokana na story yako na kweli inakua hivyo

Nguvu nyingine ni ile uswahilin inaitwa machale kwa mfano wakati nasoma nilikua naotea sana maswali kabla ya mtihani,vile vile naweza nikaunganisha matukio kwa mfano mtu anapiga misele sister nikimuona tu mtaani nilikua nikimuhis ni kweli au nikikaa karibu na mtu mbaya jiran sehemu kama bar huwa nahis na siku moja nilishawah hama meza kwa kuhis jiran si mtu mzur baadae mwenyej wangu alivyokuja kabla sijamuhadithia akaniambia "unamuona yule dada ukimtongoza ukakaa naye meza moja anakuwekea madawa kwenye bia au anakutengenezea fumaniz fake ili wakupore na masela wake"

Maajabu yule dada ni mzur na amekaa kistaarab na mimi ni mgeni hiyo mitaa hadi mwenyewe nilijiogopa yale machale
Mkuu naumbu, kitendo tuu cha kuwa na machale, its a proof that you have the powers!. Unachotakiwa kufanya sasa ni kwanza kujitambua tu kuwa you have the powers, ukishajitambua ni kujipanga kuzitumia hizo powers kupata unachotaka at will, na sio kusubiri mpaka machale ya kucheze, mfano kama unaishi nyumba ya kupanga, unatumia usafiri wa daladala, wish kumiliki gari, wish kujenga nyumba, wish to make money, vyote vinawezekana.
Pasco.
 
hizi ni akili za wahashi huru! kumwambia mtu kuwa aamini kuwa hata kama huamini hakuna Mungu unaweza kufanya muujiza hakuna kitu kama hicho!
nijuavyo mimi anayeweza kufanya miujiza ni lazima aamini upande mmoja wa shilingi either Mungu au shetani tofauti na hapo hakuna muujiza wowote, hata vitabu vya dini vimethibitisha uwepo wa nguvu nyingine kutoka upande wa pili.
Nililijibu hili, nilipopost ikagoma, nilipotazama outosaved, jibu lengu limefutika!, hivyo zilazimishi kujibu, hata jibu fulani kupotea, pia its works of powers kuzuia usijue labda bado hujakomaa kiasi cha kumeza majibu yangu, hivyo powers imeyapotezea!.
Pasco.
 
Very same xperience kaka mimi baada ya kurudi bongo nikashindwa nikakimbilia Nairobi kwa wakrishna lakini nguvu ya wazazi na ndugu jamaa na marafiki ikanirudisha bongo nikafuata mkondo kama wako mengine siwezi kuyaweka Hapa is too personal lakini ile elimu ina nguvu ya ajabu mno itabidi tuonane tunaweza fanya kitu
Mkuu mshana jr, chenye nguvu sio ile elimu, its "you" kilicho ndani yako!, ile elimu is just a means ya reaching out kuifikia hiyo power inside you, hivyo hiyo krishna, yoga, meditation, sala, kuabudu, kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Nabii, Padri, Mchungaji, etc, its onlt a ways to to reach it, "the real powers lies inside you!".
Pasco.
 
ha haaa Pasco ukitunga tu kitabu title
'namna ya kupata mwanamke yeyote unaemtaka bila jasjo'
utaendesha Range so soon lol
Mkuu The Boss, japo sijawahi kuliwaza hili, (kuna jibu nililiweka hapa likanigomea), ila ni kweli, nalifanya upembuzi yakinifu!.
Pasco
 
Learning is the best thing. This is the best topic I ever heard
Mkuu mdunundu, asante sana kwa hili, appreciation nayo pia ni power!. Makubaliana na wewe, learning is the best thing, ila ili hiyo leaning iweze kuwa na maana, ni pale tuu leaning hiyo itakapokuwezesha kuongeza maarifa na kuleta manufaa!.

Mimi nilipomaliza std 7, kile kipindi cha kusubiria, wenzangu wakihangaika na tuitions za pre form one!, mimi niliisoma Bible, tangu page one mpaka last page!, kitabu kwa kitabu!. Baada ya kuimaliza nikaanza kupata some enlighments haswa kuhusu Ukatoliki, nikifanya reference kwenye Biblia kumeandikwa hivi!, sisi tunafanya hivi!, for sometimes nikawa a "rebel!" nikau put Ukatoliki to a test (naomba nisiiseme!), then nika conclude hizi dini is just a way!, not a means!. Nakareja kundini! huku nikijiamini sasa naijua Biblia yote!, kumbe kusoma tuu Biblia, sio kitu, issue ni kuielewa na kuitekeleza!.

Nimeweka a long reading list!.

Pasco.
 
haa hii hali hata mimi huwa inanikuta mara kwa mara,pia na matukio ya kwenye ndoto yananitokea in real world..nimejaribu kusoma vitu mbalimbali ila naamini Pasco atatufafanulia zaidi..
Mkuu Jawilat, ndoto nyingine ni ndoto tuu, na ndoto nyingine sio ndoto tuu, bali ni maono!. Ili kujua zipi ni ndoto tuu na zipi ni maono, kunahitaji kwanza kujua ndoto ni nini, ndoto za kweli, tafsi ya ndaoto, ndoto za maono, kuonyeshwa, ndoto za utabiri wa yaliyopita au yajayo etc ila nazo pia ni powers!.
Pasco
 
Mi kuna wakati nilianza kidogo kufuatilia haya mambo nikaona nakua kama taahira nikaacha. Ila kuna baadhi ya mambo mazuri ambayo niligundua. Mfano njia zao za relaxation mi nilizipenda sana na mpaka sasa huwa nazitumia. Yaani kuna wakati labda unaweza kupata mshtuko moyo ukawa unaenda mbio.. lakini ukitumia hizi mbinu za kurelax kama alivyoeleza mdau unajikuta unarudi kwenye hali ya kawaida very soon. Pia usiku kama umekosa usingizi au unataka kulala mchana ukifanya relaxation na ku clear mind hata kama una mawazo kiasi gani yani ni dakika unaishia usingizini..! Otherwise mambo ya sijui kukodolea macho mshumaa hapana..!!
TheChoji, ni kweli ukizama sana deep kwenye mambo hayo, unakuwa kama taahira fulani hivi!, kiukweli hata ukifuatilia baadhi ya hawa wahubiri wetu kwenye hizi TV, unawaona kama maahira fulani!, fuatilia maisha ya walokole!, nao ni kama mataahira fulani!, hata wale walio deep sana kwenye dini, vivyo hivyo!.

Mimi kuna wakati nikiwa home nikaturn into a vegetarian, home hawakukubaliana na msimamo huu, wakaamua kuna siku hakuna kupika mboga za majani!, nilikula ugali mkavu au wali mkavu na maji tuu!, kisha niaamua ku stop kwenda kanisani, nilikwenda kwa fimbo nikawa naishia nje, muda wa kutoka narudi home!. Wadogo zangu wakaniripoti kuwa huwa naishia nje, likafuatia zoezi kila tukitoka church, tunaulizwa masomo, mimi sijui, zinafuatia bakora!. Nikagundua kile kijitabu cha Katekismu, sasa ili kuepuka bakora, Jumamosi usiku nalisona somo la kesho!, jumapili naenda church siingii ndani, tukirudi home kwenye somo la leo, bingwa ni mimi!. Baadaye nikajikuta kama naanza kuishi maisha ambayo sio ya dunia hiii!, nikaamua kuacha!, nikaanza sio tuu kula nyama, bali na "kuwatafuna" kweli kweli!, pombe, na kukesha kwenye starehe!.

Chukua mazuri tuu ya mafundisho hayo, mengine waachie wenyewe!.
Pasco.
 
Pasco Na wale waopiga ramli unaweza kuwaelezea kidogo. Tunaambiwa anaweza kukueleza mambo yoote uliyopitia na yale yanayokuja!!
Mkuu Plato, kwanza kupiga ramli yoyote ni dhambi kwa dini zote!, ila pia wapiga ramli wote ni waongo!, uwongo wao ni jinsi wanavyozipiga hizo ramli, na sio matokeo ya ramli zao!.

Wapiga ramli wote ni "people with powers" za uoni, Clairaudience, Clairvoyance, second sight, Death-warning, Mediumship or channeling, Precognition, premonition and precognitive dreams, Psychometry or psychoscopy -, Remote viewing, Retrocognition , Scrying, Telepathy.

Kwenye hili hili humo ndimo waganga wote wa kienyeji, wale wanaitwa "mafundi", "wazee wa busara", vibaraghashia vya "mlingotini", kina Sheikh Yahya na wengine waitwao masheriff etc.

Kilichopo ni kuwa kuna kitu kinaitwa "destiny" yaani siku unazaliwa summary ya maisha yako yote tayari ipo pre determined na pre meditated mpaka utakufa lini, utakufa vupi na kila kitu kuhusu wewe, na data hizo ziko stored into your "subconscious mind!".

Anachofanya mpiga ramli ni utapeli tuu wa kuwa na keys to open your stored data na kukueleza your past, present na future na kujifanya kukutabiria!, data anazotoa ni za ukweli, utapeli ni kuto kukuambia amezipataje hizo data!.

Hata wale waganga mabingwa, ile unakaribia tuu kwake, anakuona na kusoma tatizo lako kwa telepathy, ukifika anakueleza shida zako kabla wewe hujasema hivyo utashtuka!. Waganga wengi wanaotishwa dawa!.

Wale waojifanya kuzungumza na mizimu, nao ni uongo mtupu, data zote wanapata kwako!. Ukizama deep kwenye kujitambua, utapewa mwenyewe huo ufunguo wa subconscious mind yako hivyo kujisomea mwenyewe the past, the present and the future bila kusubiri kutapeliwa!. Hata palmistri, astrology, numerology, tarot cards, yale mapete etc ni utapeli mtupu!. Game lote liko ndani yako, wanachofanya hao its just to play with your mind!.
Pasco.
 
Mkuu Plato, kwanza kupiga ramli yoyote ni dhambi kwa dini zote!, ila pia wapiga ramli wote ni waongo!, uwongo wao ni jinsi wanavyozipiga hizo ramli, na sio matokeo ya ramli zao!.

Wapiga ramli wote ni "people with powers" za uoni, Clairaudience, Clairvoyance, second sight, Death-warning, Mediumship or channeling, Precognition, premonition and precognitive dreams, Psychometry or psychoscopy -, Remote viewing, Retrocognition , Scrying, Telepathy.

Kwenye hili hili humo ndimo waganga wote wa kienyeji, wale wanaitwa "mafundi", "wazee wa busara", vibaraghashia vya "mlingotini", kina Sheikh Yahya na wengine waitwao masheriff etc.

Kilichopo ni kuwa kuna kitu kinaitwa "destiny" yaani siku unazaliwa summary ya maisha yako yote tayari ipo pre determined na pre meditated mpaka utakufa lini, utakufa vupi na kila kitu kuhusu wewe, na data hizo ziko stored into your "subconscious mind!".

Anachofanya mpiga ramli ni utapeli tuu wa kuwa na keys to open your stored data na kukueleza your past, present na future na kujifanya kukutabiria!, data anazotoa ni za ukweli, utapeli ni kuto kukuambia amezipataje hizo data!.

Hata wale waganga mabingwa, ile unakaribia tuu kwake, anakuona na kusoma tatizo lako kwa telepathy, ukifika anakueleza shida zako kabla wewe hujasema hivyo utashtuka!. Waganga wengi wanaotishwa dawa!.

Wale waojifanya kuzungumza na mizimu, nao ni uongo mtupu, data zote wanapata kwako!. Ukizama deep kwenye kujitambua, utapewa mwenyewe huo ufunguo wa subconscious mind yako hivyo kujisomea mwenyewe the past, the present and the future bila kusubiri kutapeliwa!. Hata palmistri, astrology, numerology, tarot cards, yale mapete etc ni utapeli mtupu!. Game lote liko ndani yako, wanachofanya hao its just to play with your mind!.
Pasco.

Sasa mkuu pasco, katika pita pita yangu madukani nimekuana na hiki kitabu ''how to control your mind and be stress-free''. Kimeandikwa na M.K. Gupta na kutayarishwa na Pustak Mahal. It bridges science and spirituality. Nadhani naweza kuanza na hiki kwanza au kuna chochote naweza anza navyo unavyovifahamu mkuu?
 
Sasa mkuu pasco, katika pita pita yangu madukani nimekuana na hiki kitabu ''how to control your mind and be stress-free''. Kimeandikwa na M.K. Gupta na kutayarishwa na Pustak Mahal. It bridges science and spirituality. Nadhani naweza kuanza na hiki kwanza au kuna chochote naweza anza navyo unavyovifahamu mkuu?
Yes you can start with anything! just read!. Kwenye ile thread start yangu, zile zote ni links, kusoma bure!.
Pasco.
 
Nimezaliwa 9/11 nyota ang ni ipi
Nyota yako ni Nge, au scorpion, nyie ndio mnaoongoza kwa kupenda, ila pia mnaongoza kwa wivu!. mna powers sana za mambo mengi, baadhi ya masuper star wengi ni nyota yako ila pia na idadi kubwa ya wachawi na wanga!.
Dada mimi. mimi hujapenda nini?!.
P.
 
Si mara ya kwanza Pasco you write this kind of things. Naona u got good knowledge ya haya mambo. Najaribu ku-critic lakini sipati hoja. I tend to believe unachosema maana hakifungamani na tunayo yaona.
 
Back
Top Bottom