Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Jibu hoja za wadau sio utuambie tuhame Huku then tukuache Wewe unaendelea na mafundisho yako yasiofaa!
Mkuu Ntuzu, yanayofaa na yasiofaa ni relative, yanafuata principle za relativity, mfano mimi ni Mkatoliki, mafundisho yanayofaa kwangu ni pamoja na kuvaa rozari, misalaba makanisani kwetu, siku ya Ijumaa Kuu, tunapiga magoti, tunabisu Msalaba, kanisani tunafukiza ubani, na divai kidogo tunaipiga pale madhabahuni etc!.

Kwa mlokole alie zama deep kwenye Biblia, kwake hizo ni ibada za masanamu na kwake ni sawa na kumtumikia shetani tukifikiri ni Mungu!, mtu asiye Mkatoliki hana right ya kumwambia Mkatoliki hayo ni mafundisho yasiofaa!. Wewe just shika lako!.

Mfano sisi Wakristu tunaamini Yesu ni Mungu!, Waislamu wanaamini Mungu wao ni Allah na Mtume wake ni Muhamed (SAW), kwao Yesu sii Mungu!. Wakristu wenye imani kali wanaamini Mungu sio Allah, etc, Mkristu hana haki kumwambia Muislamu kuwa Allah sio Mungu bali ni ... na Muislamu hana haki kumwambia Mkristu Yesu sii Mungu!.
Wewe shika lako unaloamini, after all hapa jf sio nyumba ya ibada, ndio maana wameweka jukwaa maalum la hayo na ukiingia huko hakuna msalie mtume!. Tukutanie kule tumalizane, hapa tuwapishe watu wa practice powers!.
Pascal.
 
Tunachokitaka ktk Thread hii alioanzisha asiuungize Ukristo hususani anapomtaja Yesu mbaya zaidi kumkashifu hata Roho Mtakatifu. Arekebishe Thread yake na sisi tutatoka.

Eeeh Mwenyezi Mungu nisamehe ka haya niyaongehayo nakukusea Wewe.
Jamani jamani walewote ambao mnapingana na mitazamo ya kiimani na Pasco please give us a break.
Kama ayasemayo Pasco ni mambo ya shetani basi mpeni fulsa amalize kuyaongea yote ili sisi wafatiliaji wa mjadala tumjue shetani vizuri na mbinu zake zote kupitia Pasco.
Na kama huyo Mungu, Yesu, Roho Mtakatifu au Biblia anaowataja Pasco kama mtazamo wake unapingana na imani yako we tatizo lako ni nini..pengine hamanishi Yesu unayemuamini wewe...ila kama unataka akueleze ni Yesu yupi with reference ya mistari ya maandiko basi kawaomba muende kwenye jukwa la Dini mkalumbane vizuri huko nafikiri hilo ni wazo la busara.
Point ni kwamba uzi huu husipoteze mantiki kama akifundishacho ni kazi ya Mungu basi tutona mwisho wake vivyo hivyo ka ni kazi ya shetani badala ya kutumia muda mwingi kum-attack word by word nakuoneshana umwamba wa kuijuia dini na Maandiko Matakatifu.
Nachoamini amini mimi hakuna siku atakuja tokea mshindi kwenye mabishano ya kidini zaidi ya kukuza chuki kati yetu.
Tunaweza kuwa tunasali kanisa moja na tunasoma Biblia hiyo hiyo ila tukatofautiana kumjua Yesu na Maafundisho yake.
Naomba nieleweke hivi sio kwamba namtetea Pasco au najaribu kuwashusha nyie wote mnaompinga hapana...nachojaribu kufanya hapa ni kurudisha uzi huu kwenye a right track najua sina uwezo huo au mamlaka hayo mimi ka mimi ila kwa busara zetu sote tunaweza lifanikisha hilo.
Kwako Pasco kama kweli unasema hizi "Powers within" zinafanya kazi ukiawa unazifanyia mazoezi..zoezi la kwanza nalianzia kwako.. Pasco kwa nguvu na imani niliyonayo nakuhamuru huko uliko...kwanzia sasa NI MWISHO KUJIBU HOJA YEYOTE HILE ambayo inamaudhui ya kuleta ubishano wa kidini.

Samahani ka ntakua nimemkwaza mtu yeyote kwa namna moja au nyingine.
Asanteni
 
Last edited by a moderator:

Sawa, tumekuelewa ila mwambie arekebishe ktk Thread yake, autoe Ukristo sisi pia tutanyamaza.
 
Last edited by a moderator:
wewe pasco ni mpagani, elimu yako ya hayo unayoelewa ni ndogo sana, nakushauri unutafte nikufundishe MUNGU ni nini na ibilisi ni nini, na BINADAMU NI NANI, NA hiyo nguvu unayoiita ipo kwa mwanadamu ASILI YAKE NI WAPI NA NI NINI.. POLE KWA UELEWA MDOGO. SMAHANI SIJUI ELIMU YAKO IMEISHIA WAPI
 
Mkuu Ntuzu, yanayofaa na yasiofaa ni relative, yanafuata principle za relativity, mfano mimi ni Mkatoliki, mafundisho yanayofaa kwangu ni pamoja na kuvaa rozari, misalaba makanisani kwetu, siku ya Ijumaa Kuu, tunapiga magoti, tunabisu Msalaba, kanisani tunafukiza ubani, na divai kidogo tunaipiga pale madhabahuni etc!.

Kwa mlokole alie zama deep kwenye Biblia, kwake hizo ni ibada za masanamu na kwake ni sawa na kumtumikia shetani tukifikiri ni Mungu!, mtu asiye Mkatoliki hana right ya kumwambia Mkatoliki hayo ni mafundisho yasiofaa!. Wewe just shika lako!.

Mfano sisi Wakristu tunaamini Yesu ni Mungu!, Waislamu wanaamini Mungu wao ni Allah na Mtume wake ni Muhamed (SAW), kwao Yesu sii Mungu!. Wakristu wenye imani kali wanaamini Mungu sio Allah, etc, Mkristu hana haki kumwambia Muislamu kuwa Allah sio Mungu bali ni ... na Muislamu hana haki kumwambia Mkristu Yesu sii Mungu!.
Wewe shika lako unaloamini, after all hapa jf sio nyumba ya ibada, ndio maana wameweka jukwaa maalum la hayo na ukiingia huko hakuna msalie mtume!. Tukutanie kule tumalizane, hapa tuwapishe watu wa practice powers!.
Pascal.

Mkuu kwa kupitia hii mitandao Watu wengi wanajifunza mambo mengi!
Na kwa Mada yako hii ni kwamba unapotosha maana ya Ukristo na kwa kupitia mafungu hayo hayo!
Jaribu kurekebisha mambo kwenye thread yako.
Swala la uumbaji,
Kumlinganisha Mungu na shetani,
Na pia kuuaminsha umma kwamba wakristo wanakatazwa kuhoji juu ya Mungu na shetani.
Na pia ata matumizi ya bible kwa Mada yako!
Ukifanya hivyo tutakuelewa! Zaidi ya hapo tutakuja kujibu pale tunapoona upotoshaji umejitokeza.
 
Eeeh Mwenyezi Mungu nisamehe ka haya niyaongehayo nakukusea Wewe.
Jamani jamani walewote ambao mnapingana na mitazamo ya kiimani na Pasco please give us a break.
Kama ayasemayo Pasco ni mambo ya shetani basi mpeni fulsa amalize kuyaongea yote ili sisi wafatiliaji wa mjadala tumjue shetani vizuri na mbinu zake zote kupitia Pasco.
Na kama huyo Mungu, Yesu, Roho Mtakatifu au Biblia anaowataja Pasco kama mtazamo wake unapingana na imani yako we tatizo lako ni nini..pengine hamanishi Yesu unayemuamini wewe...ila kama unataka akueleze ni Yesu yupi with reference ya mistari ya maandiko basi kawaomba muende kwenye jukwa la Dini mkalumbane vizuri huko nafikiri hilo ni wazo la busara.
Point ni kwamba uzi huu husipoteze mantiki kama akifundishacho ni kazi ya Mungu basi tutona mwisho wake vivyo hivyo ka ni kazi ya shetani badala ya kutumia muda mwingi kum-attack word by word nakuoneshana umwamba wa kuijuia dini na Maandiko Matakatifu.
Nachoamini amini mimi hakuna siku atakuja tokea mshindi kwenye mabishano ya kidini zaidi ya kukuza chuki kati yetu.
Tunaweza kuwa tunasali kanisa moja na tunasoma Biblia hiyo hiyo ila tukatofautiana kumjua Yesu na Maafundisho yake.
Naomba nieleweke hivi sio kwamba namtetea Pasco au najaribu kuwashusha nyie wote mnaompinga hapana...nachojaribu kufanya hapa ni kurudisha uzi huu kwenye a right track najua sina uwezo huo au mamlaka hayo mimi ka mimi ila kwa busara zetu sote tunaweza lifanikisha hilo.
Kwako Pasco kama kweli unasema hizi "Powers within" zinafanya kazi ukiawa unazifanyia mazoezi..zoezi la kwanza nalianzia kwako.. Pasco kwa nguvu na imani niliyonayo nakuhamuru huko uliko...kwanzia sasa NI MWISHO KUJIBU HOJA YEYOTE HILE ambayo inamaudhui ya kuleta ubishano wa kidini.

Samahani ka ntakua nimemkwaza mtu yeyote kwa namna moja au nyingine.
Asanteni

Madhumunu Yake yanajulikana na ameshapewa mafungu mengi ya kumkosoa kutokana na hoja zake! Ni Yeye kuzipinga kwa maandiko na si kwamba anashambuliwa bila kupewa vifungu ndani ya bibilia. Kutuambia tumuache aendelee kutumia maandiko ni kupoteza maana kabisa ya Ukristo.
Nakubali ushauri wako ila mshauri afanye kuhariri baadhi ya vitu kwenye Uzi wake na asiungize Ukristo katika mafundisho Yake.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa kupitia hii mitandao Watu wengi wanajifunza mambo mengi!
Na kwa Mada yako hii ni kwamba unapotosha maana ya Ukristo na kwa kupitia mafungu hayo hayo!
Jaribu kurekebisha mambo kwenye thread yako.
Swala la uumbaji,
Kumlinganisha Mungu na shetani,
Na pia kuuaminsha umma kwamba wakristo wanakatazwa kuhoji juu ya Mungu na shetani.
Na pia ata matumizi ya bible kwa Mada yako!
Ukifanya hivyo tutakuelewa! Zaidi ya hapo tutakuja kujibu pale tunapoona upotoshaji umejitokeza.
Mkuu Ntuzu, nadhani hakuna copyright ya matumizi ya Mungu, Yesu, Roho Mtakatifu na Biblia katika kusimama kwenye ukweli!. Naitumia Biblia kwa sababu mimi ni Mkristu na haya mafundisho kwanza nimeyapata kwenye Biblia, ndiko nilikojifunza Mungu ametuumba kwa mfano wake!. Aliyetufundisha kuwa tukiamini Mungu aliye juu, tunaweza kufanya yote katika Yeye atutiaye nguvu ni Yesu!. Na kila alipoponya au kufanya muujiza, hakujisifu kuwa ni yeye ametenda, bali "imani yako ndio imekuponya!", imani ni faith, inayozaa "will!", where there is a will, there is a way!.

Nalijuatatizo lenu kubwa, kwa vile nimesema matumizi ya nguvu hizi yalianza siku nyingi kabla ya kuzaliwa Masiya, na nyinyi imani yenu imegotea kwenye Ukristo tuu, kwenu yoyote asiye Mkristo ni washetani, mnachotaka nisimtaje Mungu, Yesu wa Roho Mtakatifu, ili niwape uhalali kuwa huu uzi ni mafundisho ya shetani, wakati sii kweli, haya ni mafindisho wa Mungu na kwa kupitia mafundisho haya, mtajua shetani zaidi na kutimiza zaidi mapenzi ya Mungu ikiwemo kufanya miujiza!.
Pasco
 
wewe pasco ni mpagani, elimu yako ya hayo unayoelewa ni ndogo sana, nakushauri unutafte nikufundishe MUNGU ni nini na ibilisi ni nini, na BINADAMU NI NANI, NA hiyo nguvu unayoiita ipo kwa mwanadamu ASILI YAKE NI WAPI NA NI NINI.. POLE KWA UELEWA MDOGO. SMAHANI SIJUI ELIMU YAKO IMEISHIA WAPI
Mkuu Antonio Zagarino, mimi nimebahatika kusoma mpaka nikamaliza darasa la saba!, ninajua kabisa kusoma na kuandika!. Naomba nikutafute unifundishe na ikiwezekana niache upagani, nibatizwe niwe Mkristo.
Pasco
 
Sawa, tumekuelewa ila mwambie arekebishe ktk Thread yake, autoe Ukristo sisi pia tutanyamaza.
Mkuu Aleyn, hana sababu ya kuniambia, sirekebishi chochote, sipunguzi chochote, siondoi chochote!.

Tukianza hivi kuamrishana, utafikia wakati tutakuja kufungiana hadi makanisa!. Imani ni utawala binafsi na uhuru binafsi!. Nanachofanya hapa ni kwanza nimalizane na nyinyi, lets sail the same boat kwanza ndipo tuendelee!.
Nitawawekea vifungu vya Biblia vinavyothibitisha kuwa sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu na tumepewa uwezo wa kufanya kila kitu, isipokua kuumba, na kutoa roho!.
Pasco.
 
Madhumunu Yake yanajulikana na ameshapewa mafungu mengi ya kumkosoa kutokana na hoja zake! Ni Yeye kuzipinga kwa maandiko na si kwamba anashambuliwa bila kupewa vifungu ndani ya bibilia. Kutuambia tumuache aendelee kutumia maandiko ni kupoteza maana kabisa ya Ukristo.
Nakubali ushauri wako ila mshauri afanye kuhariri baadhi ya vitu kwenye Uzi wake na asiungize Ukristo katika mafundisho Yake.

Kwani mdau unahakika ukristu unaopigania hapa na unayemuamini wewe ndio huo huo anouamini Pasco kwanini hamtaki kumpa fursa ya kumalizia kueleze anayotaka kuyaelezea.
Nini kinachowafanya mmzuie kwa nguvu nyingi kiasi hiki
 
Hii nimejifunza kutoka kwako leo. Haya maswali ni ya kawaida kabisa kwa kila mwenye kutaka kufahamu YHWY ni nani. Wala sijapata kusikia katazo lolote juu ya hilo.

Kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu, kulikuwepo na Powers, hizo powers ndizo Mungu. Hana mwanzo, hana mwisho, yeye ni Alfa na Omega!.

Hapo umechukua sifa za YHWY ukaziita powers. Halafu umekiri ndiye Mungu. Hapo tuko pamoja.

Ndugu yangu Pasco, huyu shetani hana sifa za Mungu kama unavyodhani. Sifa kuu za Mungu ni Omniscience, Omnipotence na Omnipresence. Au kwa lugha nyepesi All-knowing (Anajua yote-yaliyopita, yaliyopo na yajayo), All-powerful (Ana nguvu juu ya vyote) na All-presnt (Yuko mahali pote, wakati wote). Shetani hana sifa hizi hata kidogo. Ni rahisi kudhani kuwa shetani yuko kila mahali, lakini ukweli ni kuwa hutumia majeshi ya mapepo (malaika walioasi pamoja naye) kufuatilia maisha ya wanadamu. Lucifer alikuwa Kerubi "afunikaye" kwa maana kwamba alikuwa akihudumu kwenye kiti cha enzi. Alikuwa ndiye mkuu wa malaika wote huko mbinguni na sio kwamba alikuwa sawa na Mungu. Aliumbwa katika uzuri kuliko kiumbe chochote kile. Ezekieli 28:13-15

Katika hili umepotoka ndugu. Mwanzo wa Mungu hauwezi kuwa sawa na mwanzo wa malaika, tena kwa kuzingatia andishi lako mwenyewe! Hindi ndicho ulichoandika hapo mwanzo kabisa:

"
Kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu, kulikuwepo na Powers, hizo powers ndizo Mungu. Hana mwanzo, hana mwisho, yeye ni Alfa na Omega!"

Sasa huo mwanzo sawa na malaika unatoka wapi? Tayari mkuu Eiyer ameshakupatia vifungu vinavyoonyesha kuwa Mungu aliumba malaika.Tena kwa vile unakiri kuwa shetani ni malaika, basi tutumie nukuu ya kuumbwa kwake kama ushahidi kuwa malaika waliumbwa;

Ezekieli 28
13 Ulikuwa ndani ya Adeni, bustani ya Mungu; kila jiwe la thamani lilikuwa kifuniko chako, akiki, na yakuti manjano, na almasi, na zabarajadi, na shohamu, na yaspi, na yakuti samawi, na zumaridi, na baharamani, na dhahabu; kazi ya matari yako na filimbi zako ilikuwa ndani yako; katika siku ya kuumbwa kwako zilitengenezwa tayari.
14 Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hata ukawa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu, umetembea huko na huko kati ya mawe ya moto.
15 Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ile ulipoumbwa, hata uovu ulipoonekana ndani yako.

Na kazi za malaika zinaelezwa hapa: Waebrania 1:
13 Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume Hata nitakapoweka adui zako chini ya nyayo zako?
14 Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?

Shetani hakunnyang'anywa hizo nguvu alizokuwa nazo. Ila nguvu zake zina mpaka, na ndio maana hawezi kuzuia mapenzi ya Mungu (will). Malaika mkuu ni Mikaeli na ndiye aliyeongoza mapambano mbinguni.

Ufunuo 12: 7 Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; 8 nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni.
9 Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.

Biblia ni kitabu kitakatifu cha Mungu. UUmbaji unaoongelewa humo ni wa YHWY, sasa sijui unakusudia kuna vilivyoumbwa na Mungu mwingine zaidi ya huyo ambaye Biblia inamzungumzia? Au aliumbwa na powers? Sijakuelewa hapo katika flow ya logic. Kwani Biblia inasema vitu vyote vinavyoonekana na vieivyoonekana viliumbwa na nani?

Shetani alikuwa na pride, alikiona yeye na bora na anaweza kuwa Mungu. Hii dhambi imeendelea kututafuna hata sisi. Na hiki ndicho hasa unachokifanya wewe Pasco kuwaambia watu wanazo powers za kuona ulimwengu mwingine. Hiki ndicho alichoifanya shetani kujaribu kuiacha asili yake na kutaka uungu. Nitaeleza zaidi nitakapoanza kuichambua mada yako kama ilivyo na asili yake.

Ndiyo astral plane hiyo kaka, mnakokwenda kiroho kutafuta "powers." Huko ndio mnakutana na ascended masters na spiritual entinties wengine ambao ni mapepo yadanganyayo. Nitafafanua...

Hapo kwenye red unakusudia kuwa shetani kamu-overtake Mungu? Biblia inasema alijaribu kujiinua, akatupwa mpaka chini na nafasi yake haikuonekana tena mbinguni. Sasa huku kudanganya watu ndiyo kujiinua juu ya Mungu? Ina maana ameshafanya mapinduzi tayari?

Ni kweli shetani yuko nyuma ya dini zote za uongo, hata nafsi zinazojiinua juu ya elimu ya Mungu. Na anachofanya shetani daima ni kulishambulia Neno la Mungu ili kuwaondoa watu katika mafundisho sahihi, kwa kuwapa elimu mpya mpya huku akiwaondoa kwa Mungu.

Baada ya kuufahamu ukweli huo, wewe je, unauishi? Je, ndicho unachofundisha hapa? Pia ukiwa mkatoliki die hard, niambie kama unaamini katika agano jipya. Nikijua hapo itakuwa rahisi zaidi kukujibu, kwani tangu mwanzo sioni kama unammchukulia Yesu Kristo seriously.

Mungu alipotuumba alitupulizia pumzi ya uhai. Hiyo ndiyo sura ya Mungu. Maskini, tajiri, kichaa n.k. wote hufa vilevile Mhubiri 3: Asili ya nguvu zetu ni ulimwengu usioonekana, ulimwengu wa roho. Mungu ni Roho, shrtani naye ni roho. Tunapokea mawasiliano ya nguvu za kiroho toka mojawapo ya vyanzo hivyo. Ama shetani, ama Mungu. Naishia hapa kwanza nitandelea jioni.....................
Mkuu Nyenyere, mbona haya unayoyasema wewe ndio na mimi nimeyasema!, tatizo lako kubwa ni lipi ili nilitatue nikianza na mmoja mmoja hadi niwamalize, tuendeleze kazi ya kufungulia watu "power doors!" tusonge mbele!.
Pasco.
 
huelewi hata unachokiandika. ELIMU NDOGO, SOMENI MAMBO KABLA HAMJAKURUPUKA
Wewe unaelewa unachokiandika...? Umejuaje kuwa yeye ana elimu ndogo...? Wewe mwenye elimu kubwa nini cha maana ambacho wewe umechangia katika uzi huu......? Mwenye hekima hukaa kimya kama hana la kuchangia au la kusema....

"Speech is SIVER but Silence is GOLD"
 
Mkuu Aleyn, hana sababu ya kuniambia, sirekebishi chochote, sipunguzi chochote, siondoi chochote!.

Tukianza hivi kuamrishana, utafikia wakati tutakuja kufungiana hadi makanisa!. Imani ni utawala binafsi na uhuru binafsi!. Nanachofanya hapa ni kwanza nimalizane na nyinyi, lets sail the same boat kwanza ndipo tuendelee!.
Nitawawekea vifungu vya Biblia vinavyothibitisha kuwa sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu na tumepewa uwezo wa kufanya kila kitu, isipokua kuumba, na kutoa roho!.
Pasco.

Mkuu Pasco si nimekuaomba uache kujibu hizi hoja zinazo divert from the main theme...please bro Pasco save your strength hutaweza waelewesha hawa wakuelewe hii ni kwa sababu wamemua kutokukuelewa hawatakuja kukuelewa hata kama jua likishuka
 
Mkuu Ntuzu, nadhani hakuna copyright ya matumizi ya Mungu, Yesu, Roho Mtakatifu na Biblia katika kusimama kwenye ukweli!. Naitumia Biblia kwa sababu mimi ni Mkristu na haya mafundisho kwanza nimeyapata kwenye Biblia, ndiko nilikojifunza Mungu ametuumba kwa mfano wake!. Aliyetufundisha kuwa tukiamini Mungu aliye juu, tunaweza kufanya yote katika Yeye atutiaye nguvu ni Yesu!. Na kila alipoponya au kufanya muujiza, hakujisifu kuwa ni yeye ametenda, bali "imani yako ndio imekuponya!", imani ni faith, inayozaa "will!", where there is a will, there is a way!.

Nalijuatatizo lenu kubwa, kwa vile nimesema matumizi ya nguvu hizi yalianza siku nyingi kabla ya kuzaliwa Masiya, na nyinyi imani yenu imegotea kwenye Ukristo tuu, kwenu yoyote asiye Mkristo ni washetani, mnachotaka nisimtaje Mungu, Yesu wa Roho Mtakatifu, ili niwape uhalali kuwa huu uzi ni mafundisho ya shetani, wakati sii kweli, haya ni mafindisho wa Mungu na kwa kupitia mafundisho haya, mtajua shetani zaidi na kutimiza zaidi mapenzi ya Mungu ikiwemo kufanya miujiza!.
Pasco

Mkuu, nimekuelewa.
Kuna post moja umeandika namna shetani alivyo mdanganya mama yetu Eve. Umesema baada shetani kuwadanganya wale wakala tunda ambalo wewe haukukusudia kua ni tunda toka kwenye mti kama Biblia unavyosema. Yani kukutana kimwili.

Na ukaenda mbali Zaidi kwa kuzaliwa Yesu kwa kushuka malaika na kumwambia Mariam kua atazaa mtoto Ilikua ni kuepuka zambi ya asili.
Swali langu ni kwamba hii ni Biblia gani unayotumia yenye mafundisho haya?
Ingawa Wewe unadai kutumia Biblia Kama nayofumia Mimi, Lakini kwa swala hili Ndio Biblia zote zinafunfisha hivi?

Nitakutafutia hiyo post yako nikuoneshe.
 
Kwani mdau unahakika ukristu unaopigania hapa na unayemuamini wewe ndio huo huo anouamini Pasco kwanini hamtaki kumpa fursa ya kumalizia kueleze anayotaka kuyaelezea.
Nini kinachowafanya mmzuie kwa nguvu nyingi kiasi hiki
Pasco anamweka Mungu sawa na shetani, halafu anamweka Yesu sawa na wewe? Kwa nini turuhusu upotofu huu wakati kweli iko wazi? Kama ataendelea kutumia Biblia kufundisha uchawi, hakika tutaendelea kumkosoa.

Haya mafundisho ya new age yameletwa kwa lengo maalum, na Pasco anajaribu kuwateka watu awaingize huko kama ilivyotokea kwake.
 
Last edited by a moderator:
Kwani mdau unahakika ukristu unaopigania hapa na unayemuamini wewe ndio huo huo anouamini Pasco kwanini hamtaki kumpa fursa ya kumalizia kueleze anayotaka kuyaelezea.
Nini kinachowafanya mmzuie kwa nguvu nyingi kiasi hiki

Kuna baadhi ya vitu havijakaa sawa kwenye Mada yake na hiyo bible anayotumia Ndio inayomwambia hivyo kitu ambacho ni tofauti.

Yeye aendelee na mambo Yake Lakini akitumia neno la Mungu kutoka kwenye Biblia vibaya ni vema likakosolewa!

Alafu Kwanini na Wewe unataka kutunyamazishe tuache tu hii Mada iendelee?
 
Mkuu Ntuzu, nadhani hakuna copyright ya matumizi ya Mungu, Yesu, Roho Mtakatifu na Biblia katika kusimama kwenye ukweli!. Naitumia Biblia kwa sababu mimi ni Mkristu na haya mafundisho kwanza nimeyapata kwenye Biblia, ndiko nilikojifunza Mungu ametuumba kwa mfano wake!. Aliyetufundisha kuwa tukiamini Mungu aliye juu, tunaweza kufanya yote katika Yeye atutiaye nguvu ni Yesu!. Na kila alipoponya au kufanya muujiza, hakujisifu kuwa ni yeye ametenda, bali "imani yako ndio imekuponya!", imani ni faith, inayozaa "will!", where there is a will, there is a way!.

Nionyeshe sehemu ulikoyapata haya katika Biblia, nami nitajiunga nawe!

Nalijuatatizo lenu kubwa, kwa vile nimesema matumizi ya nguvu hizi yalianza siku nyingi kabla ya kuzaliwa Masiya, na nyinyi imani yenu imegotea kwenye Ukristo tuu, kwenu yoyote asiye Mkristo ni washetani,
Pasco unakwepa hoja, ama hujalijua tatizo letu. Haya mafundisho kuanza siku nyingi siyo tatizo. Hata Biblia inashuhudia kuwa baada ya kuanguka kwa Adam na Eva, wanadamu walijiinulia miungu yao. Kwamba mambo haya yalianza kabla hajazaliwa Masihi si tatizo hata kidogo, kwani Yeye alikuwako hata kabla shetani hjaumbwa. Kuzaliwa kwake simply ilikuwa ni kutwaa mwili tu ili atukomboe na kutupa nguvu ya kushinda hila kama hizi za shetani. Na Yeye ndiye utimilifu wa imani yetu. Hatuhitaji kuazima mafundisho ya kina Buddha au new agers ili kuikamilisha imani yetu.
mnachotaka nisimtaje Mungu, Yesu wa Roho Mtakatifu, ili niwape uhalali kuwa huu uzi ni mafundisho ya shetani, wakati sii kweli, haya ni mafindisho wa Mungu na kwa kupitia mafundisho haya, mtajua shetani zaidi na kutimiza zaidi mapenzi ya Mungu ikiwemo kufanya miujiza!.
Pasco

Nawe unang'ang'ania kutumia maandiko ya Mungu mwenyezi hali ukitoa tafsiri potofu ili kuwapoteza walio katika Kristo. Tatizo lako ni kwamba unalazimisha kuhalalisha mafundisho haya kwa kutumia ukristo, wakati huko mwanzo mlijaribu hata kuwapa watu anuani ya temple lililopo Kisutu wakaanze kujifunza? Hilo temple ni la Katoliki au linatumia Biblia? Vipi kama mafundisho yako yalianza miaka mingi kabla ya Ukristo ni kwa nini basi usisemi hapo awali yaliitwaje? Mbona unayafananisha na ukristo ambao kwako ni imani changa sana. Si uwaammbie tu watu kuwa wewe ni mfuasi wa Budha? Acha kabisa kujificha kwenye ukristo kaka, just come clean.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom