Rostam Aziz ni mtanzania kwa kuzaliwa,amezaliwa mwisi wilayani Igunga wazazi wake walikuwa wanaishi mwisi na kwakweli walikuwa ndio wakombozi wa hicho kijiji gari lao ndilo lililokuwa linawabeba wanakiji wanapoumwa kuwapeleka hospitali ya Nkinga,hao wazazi wake walikuwa na roho nzuri sana na walipendwa sana hapo,walifanikiwa kuwasomesha watoto wao wote nje ya nchi na hivi sasa wanafanya kazi mbalimbali nje ya nchi.Rostam alianza siasa miaka mingi iliyopita,yeye ndiye aliyekuwa anawaweka wabunge wa igunga,alimweka marehemu Charles Kabeho na hatimayake ameingia bungeni mwenyewe,toka ameingia bungeni hajawahi kuchukua posho miaka yote posho yake alikuwa anachukua Prof Kapuya,mke wa Kapuya anatoka mwisi na walisoma na Rostam primary.Rostam ndiye aliyemgharimia Sitta ubunge na ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ya kumwingiza Sitta uspika wakati huo wakiwa marafiki na pia ndiye mfadhili mkuu wa Lucas Lumambo Seleli aliyekuwa mbunge wa Nzega sasa sijui waligombana nini lakini walikuwa marafiki wakubwa na wamefanya vikao vingi sana nzega nyumbani kwa mkwe wa Rostam Rasul Bakshi.Rostam anapenda hela sana yaani kila penye pesa anapanusa haraka sana,matajiri wote weupe ambao wanataka dili na serikali lazima wapitie kwake vinginevyo anawawekea nongwa.Yeye ni pesa tu na mara nyingi sana huwafadhili kisirisiri hata wagombea wa upinzani mradi tu alinde maslahi ya fedha zake,Mkapa ndiye aliyempa nafasi kubwa za CCM ndiye rafiki yake mkubwa sana huyu Mkwere kamkuta tu na EL ndiye iliyemuitrodyusi kwake,kwa sasa yeye na EL hawaongei kabisa na mkwere walichogombania sijui,Rostam ni tajiri sana na kwa sasa anahamisha mali zake zote,naambiwa na jamaa zake anahama TZ na mwaka 2015 hatakuwepo kabisa, ni kweli kabisa yeye na EL wana mkakati ili EL awe raisi 2015 matayarisho yao ni makubwa sana,mengi ntawaleteeni next time,mie namjua sana tunatoka kijiji kimoja na tumecheza pamoja