Public enemy number one of Tanzania title goes to "Rostam Aziz"

Public enemy number one of Tanzania title goes to "Rostam Aziz"

Ipende Tanzania. Usimchague rafiki wa mafisad. Chagua magufuli
 
Wewe kama nani unazungumzia wananchi wote, una wivu wa kijinga huna lolote.
 
Mimi simchukii kama ninavyomchukia Andrew Chenge
 
Labda kama hampo kwenye AJIRA za SERIKALI na TAASISI zake. PENOT of Tanzania ni WATUMISHI wa UMMA tuliowakabidhi ofisi zetu. RA peke yake anawezaje kuiibia NCHI. Wahindi waliondoka siku nyingi kwenye ajira ya UMMA, Waarabu vivyohivyo, tumebaki wenyewe tunatafunana kisha tunawasingizia akina RA ambao ni wawezeshaji tu.
Rais na Cabinet yote na manaibu mawaziri hakuna mwenye asili ya ASIA wala ULAYA.
Makatibu Wakuu kuanzia Luhanjo, Wakurugenzi wa Wizara na Taasis za UMMA ni sisi wenyewe.
Asilimia 98.9 ya Wabunge ni sisi hawahawa.
Hakuna Jaji wala Hakimu Mhindi.
Vyama vyetu vya SIASA, vya HIARI, ASASI za kiraia, za KIDINI, tunaziongoza wenyewe.
CDF, IGP, Mkuu wa TISS, Kamishna wa Uhamiaji, Magereza wote ni sisi.
Tunamwonea RA. Tukae tujiangalie, tufikiri upya.


Umenena vyema. Ili shoka likate MTI, litahitaji kipande cha MTI, kitapambwa na kurembwa na kubatizwa jina la MPINI. Kazi yake itakuwa kushirikiana na SHOKA kuangamiza jamii yake mwenyewe, yaani MITI.

Tunaangamia kwa kukosa MAARIFA
 
Umenena vyema. Ili shoka likate MTI, litahitaji kipande cha MTI, kitapambwa na kurembwa na kubatizwa jina la MPINI. Kazi yake itakuwa kushirikiana na SHOKA kuangamiza jamii yake mwenyewe, yaani MITI.

Tunaangamia kwa kukosa MAARIFA

Kwa analogy yako unamzungumzia Magufuli? Maana Lowassa ni part and parcel of the Mafia inayotunyonga hajatoka katika genge kahama kwa muda tu na Mafia yake
 
Yakunyongwa n ccm kwan ndo iliyomulea

Ila naona kumbe Chadema mlikuwa mnatamani na nyie yakunyongwa mlikuwa mnatafuta fursa na siyo kumaliza vitendo hivi.
Hamtaki kung'oa CCM ili kusafisha mfumo ila mnataka kuing'oa CCM ili nyie ndiyo muingie kutafuna na wapambe wenu.
Tumeshawajua sasa!
 
Rostam si adui, adui ni yeye aliyemwezesha kuwa adui. Inakuwaje mtu ana kashfa kibao halafu system haimfanyi lolote? Utawala wa CCM ndio adui namba moja wa taifa hili. Kashfa nyingi zimefanywa ndani ya kipindi cha awamu ya nne nani kwajibishwa? Mfumo wa uongozi wajuu ndio umemlea.
 
Rostam si adui, adui ni yeye aliyemwezesha kuwa adui. Inakuwaje mtu ana kashfa kibao halafu system haimfanyi lolote? Utawala wa CCM ndio adui namba moja wa taifa hili. Kashfa nyingi zimefanywa ndani ya kipindi cha awamu ya nne nani kwajibishwa? Mfumo wa uongozi wajuu ndio umemlea.

Na mfumo huu uliomtetea Rostam ulisimamiwa na Lowassa ndiyo maana baada ya Lowassa kujiuzulu alijivua gamba na alihamisha biashara zake. Rostam sasa anakuja huku mara mojamoja tu. Uozo wa mfumo husababishwa na watu na kinara wa wa uozo CCM ni Lowassa
Upende usipende.
Tafuta ile picha utaona maswahiba hawa!
 
BBC leo wameripoti habari yenye kichwa cha habari " The $1b ex-council flat" inaongelea kuhusu hela iliyoibiwa Moldova Europe poorest country. Yaani ni company feki zinajulikana kama Shell companies kwa maana ni makampuni yanayosajiliwa kwa makaratasi tu na zinakuwa na anuani mpaka directors lakini ni hewa kama tunavyozijua huku.
Lazima tubadilike na kuwa waadilifu kila sekta ili tujenge nchi na kuzuia mianya ya hivi kutokea.

Tumkabidhi nchi mtu atakae tusaidia kuyaona haya na si vinginevyo, Mungu ibariki nchi yetu
 
Matatizo yoote ya nchi hii chanzo ni CCM.Kwa kuwa Rostam Aziz ni zao la CCM basi CCM ni adui mkubwa na wa hatari kabisa kwa Watanzania.Ushauri Muhimu:CCM NI HATARI,WEKA MBALI NA WATANZANI KUPITIA SANDUKU LA KURA.
 
I was thinking, hivi hakuna mtu anayeweza kumuua huyu mtu iwe kwa ajali au hata kumloga/ wachawi kazi yenu nini kwani? kama kweli mnao uchawi/uganga,...anything hebu anzeni na huyu, kwa kweli nitafurahi sana siku Rostam akifa. Ee Mungu huoni kama huyo mtu anatuhanithi sana, uko wapi ee Mungu, muondoe huyu jamaa duniani, it seems hatumwezi kwa nguvu zetu. I am serious naomba Rostam afe.
Wale tumwaminio Mungu si tufunge na kuomba ili huyu afe kwa njia yoyote ile? wale wa novena na wasali novena kwa ajili tu ya huyu afe, wale waislamu na si wamsomee albadir. na wale wa kujilipua, inashindikanaje kumtafuta alipo mtu ajitoe mhanga kwa ajili ya taifa...maana imeandikwa, yampasa mmoja kufa kwa ajili ya wengi lol.....................kumbe i am dreaming, ...i hate you rostam, unaniletea mawenge hata usingizini.
Mkuu wewe una umasikini wa akili mpaka Mali, chuki yako ni kali Sana.
 
CARMEL, dont wory, ulichoongea tayari kipo kwenye mchakato, tar 16 tunakutana nairobi wanamapinduzi kadhaa tuna mtandao wetu, tunaenda kujadili proposals tofauti tofauti zinazotoa mapendekezo ya jinsi ya kua assasnet rostam pamoja na list ya watu 10 wengine. Hatuwezi weka mambo hadharani hapa ila kwa kifupi kuna wanamapinduzi 2 frm cuba,1 frm urusi, 5 frm dsm. Na mimi mwenyewe nikiwemo. Haina haja ya kuendelea kuumia wakati maadui zetu tunawajua.
Una mavi kichwani wewe..
 
Back
Top Bottom