Public enemy number one of Tanzania title goes to "Rostam Aziz"

Hivi hiyo "Self made" ina maana Forbes wameshindwa kubaini chanzo cha utajiri wake siyo?
Rostam ana mali mpaka Kenya na Uswiss. Ila leo media zote za Tanzania kimya. Rostam ndiye mfadhili mkuu wa Lowassa tokea zamani na pia ni business partner wake. Leo Chadema kimyaaa!
Ngoja tuendelee kukumbushana!
 

Attachments

  • 1443578975672.jpg
    39.2 KB · Views: 380
Naona wanachadema maslahi wanaukimbia huu uzi wa mfadhili wao mpya Rostam
Mkuu unamtenga vipi Rostam na ccm??, ameweza kufanya hayo akiwa ccm na hatoguswa kabisa kimaslahi kama ccm itaendelea kuwa madarakani.
 
Mkuu unamtenga vipi Rostam na ccm??, ameweza kufanya hayo akiwa ccm na hatoguswa kabisa kimaslahi kama ccm itaendelea kuwa madarakani.

CCM ya JK na Lowassa - uko sahihi lakini sasa kahama yuko na Lowassa huko kwenu na anawatengenezea himaya wenzake. Tatizo siyo CCM in the abstract ila watu kama Rostam, Lowassa na JK.
Narudia Lowassa is more of the same not change! Vinginevyo usingemwona Rostam na Dewji wanahangaika kumchangia Lowassa na Chadema leo hii!
 

Public enemy one is constitution which entails a weak legal framework.
 

Mkuu tatizo ni ccm! narudia tena tatizo ni ccmmmmmmmmmmmmmmmm, wote hao walizalishwa na kukuzwa ndani ya ccm na ccm haikuona tatizo, tukapiga kelele mkapinga. leo hii mnatuonesha ufisadi! sisi tuna ufahamu, lakini pia ccm imeamua kuchagua ufisadi wa kuongelea na si ufisadi kwa ujumla wake jambo ambalo lina ashiria kuwa haina nia ya dhati ya kupambana nao. mwisho niweke wazi kwako na hili BMK iliondoa kaimani kaliko kuwa kamebaki kwa ccm, niliweza kufahamu kuwa ccm wakiwa wamoja taifa haiwezi kwena mbele!!!! (nabainisha pia LOWASA SIYO MSAFI!! LAKI HAIMAHANISHI KUWA KURA YANGU ITAENDA CCM NEVER!)
 

Mkuu, unaongea kwa jazba lakini turudi. CCM ilikuwa ya mafisadi tokea imeanza au imeteguka na kuacha misingi? Je akina nani wamehusika kupoteza huu mwelekeo? Mmoja wao ambaye ni kinara ni Rostam .. huyu huwezi kumficha ndani ya general accusations ya CCM. Tafakari!
 

rostam amehama/fukuzwa lini ccm?
 
Mkuu unamtenga vipi Rostam na ccm??, ameweza kufanya hayo akiwa ccm na hatoguswa kabisa kimaslahi kama ccm itaendelea kuwa madarakani.

Tena akafikia kuwa MWAKA HAZINA MKUU WA CCM leo unapata wapi ujasiri wa kumkana Rostam Aziz.

Tabu hapo si mtu bali mfumo ccm, naomba Mungu asikie kilio cha waTz
 
Tena akafikia kuwa MWAKA HAZINA MKUU WA CCM leo unapata wapi ujasiri wa kumkana Rostam Aziz.

Tabu hapo si mtu bali mfumo ccm, naomba Mungu asikie kilio cha waTz

Lowassa alikuwa waziri mkuu na mbunge wa CCM kwa miaka mingapi vile? Sumaye je?
Hata hao ngumu kuwatenga na CCM.
You can't pick and choose at your convenience
You are entitled to your opinion but not your own facts! Ukitaka kum-exonorate Lowassa na Sumaye basi hata swahiba wao Rostam inabidi ku-apply same principles.
 
Alishahama muda yupo kama Lowassa na Sumaye .. kaweka kadi ya CCM kama ukumbusho ..

mkuu sasa naona utamkana na chenge mbeba maono wa ccm!! hivi anagombea ubunge kupitia chama gani vile???......... tafadhali unikumbushe.
 
Unamuongelea Rostam yule rafiki mkubwa wa Lowassa ambaye ameonesha kumsupport ili aende ikulu.
 
Rostam nae kajiunga na 'Mabadiliko' kuhakikisha wanatokomeza vitendo vya Rushwa na Ufisadi, Chadema wako bize wanasafisha kinyesi kiwe kisafi
 
Rostam yuko smart sana kwenye kazi....anapiga sana kazi....nipo pale caspian napiga kazi masenior wote ni maexpert kasoro mmoja tu na mainjinia wake wote ni ma expert. ....wale watu wanapga kazi wengine hawana hata cha wikend...na jamaa anaomba tender kihalal kabisa na anawanyooosha kwenye tender sababu kaz zake zote mpya anavyoingia mkataba anakuja na vifaa vyote vipya na mashine zote mpya ....mtu anathubutu kununua dumper 7 mpya na kila moja ni usd500k acheni jamaa awe tajir yupo smart sana kwenye kazi zakee
 

Aiseeee kumbe! Makakati wa EL n RA:what::what:
 
Tukimpiga chini lowasa tutakuwa tume mzibiti Rostam.

Rostam asipozibitiwa tutakuwa tumeiharibu nchi yetu
 
Marafiki wa lowasa wako kama lowasa. Mafisad kama Rostam na chemge. Hao wawili hawawez kuwa Marafiki wa magufuli

Watanzania wasivyokuwa na busara wana mchagua mtu wa aina ya lowasa eti awe rais wao. Ajabu iliyoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…