Public enemy number one of Tanzania title goes to "Rostam Aziz"

Ipende Tanzania. Usimchague rafiki wa mafisad. Chagua magufuli
 
Wewe kama nani unazungumzia wananchi wote, una wivu wa kijinga huna lolote.
 
Mimi simchukii kama ninavyomchukia Andrew Chenge
 


Umenena vyema. Ili shoka likate MTI, litahitaji kipande cha MTI, kitapambwa na kurembwa na kubatizwa jina la MPINI. Kazi yake itakuwa kushirikiana na SHOKA kuangamiza jamii yake mwenyewe, yaani MITI.

Tunaangamia kwa kukosa MAARIFA
 
Umenena vyema. Ili shoka likate MTI, litahitaji kipande cha MTI, kitapambwa na kurembwa na kubatizwa jina la MPINI. Kazi yake itakuwa kushirikiana na SHOKA kuangamiza jamii yake mwenyewe, yaani MITI.

Tunaangamia kwa kukosa MAARIFA

Kwa analogy yako unamzungumzia Magufuli? Maana Lowassa ni part and parcel of the Mafia inayotunyonga hajatoka katika genge kahama kwa muda tu na Mafia yake
 
Yakunyongwa n ccm kwan ndo iliyomulea

Ila naona kumbe Chadema mlikuwa mnatamani na nyie yakunyongwa mlikuwa mnatafuta fursa na siyo kumaliza vitendo hivi.
Hamtaki kung'oa CCM ili kusafisha mfumo ila mnataka kuing'oa CCM ili nyie ndiyo muingie kutafuna na wapambe wenu.
Tumeshawajua sasa!
 
Rostam si adui, adui ni yeye aliyemwezesha kuwa adui. Inakuwaje mtu ana kashfa kibao halafu system haimfanyi lolote? Utawala wa CCM ndio adui namba moja wa taifa hili. Kashfa nyingi zimefanywa ndani ya kipindi cha awamu ya nne nani kwajibishwa? Mfumo wa uongozi wajuu ndio umemlea.
 

Na mfumo huu uliomtetea Rostam ulisimamiwa na Lowassa ndiyo maana baada ya Lowassa kujiuzulu alijivua gamba na alihamisha biashara zake. Rostam sasa anakuja huku mara mojamoja tu. Uozo wa mfumo husababishwa na watu na kinara wa wa uozo CCM ni Lowassa
Upende usipende.
Tafuta ile picha utaona maswahiba hawa!
 
BBC leo wameripoti habari yenye kichwa cha habari " The $1b ex-council flat" inaongelea kuhusu hela iliyoibiwa Moldova Europe poorest country. Yaani ni company feki zinajulikana kama Shell companies kwa maana ni makampuni yanayosajiliwa kwa makaratasi tu na zinakuwa na anuani mpaka directors lakini ni hewa kama tunavyozijua huku.
Lazima tubadilike na kuwa waadilifu kila sekta ili tujenge nchi na kuzuia mianya ya hivi kutokea.

Tumkabidhi nchi mtu atakae tusaidia kuyaona haya na si vinginevyo, Mungu ibariki nchi yetu
 
Matatizo yoote ya nchi hii chanzo ni CCM.Kwa kuwa Rostam Aziz ni zao la CCM basi CCM ni adui mkubwa na wa hatari kabisa kwa Watanzania.Ushauri Muhimu:CCM NI HATARI,WEKA MBALI NA WATANZANI KUPITIA SANDUKU LA KURA.
 
Mkuu wewe una umasikini wa akili mpaka Mali, chuki yako ni kali Sana.
 
Una mavi kichwani wewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…