Public Relations Advice: Rais Samia alipaswa kuiambia dunia maneno haya kuhusiana na World Cup 2026

Public Relations Advice: Rais Samia alipaswa kuiambia dunia maneno haya kuhusiana na World Cup 2026

Mimi ili kufika hapo nilisoma tuisheni.
1781247667040.gif
 
Unaposema;

"Rais Samia alipaswa kuiambia Dunia maneno haya kuhusiana na World Cup 2026"

Ina maanisha kua, kuna speech ambayo ilitolewa na rais Samia na wewe umeamua kuikosoa/kuirekebisa au kutokukubaliana nayo,

So,hebu tuwekee hayo maneno aliyoyasema Rais ambayo wewe hukubaliani nayo,

Unaposema "Fulani alipaswa kufanya hivi" ina maana wewe hukubaliani na alichokifanya au unakikosoa,so tuwekee alichokisema Rais kuhusu WC2026

Hope utanielewa.
 
It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana)

Habari za wakati huu,

Ndugu zangu.

Bila shaka wote mpo wazima kabisa wa afya na poleni sana kwa shughuli za ujenzi wa taifa.

Katika kipindi hiki ambacho Tanzania bado inapona makovu ya vurugu pamoja na mauaji ya October/November 2025 na sasa inaendelea kupambana kurejesha uhusiano mwema na global western powers (The International Community), washauri wa Rais walipaswa kumshawishi aandike maneno haya katika accounts zake za mitandao ya kijamii.

KOMBE LA 2026.

"Leo ni ufunguzi wa mashindano ya kombe la dunia la mchezo wa mpira wa miguu kule nchini Mexico, mashindano yanayoleta pamoja mataifa mbalimbali kutoka katika mabara yote kwa lengo la kutaka kutukumbusha ya kuwa, licha ya tofauti zetu za kiuchumi, rangi, dini na hata lugha, sisi sote bado ni wamoja.

Ingawa nchi yangu ya Tanzania si moja kati ya Mataifa yatakayoshiriki mashindano haya kwa mwaka huu, ila kutokana na uwekezaji mkubwa wa kifedha na kiujuzi tunaoufanya katika sekta ya michezo, hususan mchezo huu wa kandanda, bado tuna imani kubwa ya kuwa ipo siku nasi tutakuwa miongoni mwao, hivyo ninaomba kuyatakia kila la kheri Mataifa yote yaliofanikiwa fukuzu na Mwenyezi Mungu akayasimamie vema wao pamoja wenyeji waandaaji wa michuano hii."

WORLD CUP 2026.

"As the World Cup kicks off today in Mexico, we are reminded that football brings nations together, transcending our economic, cultural, and linguistic differences.

While Tanzania is not competing this year, our ongoing financial and technical investments in sports give us confidence that we will soon grace this global stage. I wish the best of luck to all competing nations and success to the host organizers."

NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Sijasoma content yako ila baada ya kuona avatar yako nikapuuza!!
 
Rais unayemzungumzia kapatikana kimiujiza yan kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa masaa 6 pekee na zikahesabiwa ndani ya masaa 72 maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde moja tu 1
Na kura 7569 kwa dakika moja tu
 
bora umetangulia kusema una akili ndogo sana kama samuya maana hata yeye ana akili kiduchu tu kama ya kuku ya kuvukia barabara tu ndiomaana anatumia minguvu mingi kuliko akili utadhani anaongoza wapuuzi wenzie kumbe kuna watu kibaao wana akili zao wananchora tu. Tanzania bahati mbaya sana.
 
bora umetangulia kusema una akili ndogo sana kama samuya maana hata yeye ana akili kiduchu tu kama ya kuku ya kuvukia barabara tu ndiomaana anatumia minguvu mingi kuliko akili utadhani anaongoza wapuuzi wenzie kumbe kuna watu kibaao wana akili zao wananchora tu. Tanzania bahati mbaya sana.
Ni nani aliwahi kupendwa na kila mtu ndani ya jamii anamoishi??
 
Back
Top Bottom