PUBLIC RELATIONS: Waziri Kabudi alikosea kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory

Tatizo mimi sio muongeaji sana mbele ya kadamnasi hahahahaaaa. Ngoja nitaanza na udiwani kwanza nione kama upepo utanikubali.
Hata Moses alimwambia Mungu yeye ana kigugumizi hawezi kuongea lakini aliweza kufanya alichotumwa.
Au mama D anaweza kuwa msemaji wako😂😂😂😂
 
Hata Moses alimwambia Mungu yeye ana kigugumizi hawezi kuongea lakini aliweza kufanya alichotumwa.
Au mama D anaweza kuwa msemaji wako😂😂😂😂
Nitafurahi sana kama utakuwa unanisaidia kwa maana watanzania wanavyopenda ku-challenge wagombea wakati wa campaign, ninaweza kujikuta ninajing'atang'ata tu.
 
Fact!

Ulichosema ni sahihi kabisa,

Lakini kwa sababu tunaviongozi vipofu watajifanya hawajaona chochote.

Keep it up [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…