Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kitendo cha public servant kukataa uteuzi wa Rais wa nchi, it's not only ni kitendo cha kumu embarrass the appointing authority ambaye ni rais wa nchi, but also ni kitendo cha Insubordination of the highest order or degrees!. Wahusika hao, they deserves summary dismissals with no right to appeal!
Naomba kukiri, nimekuwa inspired na motivated kupandisha bandiko hili kutokana na mchango wa mwana JF huyu.
Kwenye presidential appointments kuna wateuliwa wa aina mbili, 1. Wateuliwa kutoka public service, hawa ni watumishi wa umma, mtu kutoka public service akiteuliwa nafasi yoyote, hawezi kukataa uteuzi. Rais wa JMT ndie mwajiri wa public service yote, ukiteuliwa na rais na kukataa uteuzi, ni kosa kubwa linaloitwa insubordination, adhabu yake ni summary dismissals with no right to appeal!
Hivyo mtumishi wa umma anapoteuliwa na rais kushika wadhifa wowote, ni lazima atekeleze au a hand over resignation letter yake na kupisha kuendelea na mambo yake. Hivyo hao waalimu wawili waliokataa uteuzi wa rais, kama nafasi zao kwenye chama cha waalimu ni ajira rasmi, na baada ya kupata nafasi hizo, walijiuzulu ualimu, then they are safe kukataa uteuzi wa something less than what they are, lakini kama nafasi zao sio ajira rasmi ni vyao tuu, lakini bado ni waajiriwa wa utumishi wa umma, kukataa uteuzi wa Mkuu wa nchi ni insubordination of the highest nature and they are finished!
Kuna uteuzi wa rais kwa watu kutoka private sector, na independent organisations vikiwemo trade unions na professional associations, to avoid unnecessary embarrassment kumu embarrass the appointing authority, mtu kabla hujateuliwa unaulizwa kama uko tayari ndipo jina linapelekwa, unateuliwa.
Wako watu wengi tuu huwa wanaulizwa na wana kataa. Na kwa wasiojua, hii sio mara ya kwanza kwa watu kukataa uteuzi wa u DC, General Ulimwengu aliwahi kuteuliwa DC, sikumbuki vizuri kama ni aliripoti akaona kuko hovyo, akaandika barua kujiuzulu na kuwaachia u DC wao!
Nakumbuka mwalimu wangu mmoja wa UDSM, aliomba kugombea ubunge mahali kupitia CCM, hakupitishwa ila akateuliwa DC!. Lecture huyo alikuwa ana miradi yake ya maana tuu hapa mjini inayohitaji a close supervision and makes millions!, aliukubali huo u DC in hope angeteuliwa next time! Akatupwa mashenzini! Miradi yake ilikufa, second round ilipofika, akatoswa tena!, akajirudia zake chuo kuendelea kupandisha!
Jielimishe zaidi kuhusu presidential appointment powers, rais ni dual personality rais ni mtu hivyo mambo mengine rais anakataliwa tuu kama mtu mwingine yeyote anavyo kataliwa, ila rais kama presidential institution, hawezi kukataliwa kitu, ukimkatalia, unakataliwa!
Nakikumbuka kisa kimoja cha rais fulani mpenda mambo fulani, akamuita mteuliwa fulani akambomu jambo fulani la binafsi, mteuliwa huyo alikuwa very bold! Alimkatalia rais wa nchi hilo jambo na akaondoka, hivyo rais huyo alikasirika sana, akatumia rungu lake ya presidential institution, akanyanyua simu kutoa maelekezo fulani mahali, yule mtumishi akashughulikiwa!
www.jamiiforums.com
Paskali
Naomba kukiri, nimekuwa inspired na motivated kupandisha bandiko hili kutokana na mchango wa mwana JF huyu.
Mkuu Carlos The Jackal , kwanza post za ma DC ni muendelezo tuu wa the colonial legacy, kwa mfumo wetu, they are redundant post just a wasted of money, time and resources. Hivyo hao viongozi wetu kuwa na colonial mentality kwenye colonial legacy, they are very right.Maajabu tuna Viongozi wanoumia, kisa Aloteuliwa, hataki uteuzi wenyewe !!.
Yaan Tuna Viongozi ambao bado Wana Ile mentality ya kikoloni.
Hii Nchi Sijui Imelaaniwa na nani.
Kwenye presidential appointments kuna wateuliwa wa aina mbili, 1. Wateuliwa kutoka public service, hawa ni watumishi wa umma, mtu kutoka public service akiteuliwa nafasi yoyote, hawezi kukataa uteuzi. Rais wa JMT ndie mwajiri wa public service yote, ukiteuliwa na rais na kukataa uteuzi, ni kosa kubwa linaloitwa insubordination, adhabu yake ni summary dismissals with no right to appeal!
Hivyo mtumishi wa umma anapoteuliwa na rais kushika wadhifa wowote, ni lazima atekeleze au a hand over resignation letter yake na kupisha kuendelea na mambo yake. Hivyo hao waalimu wawili waliokataa uteuzi wa rais, kama nafasi zao kwenye chama cha waalimu ni ajira rasmi, na baada ya kupata nafasi hizo, walijiuzulu ualimu, then they are safe kukataa uteuzi wa something less than what they are, lakini kama nafasi zao sio ajira rasmi ni vyao tuu, lakini bado ni waajiriwa wa utumishi wa umma, kukataa uteuzi wa Mkuu wa nchi ni insubordination of the highest nature and they are finished!
Kuna uteuzi wa rais kwa watu kutoka private sector, na independent organisations vikiwemo trade unions na professional associations, to avoid unnecessary embarrassment kumu embarrass the appointing authority, mtu kabla hujateuliwa unaulizwa kama uko tayari ndipo jina linapelekwa, unateuliwa.
Wako watu wengi tuu huwa wanaulizwa na wana kataa. Na kwa wasiojua, hii sio mara ya kwanza kwa watu kukataa uteuzi wa u DC, General Ulimwengu aliwahi kuteuliwa DC, sikumbuki vizuri kama ni aliripoti akaona kuko hovyo, akaandika barua kujiuzulu na kuwaachia u DC wao!
Nakumbuka mwalimu wangu mmoja wa UDSM, aliomba kugombea ubunge mahali kupitia CCM, hakupitishwa ila akateuliwa DC!. Lecture huyo alikuwa ana miradi yake ya maana tuu hapa mjini inayohitaji a close supervision and makes millions!, aliukubali huo u DC in hope angeteuliwa next time! Akatupwa mashenzini! Miradi yake ilikufa, second round ilipofika, akatoswa tena!, akajirudia zake chuo kuendelea kupandisha!
Jielimishe zaidi kuhusu presidential appointment powers, rais ni dual personality rais ni mtu hivyo mambo mengine rais anakataliwa tuu kama mtu mwingine yeyote anavyo kataliwa, ila rais kama presidential institution, hawezi kukataliwa kitu, ukimkatalia, unakataliwa!
Nakikumbuka kisa kimoja cha rais fulani mpenda mambo fulani, akamuita mteuliwa fulani akambomu jambo fulani la binafsi, mteuliwa huyo alikuwa very bold! Alimkatalia rais wa nchi hilo jambo na akaondoka, hivyo rais huyo alikasirika sana, akatumia rungu lake ya presidential institution, akanyanyua simu kutoa maelekezo fulani mahali, yule mtumishi akashughulikiwa!
Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
Wanabodi, Bandiko hili ni kufuatia watu fulani humu wenye viherehere na vimbelembele kutaka kuhoji kila kitu sasa wameingilia kuhoji uwezo wa serikali ya JPM kufanya vetting kabla ya teuzi fulani fulani, kumbe hawajui kuwa now days vetting is nothing!. Kinachoangaliwa sasa ni uwezo wa utendaji...