Public Servant kukataa uteuzi wa Rais, not only embarrassment, but also insubordination of the Highest Order! They deserve summary dismissals

Public Servant kukataa uteuzi wa Rais, not only embarrassment, but also insubordination of the Highest Order! They deserve summary dismissals

Tatizo la jukwaa hili wachangiaji wengi wamekuwa na mihemko kuliko weledi.......tuchangie mada Kwa kuzingatia weledi na hoja za msingi kama watu wazima waliotoa tongo tongo.......na sio kumshambulia mtoa mada..........
Uandishi wa provocation una faida na hasara zake kwa hio hata mwandishi analijua hilo na jukumu lake la msingi ni kunukuu na kujifunza juu ya points of divergence.

Journalism kama una idea nayo raha sana
 
Katika utumishi wa umma kuna nafasi ya kukubali au kukataa cheo/teuzi/daraja kwa barua. Ni haki ya mtumishi ndo maana unatakiwa ukipewa cheo ukikubali kimaandiahi ndani ya miezi sita!

Acha ukasuku mzee unajidhalilisha.
Kweli mkuu, huyu jamaa analeta ukasuku.

Mayala maana yake ni njaa!

Jesus is Lord
 
Musilazimishe kumfanya mkuu wa nchi ni li dude fulani la kutisha ambalo maamuzi yake hayapaswi kupingwa.

Hoja inarudi palepale, hiari ya mteuliwa kukubali au kukataa ni lazima iheshimiwe, siyo mateka yule.
Kumbuka, uteuzi huo unamtoa kabisa kwenye eneo lake la kitaaluma. Wengine hawawezani na siasa.
Hata wateuliwa wa hizo nafasi wakiangalia majukumu Ya hizo nafasi anaona wanakwenda kuwepo tu ofisini huku maisha yake aki9na ni kama vile yamesimama
Fikiri vema na kwa mapana juu ya hili,sidhani kama mamlaka ya uteuzi inafanya kumteua mtu asiyeelekea kuwa mwanasias
 
Fikiri vema na kwa mapana juu ya hili,sidhani kama mamlaka ya uteuzi inafanya kumteua mtu asiyeelekea kuwa mwanasias
Wapo wanasiasa huko siasani walishasema wao siyo wanasiasa. Kingine kuna watu wanasifa za uanasiasa lakini hawapendi kuwa kwenye active politics
 
Nilitaka kumkumbusha tu kua hata awamu iliyopita kuna mtu aliteuliwa ukuu wa wilaya ila akakataaa uteuzi. Nachojua kuna a polite way ya kujibu kama vile kuandika kwa aliye kuteua “nashukuru kwa uteuzi ila nasikitika kua siko tayari kwa majukumu hayo kwa sababu abcd…. Ndiyo haki.

Mkuu pascal labda utuambie kama kisheria hakuna clause ya kumpa haki ya mteuliwa kukataa uteuzi, maana umejikita kwenye upande wa mteuliwa aliyekataa kuonekana kama aliye kiuka.
Yule alitokea private sector sio public
 
Yule alitokea private sector sio public
Hawa ni wahuni na wamezoea kufanya kazi kwa mazowea yaani ni watu wanaokwepa kufanya kazi chini ya kiapo maana kwa position walozoteuliwa ni lazime wakaape kuwatumikia wananchi kwa uaminifu na

kuitetea Kutunza na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na kutunza siri za ofisi.

hivyo ndivyo wanavyovikwepa maana ni ngumu kwao hawakuzoea kufanya kazi ktk hayo mazingira.

ama waseme wanakwepa nini?

na kama wamechoka kuwa watumishi basi wawe wamejiuzulu hata huko wanakofanyia utumishi kwa sasa.
 
Naona mtoa hoja kashambuliwa kweli, japo kausema ukweli! Mara nyingi ukweli huwa ni mchungu na huwa unauma kweli! Huwezi kupangiwa kazi na mamlaka ya juu ya Nchi eti unakataa kisa tu una haki ya kukubali au kukataa. Huo ni utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu. Kama hutaki kazi mpya uliyopangiwa na boss wako kufanya tafsri yake ni kwamba hata ambayo uifanyayo kwa sasa huitaki
 
wengi huwa ni viherehere tu wakidhani ukiteuliwa ni rahisi kula meza kuu. Kuna mmoja mpaka shule yake ya "maono makamilifu" imepotea kabisa, kwa sababu ya udc.
Perfect Vision zilikuaga taasisi nzuri sana,basi tu
 
Hakuna insubordination hapo.

Unless umeandika kufurahisha genge tu.
 
Mzee Mayalla, unaupiga unyoka mwingi.

Katiba mpya ni muhimu au siyo?
 
Kuwachukulia hatua ni uonevu, kwa sababu wameteuliwa kama trade unionist na sio Kama waalimu wa serikali (Sina hakika Kama ni waalimu wa shule za serikali), Kama waalimu wangeteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashari, afisa Elimu wilaya, mkoa halafu wakakataa, hio ilikuwa lazima wachukuliwe hatua, lakini hio nafasi ni ya kisiasa ni nje ya utumishi wao.
 
Back
Top Bottom