Public Servant kukataa uteuzi wa Rais, not only embarrassment, but also insubordination of the Highest Order! They deserve summary dismissals

Kwamba serikali ( Mwajiri) ameanzisha chama Cha watumishi ili wapiganie Maslahi na haki ya waajiriwa wote wa Mwajiri ( serikali) hiyo?

Kweli mtu mweusi ni NYANI ALIYECHANGAMKA.
bila shaka wewe ndiye nyani uliyechanganyikiwa anayekataa ukweli. mimi nimekwambia fact na mgongano uliopo. Ni ajabu unakataa ukweli unang'ang'ania mihemko yako iwe fact.

Ulishajiuliza ni kwa nini CAG hukagua Chama cha Walimu Tanzania? CAG abaini madudu CWT

Ukweli ni kuwa vyama karibu vyote vya wafanyakazi ni taasisi huru. Lakini walioanzisha chama cha walimu (akina mama sita, silvester mkoba (rip) na wenzao) walichemsha mwanzoni kabisa kwa kukikabidhi serikalini na kikawekwa chini ya wizara ya kazi. madhara yake yanaanza kuonekana sasa.
 
You are very wrong. Chama cha walimu cha Tanzania ni instrument ya serikali na kiko chini ya Wizara ya Kazi, Kimepewa tu autonomous ya kuchagua viongozi wake badala ya kuteuliwa. Soma katiba ya CWT.

unapokuwa kiongozi wa cwt, automatically wewe ni public servant. Na mkuu wa public service ni president
Kupitia haya maelezo yako, basi hiyo CWT siyo trade union. Maana kwa uelewa wangu chama cha wafanyakazi ni taasisi huru, isiyotakiwa kufungamana na serikali.
 
bila shaka wewe ndiye nyani uliyechanganyikiwa. mimi nimekwambia fact na mgongano uliopo. Ni ajabu unakataa ukweli unang'ang'ania mihemko yako iwe fact.

Ukweli ni kuwa vyama karibu vyote vya wafanyakazi ni taasisi huru. Lakini walioanzisha chama cha walimu walichemsha mwanzoni kabisa kwa kukikabidhi serikalini na kikawekwa chini ya wizara ya kazi. madhara yake yanaanza kuonekana sasa.
Wizara ya kazi inasajili na kuvitambua vyama vya wafanyakazi.

Hiyo haivifanyi kuwa vyama vya serikali.

Kitu kinachoponza hivi vyama ni kuvigeuza kuwa MACHAWA wa serikali na kushirikiana na serikali KUIBA hata kipato kidogo Cha wafanyakazi.

Kipato Cha hivi vyama hakikaguliwi na CAG Kwasababu siyo mali ya Serikali
 
Kupitia haya maelezo yako, basi hiyo CWT siyo trade union. Maana kwa uelewa wangu chama cha wafanyakazi ni taasisi huru, isiyotakiwa kufungamana na serikali.
Kabisa. Ukikiangalia kwa umakini si trade union kabisa. Na ndiyo sababu kuna kundi fulani la walimu walitangaza kujitenga nacho waanzishe kingine ambacho ni huru. Na ndiyo sababu CWT hukaguliwa na CAG
 
Wizara ya kazi inasajili na kuvitambua vyama vya wafanyakazi.

Hiyo haivifanyi kuwa vyama vya serikali.

Kitu kinachoponza hivi vyama ni kuvigeuza kuwa MACHAWA wa serikali na kushirikiana na serikali KUIBA hata kipato kidogo Cha wafanyakazi.

Kipato Cha hivi vyama hakikaguliwi na CAG Kwasababu siyo mali ya Serikali
uko sahihi kwa trade unions nyingine siyo CWT. Tafuta ukweli. ukikuta ni tofauti na maelezo yangu unijulishe. Kimsingi cwt ukikiangalia siyo trade union kabisa, is something else, very confusing. Ingekuwa trade union huru isingekaguliwa na cag
 
Kitendo cha public servant kukataa uteuzi wa Rais wa nchi, it's not only ni kitendo cha kumu embarrass the appointing authority ambaye ni rais wa nchi, but also ni kitendo cha Insubordination of the highest order or degrees!. Wahusika hao, they deserves summary dismissals with no right to appeal!

Naomba kukiri, nimekuwa motivated kupandisha bandiko hili kutokana na mchango wa mwana JF huyu.

Mkuu Carlos The Jackal , kwanza post za ma DC ni muendelezo tuu wa the colonial legacy, kwa mfumo wetu, they are redundant post just a wasted of money, time and resources. Hivyo hao viongozi wetu kuwa na colonial mentality kwenye colonial legacy, they are very right.

Kwenye presidential appointments kuna wateuliwa wa aina mbili, 1. Wateuliwa kutoka public service, hawa ni watumishi wa umma, mtu kutoka public service akiteuliwa nafasi yoyote, hawezi kukataa uteuzi. Rais wa JMT ndie mwajiri wa public service yote, ukiteuliwa na rais na kukataa uteuzi, ni kosa kubwa linaloitwa insubordination, adhabu yake ni summary dismissals with no right to appeal!

Hivyo mtumishi wa umma anapoteuliwa na rais kushika wadhifa wowote, ni lazima atekeleze au a hand over resignation letter yake na kupisha kuendelea na mambo yake. Hivyo hao waalimu wawili waliokataa uteuzi wa rais, kama nafasi zao kwenye chama cha waalimu ni ajira rasmi, na baada ya kupata nafasi hizo, walijiuzulu ualimu, then they are safe kukataa uteuzi wa something less than what they are, lakini kama nafasi zao sio ajira rasmi ni vyao tuu, lakini bado ni waajiriwa wa utumishi wa umma, kukataa uteuzi wa Mkuu wa nchi ni insubordination of the highest nature and they are finished!

Kuna uteuzi wa rais kwa watu kutoka private sector, na independent organisations vikiwemo trade unions na professional associations, to avoid unnecessary embarrassment kumu embarrass the appointing authority, mtu kabla hujateuliwa unaulizwa kama uko tayari ndipo jina linapelekwa, unateuliwa.

Wako watu wengi tuu huwa wanaulizwa na wana kataa. Na kwa wasiojua, hii sio mara ya kwanza kwa watu kukataa uteuzi wa u DC, General Ulimwengu aliwahi kuteuliwa DC, sikumbuki vizuri kama ni aliripoti akaona kuko hovyo, akaandika barua kujiuzulu na kuwaachia u DC wao!

Nakumbuka mwalimu wangu mmoja wa UDSM, aliomba kugombea ubunge mahali kupitia CCM, hakupitishwa ila akateuliwa DC!. Lecture huyo alikuwa ana miradi yake ya maana tuu hapa mjini inayohitaji a close supervision and makes millions!, aliukubali huo u DC in hope angeteuliwa next time! Akatupwa mashenzini! Miradi yake ilikufa, second round ilipofika, akatoswa tena!, akajirudia zake chuo kuendelea kupandisha!

Jielimishe zaidi kuhusu presidential appointment powers, rais ni dual personality rais ni mtu hivyo mambo mengine rais anakataliwa tuu kama mtu mwingine yeyote anavyo kataliwa, ila rais kama presidential institution, hawezi kukataliwa kitu, ukimkatalia, unakataliwa!

Nakikumbuka kisa kimoja cha rais fulani mpenda mambo fulani, akamuita mteuliwa fulani akambomu jambo fulani la binafsi, mteuliwa huyo alikuwa very bold! Alimkatalia rais wa nchi hilo jambo na akaondoka, hivyo rais huyo alikasirika sana, akatumia rungu lake ya presidential institution, akanyanyua simu kutoa maelekezo fulani mahali, yule mtumishi akashughulikiwa!

Paskali
Naamini ungeipata wewe hiyo nafasi ungewahi kuanza kazi kabla hata ya kuapishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu ilikuwaje Maswanya aliyekuwa zonal director wa tigo kukataa uteuzi kipindi cha Magu? Je, hakupewa briefing kabla?

Note: Hakuwa mtumishi wa umma.
 
Katika utumishi wa umma kuna nafasi ya kukubali au kukataa cheo/teuzi/daraja kwa barua. Ni haki ya mtumishi ndo maana unatakiwa ukipewa cheo ukikubali kimaandiahi ndani ya miezi sita!

Acha ukasuku mzee unajidhalilisha.
WENGI HAWAJUI HIKI KUWA MTUMISHI ANAPONDA CHEO ANATAKIWA KUANDIKA BARUA YA KUKUBALI AU KUKATAA CHEO AU DARAJA JIPYA
 
Kitendo cha public servant kukataa uteuzi wa Rais wa nchi, it's not only ni kitendo cha kumu embarrass the appointing authority ambaye ni rais wa nchi, but also ni kitendo cha Insubordination of the highest order or degrees!. Wahusika hao, they deserves summary dismissals with no right to appeal!

Naomba kukiri, nimekuwa motivated kupandisha bandiko hili kutokana na mchango wa mwana JF huyu.

Mkuu Carlos The Jackal , kwanza post za ma DC ni muendelezo tuu wa the colonial legacy, kwa mfumo wetu, they are redundant post just a wasted of money, time and resources. Hivyo hao viongozi wetu kuwa na colonial mentality kwenye colonial legacy, they are very right.

Kwenye presidential appointments kuna wateuliwa wa aina mbili, 1. Wateuliwa kutoka public service, hawa ni watumishi wa umma, mtu kutoka public service akiteuliwa nafasi yoyote, hawezi kukataa uteuzi. Rais wa JMT ndie mwajiri wa public service yote, ukiteuliwa na rais na kukataa uteuzi, ni kosa kubwa linaloitwa insubordination, adhabu yake ni summary dismissals with no right to appeal!

Hivyo mtumishi wa umma anapoteuliwa na rais kushika wadhifa wowote, ni lazima atekeleze au a hand over resignation letter yake na kupisha kuendelea na mambo yake. Hivyo hao waalimu wawili waliokataa uteuzi wa rais, kama nafasi zao kwenye chama cha waalimu ni ajira rasmi, na baada ya kupata nafasi hizo, walijiuzulu ualimu, then they are safe kukataa uteuzi wa something less than what they are, lakini kama nafasi zao sio ajira rasmi ni vyao tuu, lakini bado ni waajiriwa wa utumishi wa umma, kukataa uteuzi wa Mkuu wa nchi ni insubordination of the highest nature and they are finished!

Kuna uteuzi wa rais kwa watu kutoka private sector, na independent organisations vikiwemo trade unions na professional associations, to avoid unnecessary embarrassment kumu embarrass the appointing authority, mtu kabla hujateuliwa unaulizwa kama uko tayari ndipo jina linapelekwa, unateuliwa.

Wako watu wengi tuu huwa wanaulizwa na wana kataa. Na kwa wasiojua, hii sio mara ya kwanza kwa watu kukataa uteuzi wa u DC, General Ulimwengu aliwahi kuteuliwa DC, sikumbuki vizuri kama ni aliripoti akaona kuko hovyo, akaandika barua kujiuzulu na kuwaachia u DC wao!

Nakumbuka mwalimu wangu mmoja wa UDSM, aliomba kugombea ubunge mahali kupitia CCM, hakupitishwa ila akateuliwa DC!. Lecture huyo alikuwa ana miradi yake ya maana tuu hapa mjini inayohitaji a close supervision and makes millions!, aliukubali huo u DC in hope angeteuliwa next time! Akatupwa mashenzini! Miradi yake ilikufa, second round ilipofika, akatoswa tena!, akajirudia zake chuo kuendelea kupandisha!

Jielimishe zaidi kuhusu presidential appointment powers, rais ni dual personality rais ni mtu hivyo mambo mengine rais anakataliwa tuu kama mtu mwingine yeyote anavyo kataliwa, ila rais kama presidential institution, hawezi kukataliwa kitu, ukimkatalia, unakataliwa!

Nakikumbuka kisa kimoja cha rais fulani mpenda mambo fulani, akamuita mteuliwa fulani akambomu jambo fulani la binafsi, mteuliwa huyo alikuwa very bold! Alimkatalia rais wa nchi hilo jambo na akaondoka, hivyo rais huyo alikasirika sana, akatumia rungu lake ya presidential institution, akanyanyua simu kutoa maelekezo fulani mahali, yule mtumishi akashughulikiwa!

Paskali
BROO huna bahati kwakweli dah!! mpaka wanateuliwa ambao hawataki uteuzi huo wakati wanaoukodolea macho kama wewe walaaa hawakuoni
 
Asante sana kwa makala yako hii

Hao waliokataa uteuzi kutoka kwa mkuu wa nchi ninaweza kuwachukulia kama watu wasiojitambua/jielewa kwa sababu haiwezekani kuyakataa maelekezo ya mkuu wako yaani tena akiwa ni mkuu wa nchi

hawa watumishi wametawaliwa na ubinafsi/umimi ni watu wenye kujali sana faida zao binafsi badala ya kuwatumikia na kuwasaidia wananchi kwa sababu mkuu wako wa kazi ambaye hapa sasa ni mamlaka ya juu sana Urais ndiye anayefahamu utendaji wako wa kazi na ndiyo maana anaona ni wapi panapofaa zaidi akuweke ili uweze kumsaidia ktk Majukumu yake ya kutekeleza kazi ya kuwatumikia wananchi na unamkatalia bila haya na huku ukitegemea pengine uendelee na utumishi ktk sehemu ambayo ulikiwepo mwanzo hii siyo sawa hata kidogo

hata kama angekuwa ni mtu mwenye shughuli zake binafsi ndani ya nchi inakuwa ngumu kidogo kumgomea rais linapokuja swala la kuteuliwa kwenda kutumikia wananchi achilia mbali kuwa ni mtumishi wa umma uliyemkatalia mkuu wa nchi kukubadilishia ofisi ama kituo cha kazi sioni kama ni sawa hata kidogo

bila kujalisha kwamba umepandishwa ama umeshushwa cheo au maslahi yako kikazi na mamlaka kuu lakini kwa habari hii ya kugomea uteuzi inaonesha ni namna gani ulivyokuwa hauna utii kwa mamlaka kuu ya nchi na kwamba umejaa kiburi kwa sababu ya maslahi binafsi unayojipatia mahali ulipo na hapo hapo unasahau kwamba wapo wazalendo waliojitoa kwa moyo wa kufanya kwao kazi na kujitoa sehemu nyingine zilizofanikisha hiyo sehemu yako ya kazi ikawa ni yenye kukufaa kama ilivyo.
 
Kitendo cha public servant kukataa uteuzi wa Rais wa nchi, it's not only ni kitendo cha kumu embarrass the appointing authority ambaye ni rais wa nchi, but also ni kitendo cha Insubordination of the highest order or degrees!. Wahusika hao, they deserves summary dismissals with no right to appeal!

Naomba kukiri, nimekuwa motivated kupandisha bandiko hili kutokana na mchango wa mwana JF huyu.

Mkuu Carlos The Jackal , kwanza post za ma DC ni muendelezo tuu wa the colonial legacy, kwa mfumo wetu, they are redundant post just a wasted of money, time and resources. Hivyo hao viongozi wetu kuwa na colonial mentality kwenye colonial legacy, they are very right.

Kwenye presidential appointments kuna wateuliwa wa aina mbili, 1. Wateuliwa kutoka public service, hawa ni watumishi wa umma, mtu kutoka public service akiteuliwa nafasi yoyote, hawezi kukataa uteuzi. Rais wa JMT ndie mwajiri wa public service yote, ukiteuliwa na rais na kukataa uteuzi, ni kosa kubwa linaloitwa insubordination, adhabu yake ni summary dismissals with no right to appeal!

Hivyo mtumishi wa umma anapoteuliwa na rais kushika wadhifa wowote, ni lazima atekeleze au a hand over resignation letter yake na kupisha kuendelea na mambo yake. Hivyo hao waalimu wawili waliokataa uteuzi wa rais, kama nafasi zao kwenye chama cha waalimu ni ajira rasmi, na baada ya kupata nafasi hizo, walijiuzulu ualimu, then they are safe kukataa uteuzi wa something less than what they are, lakini kama nafasi zao sio ajira rasmi ni vyao tuu, lakini bado ni waajiriwa wa utumishi wa umma, kukataa uteuzi wa Mkuu wa nchi ni insubordination of the highest nature and they are finished!

Kuna uteuzi wa rais kwa watu kutoka private sector, na independent organisations vikiwemo trade unions na professional associations, to avoid unnecessary embarrassment kumu embarrass the appointing authority, mtu kabla hujateuliwa unaulizwa kama uko tayari ndipo jina linapelekwa, unateuliwa.

Wako watu wengi tuu huwa wanaulizwa na wana kataa. Na kwa wasiojua, hii sio mara ya kwanza kwa watu kukataa uteuzi wa u DC, General Ulimwengu aliwahi kuteuliwa DC, sikumbuki vizuri kama ni aliripoti akaona kuko hovyo, akaandika barua kujiuzulu na kuwaachia u DC wao!

Nakumbuka mwalimu wangu mmoja wa UDSM, aliomba kugombea ubunge mahali kupitia CCM, hakupitishwa ila akateuliwa DC!. Lecture huyo alikuwa ana miradi yake ya maana tuu hapa mjini inayohitaji a close supervision and makes millions!, aliukubali huo u DC in hope angeteuliwa next time! Akatupwa mashenzini! Miradi yake ilikufa, second round ilipofika, akatoswa tena!, akajirudia zake chuo kuendelea kupandisha!

Jielimishe zaidi kuhusu presidential appointment powers, rais ni dual personality rais ni mtu hivyo mambo mengine rais anakataliwa tuu kama mtu mwingine yeyote anavyo kataliwa, ila rais kama presidential institution, hawezi kukataliwa kitu, ukimkatalia, unakataliwa!

Nakikumbuka kisa kimoja cha rais fulani mpenda mambo fulani, akamuita mteuliwa fulani akambomu jambo fulani la binafsi, mteuliwa huyo alikuwa very bold! Alimkatalia rais wa nchi hilo jambo na akaondoka, hivyo rais huyo alikasirika sana, akatumia rungu lake ya presidential institution, akanyanyua simu kutoa maelekezo fulani mahali, yule mtumishi akashughulikiwa!

Paskali

Advocate Pascal Mayala-PPR
 
Zamani mbona Mteuliwa alikuwa anapigiwa simu kuulizwa na akikubali ndo anatangazwa.

Utaratibu huu uliishia wapi?
 
Back
Top Bottom