Public Servant kukataa uteuzi wa Rais, not only embarrassment, but also insubordination of the Highest Order! They deserve summary dismissals

Time will Tell P
 
Tena ni waalim, taaluma inayozaa mapooza.

Kumbe hata wale watoto wanaojibu matusi kwenye mitihani yao hawana kosa, ujinga unaanzia kwa waalim wao.

Huo ujasiri wa kukataa amri ya mkuu wa nchi wameutoa wapi?
Huoni na huyo mkuu wako wa nchi naye hajielewi! Unamteuaje kiongozi wa chama cha wafanyakazi, ambacho kimsingi hakitakiwi kufungamana na chama chochote kile cha kisiasa, kushika nafasi ya kisiasa kama hiyo ya Mkuu wa Wilaya?

Halafu unaposema ualimu ni taaluma inayozaa mapooza, unamaanisha nini? Kauli kama hizi zinatakiwa zitolewe na watoto wadogo! Na siyo mtu mzima na akili zako kama wewe.
 
@Pascal Mayalla anawasagia kunguni, kama alivyomfanyia Kabendera, huyu ni mnafiki mbobevu,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Tanzania tuna katiba ya kipumbavu sana. Yaani mpaka leo bado tunavikumbatia vyeo vya kipuuzi na vilivyopitwa na wakati kama vya Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, nk!
 
Watanzania tumieni kiswahili.sarufi ya kiingereza wengi hatuifahamu. How i wish you put your opinion in either pure and standard english or use your local language?
 
Paragraph ya mwsho ni Typical chuma steel yule mwamba kuna maamuzi yake yalikua magumu
 
Nikadhani andiko lako litaambatana na sheria inayosema hivyo, kumbe ni mawazo yako tu.

Unamuweka Rais juu ya haki ya kujiamulia ya individual, yani unataka raia wa hii nchi wawe watumwa wa Rais, haya ni mawazo ya kikoloni, umeshaanza kuwa chawa.

Zaidi unapoandika; "viongozi wetu kuwa na colonial mentality toka kwenye colonial legacy, hiyo ni haki yao".

Hapo ndipo umeharibu kabisa, kama jambo ni baya lazima likemewe ili liishe, huwezi kusema U DC hauna maana kwasababu ni vyeo vya kikoloni, halafu tena unasema ni haki ya wale wanaowateua kwasababu wana mentality ya kikoloni, sikuelewi!.

Kama huwezi kubadilisha mentality ya kikoloni aliyonayo Rais, ndio maana unamuona malaika kila analosema lazima lifuatwe, wenzio wamekuonesha kivitendo wao wana mawazo huru tofauti nawe.
 
Kwa aliyeona kifungu chochote Cha kisheria, katiba au waraka unaomlazimisha mtumishi kukubali teuzi.

Hili zee la kisu-ku.ma zero kabisa.
 
Pia kuwepo na ile hiari ya mtu kukubali au kukataa, Kuna kazi zingine unaona hii hutaweza kuimudu! Bora uripoti uanze kazi ufanye madudu ufurushwe au ukatae fedheha zitakazotokea mbeleni?
 
Katiba mpya is key wa aya yoteeee....
Not always and not to everything. Once you are a public servant, you are a servant/slave to public service. Huwezi ukakataa presidential appointment tena kwa kiburi. Labda hiyo katiba mpya ifute presidential appointments, jambo ambalo haliweze likatokea hata kama hiyo katiba itashushwa kutoka mbinguni.

Teuzi zote consultations hufanyika kabla jina halijatangazwa, kwa nini mtu asikatae wakati wa consultations?
 
Mbona wnahikumiwa sana??
Vipi kama walikataa Kwa kumuandika barua raisi??

Je nikosa kukataa kazi uliyeteuliwa....ikiwa huwezi kuifanya?

Je kabla ya teuzi mkuu aliwataatifu kbla ya kuwatangaza???

Vipi kama mhusika hawezi kuifanya kukataa ni kosa?
MTUMISHI WA UMMA NI KOSA KUKATAA UTEUZI WA RAIS, WEWE NI MUAJIRIWA WAKE ANAYO HAKI YA KUKUPELEKA SEHEMU AMBAYO ANAHISI UTAMSAIDIA JUKUMU FULANI.
KUKATAA TEUZI INGALI WEWE NI MTUMISHI WA UMMA MAANA YAKE UMEJIFUKUZISHA KAZI YAKO.

NB. CWT ni ya SERIKALI PIA.
 
CWT sio chama huru, ndio maana only waalimu walioajiriwa na Serikali ndio hujiunga, na kiko chini ya TAMISEMI.
 
Katika utumishi wa umma kuna nafasi ya kukubali au kukataa cheo/teuzi/daraja kwa barua. Ni haki ya mtumishi ndo maana unatakiwa ukipewa cheo ukikubali kimaandiahi ndani ya miezi sita!

Acha ukasuku mzee unajidhalilisha.
Uko sahihi kabisa.
 
Asante sana kwa hoja yako Paskali, ila kwa kuwa wewe ni mwanasheria naomba uweke vifungu vya katiba, sheria, kanuni na miongozo mbalimbali, hasa sheria ya kazi na nyingine za nchi zenye kuonyesha mtu ametenda kosa kisheria na kuhitaji kuadhibiwa, endapo atakosa utayari wa kupokea teuzi aliyopewa na taasisi ya urais.
 
wengi huwa ni viherehere tu wakidhani ukiteuliwa ni rahisi kula meza kuu. Kuna mmoja mpaka shule yake ya "maono makamilifu" imepotea kabisa, kwa sababu ya udc.
 
Pascal Mayalla unaelewa maana ya kukataa?

Ukuu wa Wilaya siyo kwenda vitani
 
You are very wrong. Chama cha walimu cha Tanzania ni instrument ya serikali na kiko chini ya Wizara ya Kazi ndiyo sababu hukaguliwa na CAG. Kimepewa tu autonomous ya kuchagua viongozi wake badala ya kuteuliwa, ambao lazima wawe walimu wa shule za serikali, yaani watumishi wa umma.

unapokuwa kiongozi wa cwt, bado wewe ni public servant. Na mkuu wa public service ni rais.
 
You are very wrong. Chama cha walimu cha Tanzania ni instrument ya serikali na kiko chini ya Wizara ya Kazi, Kimepewa tu autonomous ya kuchagua viongozi wake badala ya kuteuliwa. Soma katiba ya CWT.
Kwamba serikali ( Mwajiri) ameanzisha chama Cha watumishi ili wapiganie Maslahi na haki ya waajiriwa wote wanazodhulumiwa na Mwajiri ( serikali) hiyo?

Kweli mtu mweusi ni NYANI ALIYECHANGAMKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…