Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Uandishi wa provocation una faida na hasara zake kwa hio hata mwandishi analijua hilo na jukumu lake la msingi ni kunukuu na kujifunza juu ya points of divergence.Tatizo la jukwaa hili wachangiaji wengi wamekuwa na mihemko kuliko weledi.......tuchangie mada Kwa kuzingatia weledi na hoja za msingi kama watu wazima waliotoa tongo tongo.......na sio kumshambulia mtoa mada..........
Kweli mkuu, huyu jamaa analeta ukasuku.Katika utumishi wa umma kuna nafasi ya kukubali au kukataa cheo/teuzi/daraja kwa barua. Ni haki ya mtumishi ndo maana unatakiwa ukipewa cheo ukikubali kimaandiahi ndani ya miezi sita!
Acha ukasuku mzee unajidhalilisha.
Fikiri vema na kwa mapana juu ya hili,sidhani kama mamlaka ya uteuzi inafanya kumteua mtu asiyeelekea kuwa mwanasiasMusilazimishe kumfanya mkuu wa nchi ni li dude fulani la kutisha ambalo maamuzi yake hayapaswi kupingwa.
Hoja inarudi palepale, hiari ya mteuliwa kukubali au kukataa ni lazima iheshimiwe, siyo mateka yule.
Kumbuka, uteuzi huo unamtoa kabisa kwenye eneo lake la kitaaluma. Wengine hawawezani na siasa.
Hata wateuliwa wa hizo nafasi wakiangalia majukumu Ya hizo nafasi anaona wanakwenda kuwepo tu ofisini huku maisha yake aki9na ni kama vile yamesimama
Wapo wanasiasa huko siasani walishasema wao siyo wanasiasa. Kingine kuna watu wanasifa za uanasiasa lakini hawapendi kuwa kwenye active politicsFikiri vema na kwa mapana juu ya hili,sidhani kama mamlaka ya uteuzi inafanya kumteua mtu asiyeelekea kuwa mwanasias
Yule alitokea private sector sio publicNilitaka kumkumbusha tu kua hata awamu iliyopita kuna mtu aliteuliwa ukuu wa wilaya ila akakataaa uteuzi. Nachojua kuna a polite way ya kujibu kama vile kuandika kwa aliye kuteua “nashukuru kwa uteuzi ila nasikitika kua siko tayari kwa majukumu hayo kwa sababu abcd…. Ndiyo haki.
Mkuu pascal labda utuambie kama kisheria hakuna clause ya kumpa haki ya mteuliwa kukataa uteuzi, maana umejikita kwenye upande wa mteuliwa aliyekataa kuonekana kama aliye kiuka.
Hawa ni wahuni na wamezoea kufanya kazi kwa mazowea yaani ni watu wanaokwepa kufanya kazi chini ya kiapo maana kwa position walozoteuliwa ni lazime wakaape kuwatumikia wananchi kwa uaminifu naYule alitokea private sector sio public
Naona mtoa hoja kashambuliwa kweli, japo kausema ukweli! Mara nyingi ukweli huwa ni mchungu na huwa unauma kweli! Huwezi kupangiwa kazi na mamlaka ya juu ya Nchi eti unakataa kisa tu una haki ya kukubali au kukataa. Huo ni utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu. Kama hutaki kazi mpya uliyopangiwa na boss wako kufanya tafsri yake ni kwamba hata ambayo uifanyayo kwa sasa huitakiHawa ni wahuni na wamezoea kufanya kazi kwa mazowea yaani ni watu wanaokwepa kufanya kazi chini ya kiapo maana kwa position walozoteuliwa ni lazime wakaape kuwatumikia wananchi kwa uaminifu na
kuitetea Kutunza na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na kutunza siri za ofisi.
hivyo ndivyo wanavyovikwepa maana ni ngumu kwao hawakuzoea kufanya kazi ktk hayo mazingira.
ama waseme wanakwepa nini?
na kama wamechoka kuwa watumishi basi wawe wamejiuzulu hata huko wanakofanyia utumishi kwa sasa.
Perfect Vision zilikuaga taasisi nzuri sana,basi tuwengi huwa ni viherehere tu wakidhani ukiteuliwa ni rahisi kula meza kuu. Kuna mmoja mpaka shule yake ya "maono makamilifu" imepotea kabisa, kwa sababu ya udc.