Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Na Bado ewe lishangazi, utapigwa tOne tOne, sorry kwani Sasa yameshakuwa matone, Hadi ujinyee!!Libibi liuaji linaiba Kodi za watanganyika linahamishia kwao
Wakichangisha tunazifreeze!😀Interesting development!
Mtasikia amri kutoka juu hamna kibali cha kuchangisha!😂
Hahahahaaaaa!
Kwa wajanja Kwenye siasa Kila jambo ni fursa ya kupiga.
Kwa washamba (nyumbu) Kila jambo ni sehemu ya kuonyesha na kuthibitisha unyumbu 🤣🤣🤣🤣🤣
Na Bado ewe lishangazi, utapigwa tOne tOne, sorry kwani Sasa yameshakuwa matone, Hadi ujinyee!!
Zengwe walilobuni mfumo la kumzushia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndg. John Heche limemnufaisha zaidi yeye na chama chake baada ya wananchi kukataa "Kununua huo uzushi".
Badala yake sasa wameomba Heche awape utaratibu wa kutuma michango yao ili wamchangie yeye kama yeye na si chama tena!
View attachment 3627000
View attachment 3627001
View attachment 3627002
Ccm imejaa mapunga ona hili lilivyocomment hata halielewi limecomment nini.BORA TONE TONE KWA HECHE KULIKO HAO CHADEMA WASIOJIELEWA WAMESHBA HELA YA ABDULI
Mapigwa miti yalishamaliza akiliNa Bado ewe lishangazi, utapigwa tOne tOne, sorry kwani Sasa yameshakuwa matone, Hadi ujinyee!!
CCM bado tunayonafasi ya kujirekebisha na cha kwanza ni kupambana na nyie machawa ili tujibizane na akina Heche kwa hoja,We utakuwa unakula
pamoja
na Heche 👈
Na umetumwa kuchezea Akili za Nyumbu🫎🫎
Ww Pepo chafu tokaaa ☠️☠️ kwenye mifuko ya nyumbu🫎🫎
haah uruma hamna kabisa
Au ndio aibu tuone sisi🤠
Bilioni 40 za kagoda limited.Hahahahaaaaa!
Kwa wajanja Kwenye siasa Kila jambo ni fursa ya kupiga.
Kwa washamba (nyumbu) Kila jambo ni sehemu ya kuonyesha na kuthibitisha unyumbu 🤣🤣🤣🤣🤣
R.I.PBilioni 40 za kagoda limited.
R.I.P Benjamin Mkapa