Iconoclaster hivi ndivo watanzania tunapata kutoka Kenya, kejeli kama hizi. Annael akisema ukweli mnalia eti anawashushia hadhi. No Holds Barred kila mtu ana mtafuna mwenzake. If you can't stand the heat .....unafanya nini? [emoji23]Ni vizuri pia kutuonyesha mahali ambapo wadanganyika wengi wanapapitia
View attachment 438231
View attachment 438232
View attachment 438233
View attachment 438234
Sasa kwa akili tu yakawaida hyo barabara inann cha tofauti????Niongeze tu moja
hapo kwa lack of enough and proper bus stages nakubali.As a Kenyan living in Tz,I have to say thumbs up to Tz_dians coz of two things. Kuna vituo vingi vya daladala kwa mfano, Makumbusho, K/koo Gerezani, Mawasiliano etc ambavyo ni muundo msingi muhimu katika swala zima la uchukuzi. Kenya vituo kama hivyo havipo ila matatu hu_park barabarani pembeni na wakati mwingine/mara nyingi huchangia msongamano katikati ya jiji. Pili,ni ishu ya nauli. Ninachopendea Tz ni kuwa nauli ipo standardized. Ni ile ile Asubuhi, mchana,usiku alfajiri tofauti na kwetu ambapo inapanda na kushuka kutegemea na jua,mvua, asubuhi au jioni..... Hongereni Tz. Ila sasa,nadhani BRT ingekabidhiwa Wakenya sidhani kama kungekuwa na uzembe ambao mara nyingi mimi hushuhudia pale Gerezani. Yaani basi zimefika,wasafiri kibao,madereva wapo wapo tu,hamna basi kuondoka........ Sijui nisemeje. Swala lingine kuna kusimama kwenye daladala hadi kero. Daladala za Bongo sio comfy isipokuwa Coasters za kwenda Bagamoyo,Posta nk. Ma DCM ya kuvunja migongo yamejaa hadi basi. Hapo tumewazidi Tz. Kenya Bajaj sio nyingi,Dar zimejaa sana. Barabara ya BRT nzuri ila sasa management ndio ishu. Matatu za Kenya nzuri, zina makonda ambao ni wazuri kwenye customer care(sio wote) tofauti na wa Tz.Treni zinafanya kazi,usafiri kwenda estates tofauti tofauti upo. Bodaboda zipo za kumwaga, ila sijui hadi kufikia sasa wamepigwa ban kuingia city centre kama huku. Kama @Anneal utahitaji evidence /reference, sina ni mimi mwenyewe..... Nawasilisha.
Thanks,As a Kenyan living in Tz,I have to say thumbs up to Tz_dians coz of two things. Kuna vituo vingi vya daladala kwa mfano, Makumbusho, K/koo Gerezani, Mawasiliano etc ambavyo ni muundo msingi muhimu katika swala zima la uchukuzi. Kenya vituo kama hivyo havipo ila matatu hu_park barabarani pembeni na wakati mwingine/mara nyingi huchangia msongamano katikati ya jiji. Pili,ni ishu ya nauli. Ninachopendea Tz ni kuwa nauli ipo standardized. Ni ile ile Asubuhi, mchana,usiku alfajiri tofauti na kwetu ambapo inapanda na kushuka kutegemea na jua,mvua, asubuhi au jioni..... Hongereni Tz. Ila sasa,nadhani BRT ingekabidhiwa Wakenya sidhani kama kungekuwa na uzembe ambao mara nyingi mimi hushuhudia pale Gerezani. Yaani basi zimefika,wasafiri kibao,madereva wapo wapo tu,hamna basi kuondoka........ Sijui nisemeje. Swala lingine kuna kusimama kwenye daladala hadi kero. Daladala za Bongo sio comfy isipokuwa Coasters za kwenda Bagamoyo,Posta nk. Ma DCM ya kuvunja migongo yamejaa hadi basi. Hapo tumewazidi Tz. Kenya Bajaj sio nyingi,Dar zimejaa sana. Barabara ya BRT nzuri ila sasa management ndio ishu. Matatu za Kenya nzuri, zina makonda ambao ni wazuri kwenye customer care(sio wote) tofauti na wa Tz.Treni zinafanya kazi,usafiri kwenda estates tofauti tofauti upo. Bodaboda zipo za kumwaga, ila sijui hadi kufikia sasa wamepigwa ban kuingia city centre kama huku. Kama @Anneal utahitaji evidence /reference, sina ni mimi mwenyewe..... Nawasilisha.
Barabara hizo zenu bado hazijafika viwango vya jiji kuu. Nadhani bado ziko chini sana kusema ukweli. Unajua hapa tumekuwa tukihepa kutia barabara za Nairobi lakini maadamu umezitia wacha nikupe mfana wa barabara za jiji kuu
Appreciate!!Barabara hizo zenu bado hazijafika viwango vya jiji kuu. Nadhani bado ziko chini sana kusema ukweli. Unajua hapa tumekuwa tukihepa kutia barabara za Nairobi lakini maadamu umezitia wacha nikupe mfana wa barabara za jiji kuu
izo ndio zilizopo kwa Dar kwa sasa....
later on tutakua na flyover zikikamilika mtaziona wadau
Kweli nadhani huu mji waweza vutia iwapo miti itapandwa, sehemu nyingi za mombasa zina miti hasa palm na huvutia sana. Green spaces go alone way making a place acceptable.To be sincere Dar needs to plant lots of trees within the city limits
Mkuu hizo commuter zilimfanya MK254 kupitikiza vituo hadi kujikuta anashuka kivukoni.This is America
Mkuu that's why nikasema ni America hyo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hizo commuter zilimfanya MK254 kupitikiza vituo hadi kujikuta anashuka kivukoni.
Hata siku moja huwa hazipondei, japo hajawahi kusifia maana always nyang'au is snitch.
mapoyoyo wa kariobangi wasiozijua ndio wanaziponda humu .
This is America