Hongera mkuu mie nilipita pia pale, chama LA uhakikaHahhaaa.
Nilikuwa naisaka tiketi ya kwenda MUHAS, Mungu ni mwema niliipata
Kkkkkkkkkk pond boys or pond fish!Ninajua kunawadau wengi sana ambao katika maisha yao watakuwa wamepitia pale Pugu Secondary School kama wanafunzi, wafanyakazi, wakazi etc. Wadau hawa sasahivi wametawanyika sehemu mbalimbali ya nchi yetu na duniani kote.
Mimi binafsi ni mojawapo ya watu waliopitia pale kama dent wa high school...(form 5 to 6), ningependa tujikumbushe mambo mbalimbali kuhusu shule ile ambayo ina historia ndefu sana kwa Taifa letu. Ni shule ambayo viongozi wetu mbalimbali walishapitia pale kama wanafunzi au walimu kama vile Mwal. Nyerere, Mkapa (kama sikosei) na wengine wengi tu.
Kwa kuanza kabisa mimi nakumbuka wakati tukisoma pale, maji yalikuwa upatikanaji wake wa shida sana, kulikuwa na wadudu wa malaria na tryphoid sana, kulikuwa na Fungus acha kabisa....yaani tulikuwa tunakamatwa na fungus kiasi cha kushindwa kutembea au kutembea as if one has STDs.....jamaa mtaani mpaka wakawa wanatuita FUNGUS BOYS Mabafu halikuwa haba sana na machafu...so option ilikuwa kwenda kuogea kule mtoni tulikuwa tunakuita POND....hence tukawa tunaitwa POND BOYS.....!
Anything you remember here?
Hongera pia kuwa miongoni mwa Pond boys.Hongera mkuu mie nilipita pia pale, chama LA uhakika
Akimaliza primary njano njano na akiwa bright nampeleka pale akapige Div 1 kaliHongera pia kuwa miongoni mwa Pond boys.
Historia hii iliyotukuka tutawahadithia akia juniors wetu maana wao najua watatekwa na magari ya njano
Kama atakuwa jasiri akiwa pale atatoboa, hata hivyo siku hizi pepa zimekuwa mdebwedo sana, watu wanafaulu kiurahisi sanaAkimaliza primary njano njano na akiwa bright nampeleka pale akapige Div 1 kali
Kwenye hili bado nimesimama na mwendazakeHivi nyie wana-Pugu...
Mmewahamasisha wakadungwe J&J hao wana-Pugu wenzenu walio-comment page ya kwanza
Okay, Pond Boy.Kama atakuwa jasiri akiwa pale atatoboa, hata hivyo siku hizi pepa zimekuwa mdebwedo sana, watu wanafaulu kiurahisi sana
2017 inawezekana ukawa bado kijana, lakini hizo sumu usimjaze mzee wako... waambie wakachanje!!!Kwenye hili bado nimesimama na mwendazake
Waw! Mkuu; Enzi zetu 1977/78 kutokana na upungufu wa chakula tuliiba sana nazi na mbata za Bruda na mihogo ya shule bila kusahau nanasi usawa wa kuelekea Ponds. Siku za Jumamosi na Jumapili tunadrop zetu Gong's (Gongo la mboto) wakati Wakristo/Wakatoliki wanasali hapo/palepale kwenye kanisa la Shuleni. Aidha nakumbuka sana ilivyokuwa shida kumwonesha sister(wa ki-katoliki) jinsi fungus walivyotafuna-tafuna maeneo ya Ikulu ili akusaidie kupaka Tincture of Iodine Hahahaaaa... Wacha kabisa aisee, ilikuwa unamkubali tu kwa sababu hakuna jinsi. Hiyo zahanati ndo ilikuwa Hospitali Teule kwa wanafunzi. Mkuu wa Shule (H/M) alikuwa Mosha.Ninajua kunawadau wengi sana ambao katika maisha yao watakuwa wamepitia pale Pugu Secondary School kama wanafunzi, wafanyakazi, wakazi etc. Wadau hawa sasahivi wametawanyika sehemu mbalimbali ya nchi yetu na duniani kote.
Mimi binafsi ni mojawapo ya watu waliopitia pale kama dent wa high school...(form 5 to 6), ningependa tujikumbushe mambo mbalimbali kuhusu shule ile ambayo ina historia ndefu sana kwa Taifa letu. Ni shule ambayo viongozi wetu mbalimbali walishapitia pale kama wanafunzi au walimu kama vile Mwal. Nyerere, Mkapa (kama sikosei) na wengine wengi tu.
Kwa kuanza kabisa mimi nakumbuka wakati tukisoma pale, maji yalikuwa upatikanaji wake wa shida sana, kulikuwa na wadudu wa malaria na tryphoid sana, kulikuwa na Fungus acha kabisa....yaani tulikuwa tunakamatwa na fungus kiasi cha kushindwa kutembea au kutembea as if one has STDs.....jamaa mtaani mpaka wakawa wanatuita FUNGUS BOYS Mabafu halikuwa haba sana na machafu...so option ilikuwa kwenda kuogea kule mtoni tulikuwa tunakuita POND....hence tukawa tunaitwa POND BOYS.....!
Anything you remember here?
Neno ku drop kumbe la muda mrefu sana...Waw! Mkuu; Enzi zetu 1977/78 kutokana na upungufu wa chakula tuliiba sana nazi na mbata za Bruda na mihogo ya shule bila kusahau nanasi usawa wa kuelekea Ponds. Siku za Jumamosi na Jumapili tunadrop zetu Gong's (Gongo la mboto) wakati Wakristo/Wakatoliki wanasali hapo/palepale kwenye kanisa la Shuleni. Aidha nakumbuka sana ilivyokuwa shida kumwonesha sister(wa ki-katoliki) jinsi fungus walivyotafuna-tafuna maeneo ya Ikulu ili akusaidie kupaka Tincture of Iodine Hahahaaaa... Wacha kabisa aisee, ilikuwa unamkubali tu kwa sababu hakuna jinsi. Hiyo zahanati ndo ilikuwa Hospitali Teule kwa wanafunzi. Mkuu wa Shule (H/M) alikuwa Mosha.
Nakumbuka siku tuliyotoroka Shule kwenda kuangalia maonyesho ya JWTZ waliorudi kutoka Uganda kumnyuka Nduli Iddi Amin Dadaa pale Uwanja wa Chang'ombe na siku hiyo mbele ya Mchongameno, ndege mojawapo ya kivita katika gwaride hilo ikapata ajali. Mungu azilaze mahali pema roho za marubani waliopoteza maisha yao hapo wapumzike kwa Amani. - Walikuwa ni miongoni mwa Mashujaa wetu.🤣🤣🙌
Very fascinating.
Aisee we ni mhenga mkuu, ila pugu imetulea niliipenda saana , kwenda pond kufua , kudrop goms...Waw! Mkuu; Enzi zetu 1977/78 kutokana na upungufu wa chakula tuliiba sana nazi na mbata za Bruda na mihogo ya shule bila kusahau nanasi usawa wa kuelekea Ponds. Siku za Jumamosi na Jumapili tunadrop zetu Gong's (Gongo la mboto) wakati Wakristo/Wakatoliki wanasali hapo/palepale kwenye kanisa la Shuleni. Aidha nakumbuka sana ilivyokuwa shida kumwonesha sister(wa ki-katoliki) jinsi fungus walivyotafuna-tafuna maeneo ya Ikulu ili akusaidie kupaka Tincture of Iodine Hahahaaaa... Wacha kabisa aisee, ilikuwa unamkubali tu kwa sababu hakuna jinsi. Hiyo zahanati ndo ilikuwa Hospitali Teule kwa wanafunzi. Mkuu wa Shule (H/M) alikuwa Mosha.
Nakumbuka siku tuliyotoroka Shule kwenda kuangalia maonyesho ya JWTZ waliorudi kutoka Uganda kumnyuka Nduli Iddi Amin Dadaa pale Uwanja wa Chang'ombe na siku hiyo mbele ya Mchongameno, ndege mojawapo ya kivita katika gwaride hilo ikapata ajali. Mungu azilaze mahali pema roho za marubani waliopoteza maisha yao hapo wapumzike kwa Amani. - Walikuwa ni miongoni mwa Mashujaa wetu.[emoji1787][emoji1787][emoji119]
Very fascinating.
Hapo kwenye kibao kuna marafiki zangu waliwahi pata adhabu ya kuchimba kifusi na mwalimu Mabagala .View attachment 515698View attachment 515699
Napakumbuka sana mahala hapa. Japo palikuwa na changamoto za maji, walimu na purukushani za hapa na pale kama migomo na maandamano hadi Wizara ya elimu enzi za Mungai (PCB class 2001-2003) lakini all in all kwa kusoma pako poa sana
Mkandawile: huyu mtu yuko wapi sasa hivi?Duh long time! Mabagala anakufukuza halafu anakupita then anakwambia mtoto mtoto geuza mwenyewe urudi shule. Alikuwa noma sana na kitambi chake cha kiaina!
Wale wa PCM na PCB wa miaka ya 1990 - 2000 mnamkumbuka Mkandawile?
Niliwahi kufika Pugu mara ya mwisho Julai 2013. Nilikuta walimu wawili tu niliowafahamu; Mabagala na Mama Mugyabuso, ambaye yeye wakati tunasoma, alikuwa kisichana kidogo kilnafundisha O-level, na umri wake haukuwa unatofautina sana na wa wanafunziAchana na mabagara asee, Nzoi, Angelo, Rwezaula,Nampanda..., pugu ilikuwa raha saana asee
Huyu alikuwa anawaambia wanafunzi wake wa EGM, alikuwa anawafundisha "MAJOGRAFU", Fom V "A" na Fom VI "A".Not Mungu Mwl Msungu bingwa wa kiswahili na Geography RIP.
Siyo goms, ni Gongs, yaani GongolambotoAisee we ni mhenga mkuu, ila pugu imetulea niliipenda saana , kwenda pond kufua , kudrop goms...
Sie tumezoe Goms, asee ila mkuu wewe ni Mhenga.Siyo goms, ni Gongs, yaani Gongolamboto
Mh. Waziri Kolimba aliyekuwa kwenye awamu ya tano ya Rais Magufuli, ndiyo alikuwa mwalimu wetu kipindi hicho akiwa kisichana kidogo; tulikuwa tunacheza nacho "Volley Ball" pale nyuma ya Bweni la Azimio, karibu na Bwalo la Chakula (Majilisi)Sie tumezoe Goms, asee ila mkuu wewe ni Mhenga.
Ahahahah safi sana brotherMh. Waziri Kolimba aliyekuwa kwenye awamu ya tano ya Rais Magufuli, ndiyo alikuwa mwalimu wetu kipindi hicho akiwa kisichana kidogo; tulikuwa tunacheza nacho "Volley Ball" pale nyuma ya Bweni la Azimio, karibu na Bwalo la Chakula (Majilisi)