Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
- Thread starter
- #161
kumbe wazee wakudrop tupo wengi aiseee! MABUGS alikuwa nomaaa!hahahaha!! mabagala alikuwa mwalimu pale pugu, alitukosesha raha sana kule kwenye bweni la MAPINDUZI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe wazee wakudrop tupo wengi aiseee! MABUGS alikuwa nomaaa!hahahaha!! mabagala alikuwa mwalimu pale pugu, alitukosesha raha sana kule kwenye bweni la MAPINDUZI
Nataka kuhamia pugu boys from 5-PCB,je wanaruhusu kuhamia?,na km ndio utaratibu wake ukojeI am another Pond boy!! 1995-1997, PCB Form six G
Kongozi wewe tumesoma wote pcm 2000-2002, nakumbuka ukienda beto(chooni) unavua nguo zote la sivyo utanuka. Namkumbuka mwl Nzoi physics, mwl Rwezaura maths kwa sasa ni marehemu na mkanda boy na mwl Angelo vichwa vya chemia.kiongozi mie nilikuwepo pale 2000 - 2002, PCM
Mabagala ni noma akiwa zamu mnafukuzana kinoma nakumbuka wali wa mama P .nimefurahi sana kusikia baghdad!!!!! niliacha kiatu pale masela waliomba hela ya ndumu na mimi nikawa hata 100 ya kupanda gari za chanika sina, pia kwa wale waliokuwepo till 2000 wanakumbuka jamaa mmoja alikua anaitwa Mabagala? anakukimbiza hata ukiwa uchi.
Na mwl Rwezaura pia ameshafarikiWakuu nasikia yule aliyekuwa Headmaster pale (kati ya 96 to 2000) Bw. Myenge, na aliye wahi kuwa second master Mr. Mzava kipindi hicho hicho, walishafariki?
Umemsaau mwl Rwamwasi.Unawakumbuka walimu wafuatao?Mabagara,Wajimira,Nzoi,Msungu(marehemu),Secondmaster Swai(marehemu),Headmaster Mtera,Mama Mukuru,Mzee Mukuru,Makono(marehemu),Teti,Mkwiche,Grace Chuma,Mamiro,Mama Mtera,Mbulanya,Godfrey Wasiwasi,Kaunda(mwalimu wa michezo 1984-1988),Mzava,Chamuriro,Mugyabuso(marehemu),Bakari Mbonde(Ex-Rufiji Mp)n.k Orodha yao ni wengi sana,waliotangulia mbele ya haki Mungu awaweke mahari panapostaili, aaaammmmmmiiiiiiiiiinnnn.
Bonge la wazo mkuu ingekuwa poa na ya kupendeza sanaMImi nilimuacha mkandawire dada pale miaka ya mwanzo ya tisini, alikuwa anajitahidi aisee!!
I wish tungekuwa na alumni ya Pugu kwenye yahoo groups na vilevile tungefanya bash moja la karne hasa katika kipindi cha kumuenzi nyerere
Hivi yule ticha nyoka yuko wapi?
Ya alikuwepo mwl mkandawile mwana mama miaka ya 80.Mkandawire ni DADA? Mi namkumbuka yule Mkandawire majasiriamali......mzee wa machemistry......, alikuwa maarufu sana miaka ya 97 hadi 2003 hivi......?
ahh, Mwl Rwamwasi alikuwa genius ktk ufundishaji physics A level, anawaandikia notes ubaoni bila kitabu, anachofundisha ndiyo anachoandika, na utakuta notes zenu madarasa yote zinafananaUmemsaau mwl Rwamwasi.
Swai, Chalwe, Mama Mtera & Mumewe, Mnzava, Rwezaura, Msungu hao wote wameshafarikiHahahaaaa, DOCEBIT VOS OMNIA, mimi nilipita hapo miaka ya 1993/95 PCB kwenye kimustini, nilikuwa katibu wa shule 1994/95, nakumbuka mengi wakti ule, kuna walimu kama Msungu, Mziray, Chalwe, Swai, Mabagala, Juma wasiwasi, Mwinshehe, Mkandawile, Mama Mtera, Nzoi, Cobra nk, wengine ni marehemu hapo, wakatui ule ukidrop tuition town lazima ukutane na Mwl Cobra akutimue mbio, ukichelewa kuamka unakutana na Mwl Mabagala kashavuta bangi anakuamsha kwa bakora, huku kuna Msungu na kisauti chake cha 'MIMI NAKULA MAYAI NA KUKU WAKE', Nakumbuka mzee wa shamba na mihogo yake na wale wanawake waliokuwa wanakuja kuuza mboga za majani pale huku wanafunzi wakiwa wanawasindikiza usiku ili wawape kitu, pia nakumbuka Beto zile zilizoko karibu na mashamba ya minazi, kuna ambazo ni ventilated yaani hazina milango na zile zilizo na milango, ukienda beto lazima ubadili nguo maana unatoka na harufu ya kufa mtu. Fungus usiseme, nilishapta mkanda wa fungus kwa kufaa chupi ambayo iliingia unyevu kidogo, na fungus wa kule lazima upake B tex ndio upone, kule jikoni kulikuwa kuna bango limeandikwa "struggle for the fitest" yaani km hujagombea chakula huli siku hio.
Kwangu pugu sec miaka ile ilikuwa ni zaidi ya JKT ndioo maana wanafunzi wa jangwani walikuwa wanatuita Pugu Dume. Tuishawapiga Azania wakati wa mechi mpaka wakasahau gari wakashuka mwisho wa lami kwa marathon.