Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

hahahaha!! mabagala alikuwa mwalimu pale pugu, alitukosesha raha sana kule kwenye bweni la MAPINDUZI
kumbe wazee wakudrop tupo wengi aiseee! MABUGS alikuwa nomaaa!
 
R.I.P ; -Mwl. Mzava
-Mwl. Salum
_Mama pendo, na n.k

Wale kina mama na yule dada "white" waliokua wanauza chai pale, sinto wasahau, tuliwa click sana wale aisee! nasikia kuna wadau walikuwa wana-click mama pendo.

"DOCEBIT VOS OMNIA"
 
''enhee tena kamwambie dada yako mie ndo nampanda''
Sio maneno yangu wadau,ni ticha wa michezo huyo nampanda..
 
daaaah mazee pugu boys ya 2005-2007 moja hiyo,mama p kkeshavuta/katangulia mbele za haki
 
Hahahaaaa, DOCEBIT VOS OMNIA, mimi nilipita hapo miaka ya 1993/95 PCB kwenye kimustini, nilikuwa katibu wa shule 1994/95, nakumbuka mengi wakti ule, kuna walimu kama Msungu, Mziray, Chalwe, Swai, Mabagala, Juma wasiwasi, Mwinshehe, Mkandawile, Mama Mtera, Nzoi, Cobra nk, wengine ni marehemu hapo, wakatui ule ukidrop tuition town lazima ukutane na Mwl Cobra akutimue mbio, ukichelewa kuamka unakutana na Mwl Mabagala kashavuta bangi anakuamsha kwa bakora, huku kuna Msungu na kisauti chake cha 'MIMI NAKULA MAYAI NA KUKU WAKE', Nakumbuka mzee wa shamba na mihogo yake na wale wanawake waliokuwa wanakuja kuuza mboga za majani pale huku wanafunzi wakiwa wanawasindikiza usiku ili wawape kitu, pia nakumbuka Beto zile zilizoko karibu na mashamba ya minazi, kuna ambazo ni ventilated yaani hazina milango na zile zilizo na milango, ukienda beto lazima ubadili nguo maana unatoka na harufu ya kufa mtu. Fungus usiseme, nilishapta mkanda wa fungus kwa kufaa chupi ambayo iliingia unyevu kidogo, na fungus wa kule lazima upake B tex ndio upone, kule jikoni kulikuwa kuna bango limeandikwa "struggle for the fitest" yaani km hujagombea chakula huli siku hio.

Kwangu pugu sec miaka ile ilikuwa ni zaidi ya JKT ndioo maana wanafunzi wa jangwani walikuwa wanatuita Pugu Dume. Tuishawapiga Azania wakati wa mechi mpaka wakasahau gari wakashuka mwisho wa lami kwa marathon.
 
kiongozi mie nilikuwepo pale 2000 - 2002, PCM
Kongozi wewe tumesoma wote pcm 2000-2002, nakumbuka ukienda beto(chooni) unavua nguo zote la sivyo utanuka. Namkumbuka mwl Nzoi physics, mwl Rwezaura maths kwa sasa ni marehemu na mkanda boy na mwl Angelo vichwa vya chemia.
 
nimefurahi sana kusikia baghdad!!!!! niliacha kiatu pale masela waliomba hela ya ndumu na mimi nikawa hata 100 ya kupanda gari za chanika sina, pia kwa wale waliokuwepo till 2000 wanakumbuka jamaa mmoja alikua anaitwa Mabagala? anakukimbiza hata ukiwa uchi.
Mabagala ni noma akiwa zamu mnafukuzana kinoma nakumbuka wali wa mama P .
 
Aisee! Kumbe Nzoi wa kitambo sana eenh? Nimeshangaa kumuona mdau aliyesoma PUGU early 1980's akitaja jina lake wakati na mimi wa early 21st century alinifundisha fizikia form 5 & 6.

LONG LIVE DOCEBIT VOS OMNIA
 
Unawakumbuka walimu wafuatao?Mabagara,Wajimira,Nzoi,Msungu(marehemu),Secondmaster Swai(marehemu),Headmaster Mtera,Mama Mukuru,Mzee Mukuru,Makono(marehemu),Teti,Mkwiche,Grace Chuma,Mamiro,Mama Mtera,Mbulanya,Godfrey Wasiwasi,Kaunda(mwalimu wa michezo 1984-1988),Mzava,Chamuriro,Mugyabuso(marehemu),Bakari Mbonde(Ex-Rufiji Mp)n.k Orodha yao ni wengi sana,waliotangulia mbele ya haki Mungu awaweke mahari panapostaili, aaaammmmmmiiiiiiiiiinnnn.
Umemsaau mwl Rwamwasi.
 
MImi nilimuacha mkandawire dada pale miaka ya mwanzo ya tisini, alikuwa anajitahidi aisee!!

I wish tungekuwa na alumni ya Pugu kwenye yahoo groups na vilevile tungefanya bash moja la karne hasa katika kipindi cha kumuenzi nyerere

Hivi yule ticha nyoka yuko wapi?
Bonge la wazo mkuu ingekuwa poa na ya kupendeza sana
 
Mkandawire ni DADA? Mi namkumbuka yule Mkandawire majasiriamali......mzee wa machemistry......, alikuwa maarufu sana miaka ya 97 hadi 2003 hivi......?
Ya alikuwepo mwl mkandawile mwana mama miaka ya 80.
 
Namkumbuka nzoi katika physics, mtaalamu wa kemia Angelo...,PCM hiyo ..
 
Mabagala siku moja kamkurupua MWANAFUNZI alikuwa chimbo kamkimbiza mpaka pugu kajugeni, afu mwanafunzi akawa amechoka akamkamata. Akawaambia haya mtotoo shika hii nauli panda basi nitakukuta shule mm ninakuja huku nina troti...
 
Hahahaaaa, DOCEBIT VOS OMNIA, mimi nilipita hapo miaka ya 1993/95 PCB kwenye kimustini, nilikuwa katibu wa shule 1994/95, nakumbuka mengi wakti ule, kuna walimu kama Msungu, Mziray, Chalwe, Swai, Mabagala, Juma wasiwasi, Mwinshehe, Mkandawile, Mama Mtera, Nzoi, Cobra nk, wengine ni marehemu hapo, wakatui ule ukidrop tuition town lazima ukutane na Mwl Cobra akutimue mbio, ukichelewa kuamka unakutana na Mwl Mabagala kashavuta bangi anakuamsha kwa bakora, huku kuna Msungu na kisauti chake cha 'MIMI NAKULA MAYAI NA KUKU WAKE', Nakumbuka mzee wa shamba na mihogo yake na wale wanawake waliokuwa wanakuja kuuza mboga za majani pale huku wanafunzi wakiwa wanawasindikiza usiku ili wawape kitu, pia nakumbuka Beto zile zilizoko karibu na mashamba ya minazi, kuna ambazo ni ventilated yaani hazina milango na zile zilizo na milango, ukienda beto lazima ubadili nguo maana unatoka na harufu ya kufa mtu. Fungus usiseme, nilishapta mkanda wa fungus kwa kufaa chupi ambayo iliingia unyevu kidogo, na fungus wa kule lazima upake B tex ndio upone, kule jikoni kulikuwa kuna bango limeandikwa "struggle for the fitest" yaani km hujagombea chakula huli siku hio.

Kwangu pugu sec miaka ile ilikuwa ni zaidi ya JKT ndioo maana wanafunzi wa jangwani walikuwa wanatuita Pugu Dume. Tuishawapiga Azania wakati wa mechi mpaka wakasahau gari wakashuka mwisho wa lami kwa marathon.
Swai, Chalwe, Mama Mtera & Mumewe, Mnzava, Rwezaura, Msungu hao wote wameshafariki
 
Back
Top Bottom