Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

Ninajua kunawadau wengi sana ambao katika maisha yao watakuwa wamepitia pale Pugu Secondary School kama wanafunzi, wafanyakazi, wakazi etc. Wadau hawa sasahivi wametawanyika sehemu mbalimbali ya nchi yetu na duniani kote.

Mimi binafsi ni mojawapo ya watu waliopitia pale kama dent wa high school...(form 5 to 6), ningependa tujikumbushe mambo mbalimbali kuhusu shule ile ambayo ina historia ndefu sana kwa Taifa letu. Ni shule ambayo viongozi wetu mbalimbali walishapitia pale kama wanafunzi au walimu kama vile Mwal. Nyerere, Mkapa (kama sikosei) na wengine wengi tu.

Kwa kuanza kabisa mimi nakumbuka wakati tukisoma pale, maji yalikuwa upatikanaji wake wa shida sana, kulikuwa na wadudu wa malaria na tryphoid sana, kulikuwa na Fungus acha kabisa....yaani tulikuwa tunakamatwa na fungus kiasi cha kushindwa kutembea au kutembea as if one has STDs.....jamaa mtaani mpaka wakawa wanatuita FUNGUS BOYS Mabafu halikuwa haba sana na machafu...so option ilikuwa kwenda kuogea kule mtoni tulikuwa tunakuita POND....hence tukawa tunaitwa POND BOYS.....!

Anything you remember here?
Kkkkkkkkkk pond boys or pond fish!
 
Hongera mkuu mie nilipita pia pale, chama LA uhakika
Hongera pia kuwa miongoni mwa Pond boys.
Historia hii iliyotukuka tutawahadithia akia juniors wetu maana wao najua watatekwa na magari ya njano
 
Akimaliza primary njano njano na akiwa bright nampeleka pale akapige Div 1 kali
 
Kama atakuwa jasiri akiwa pale atatoboa, hata hivyo siku hizi pepa zimekuwa mdebwedo sana, watu wanafaulu kiurahisi sana
 
Hivi nyie wana-Pugu...

Mmewahamasisha wakadungwe J&J hao wana-Pugu wenzenu walio-comment page ya kwanza
 
Kwenye hili bado nimesimama na mwendazake
2017 inawezekana ukawa bado kijana, lakini hizo sumu usimjaze mzee wako... waambie wakachanje!!!

Anyway, tusije tukavuruga uzi...
 
Ninajua kunawadau wengi sana ambao katika maisha yao watakuwa wamepitia pale Pugu Secondary School kama wanafunzi, wafanyakazi, wakazi etc. Wadau hawa sasahivi wametawanyika sehemu mbalimbali ya nchi yetu na duniani kote.

Mimi binafsi ni mojawapo ya watu waliopitia pale kama dent wa high school...(form 5 to 6), ningependa tujikumbushe mambo mbalimbali kuhusu shule ile ambayo ina historia ndefu sana kwa Taifa letu. Ni shule ambayo viongozi wetu mbalimbali walishapitia pale kama wanafunzi au walimu kama vile Mwal. Nyerere, Mkapa (kama sikosei) na wengine wengi tu.

Kwa kuanza kabisa mimi nakumbuka wakati tukisoma pale, maji yalikuwa upatikanaji wake wa shida sana, kulikuwa na wadudu wa malaria na tryphoid sana, kulikuwa na Fungus acha kabisa....yaani tulikuwa tunakamatwa na fungus kiasi cha kushindwa kutembea au kutembea as if one has STDs.....jamaa mtaani mpaka wakawa wanatuita FUNGUS BOYS Mabafu halikuwa haba sana na machafu...so option ilikuwa kwenda kuogea kule mtoni tulikuwa tunakuita POND....hence tukawa tunaitwa POND BOYS.....!

Anything you remember here?
Waw! Mkuu; Enzi zetu 1977/78 kutokana na upungufu wa chakula tuliiba sana nazi na mbata za Bruda na mihogo ya shule bila kusahau nanasi usawa wa kuelekea Ponds. Siku za Jumamosi na Jumapili tunadrop zetu Gong's (Gongo la mboto) wakati Wakristo/Wakatoliki wanasali hapo/palepale kwenye kanisa la Shuleni. Aidha nakumbuka sana ilivyokuwa shida kumwonesha sister(wa ki-katoliki) jinsi fungus walivyotafuna-tafuna maeneo ya Ikulu ili akusaidie kupaka Tincture of Iodine Hahahaaaa... Wacha kabisa aisee, ilikuwa unamkubali tu kwa sababu hakuna jinsi. Hiyo zahanati ndo ilikuwa Hospitali Teule kwa wanafunzi. Mkuu wa Shule (H/M) alikuwa Mosha.
Nakumbuka siku tuliyotoroka Shule kwenda kuangalia maonyesho ya JWTZ waliorudi kutoka Uganda kumnyuka Nduli Iddi Amin Dadaa pale Uwanja wa Chang'ombe na siku hiyo mbele ya Mchongameno, ndege mojawapo ya kivita katika gwaride hilo ikapata ajali. Mungu azilaze mahali pema roho za marubani waliopoteza maisha yao hapo wapumzike kwa Amani. - Walikuwa ni miongoni mwa Mashujaa wetu.🤣🤣🙌
Very fascinating.
 
Neno ku drop kumbe la muda mrefu sana...
 
Nakumbuka siku tuliyotoroka Shule kwenda kuangalia maonyesho ya JWTZ waliorudi kutoka Uganda kumnyuka Nduli Iddi Amin Dadaa pale Uwanja wa Chang'ombe na siku hiyo mbele ya Mchongameno, ndege mojawapo ya kivita katika gwaride hilo ikapata ajali. Mungu azilaze mahali pema roho za marubani waliopoteza maisha yao hapo wapumzike kwa Amani. - Walikuwa ni miongoni mwa Mashujaa wetu.[emoji1787][emoji1787][emoji119]
Very fascinating.
Aisee we ni mhenga mkuu, ila pugu imetulea niliipenda saana , kwenda pond kufua , kudrop goms...
 
View attachment 515698View attachment 515699
Napakumbuka sana mahala hapa. Japo palikuwa na changamoto za maji, walimu na purukushani za hapa na pale kama migomo na maandamano hadi Wizara ya elimu enzi za Mungai (PCB class 2001-2003) lakini all in all kwa kusoma pako poa sana
Hapo kwenye kibao kuna marafiki zangu waliwahi pata adhabu ya kuchimba kifusi na mwalimu Mabagala .
 
Duh long time! Mabagala anakufukuza halafu anakupita then anakwambia mtoto mtoto geuza mwenyewe urudi shule. Alikuwa noma sana na kitambi chake cha kiaina!
Wale wa PCM na PCB wa miaka ya 1990 - 2000 mnamkumbuka Mkandawile?
Mkandawile: huyu mtu yuko wapi sasa hivi?
Aliwahi kupata hela nyingi hadi akanunua daladla ambazo baadhi ya siku alikuwa yeye mwenyewe anafanya kazi kama kondakta, anakusanya hela akiwa amevaa suti na tai. Suti pia ndiyo lilikuwa vazi lake rasmi muda wote wa miaka minne alipokuwa anasoma UDSM, alikuwa anavaa suti kila siku hakuwahi kuvaa mavazi tofauti na suti
Huyu mimi nilimkuta akiwa Form Six mwaka 1990, na alikuwa nakaa Bweni la Azimio au Maendeleo, kama sikosei. Ni mtu mtaratbu mpole na mwenye hekima sana.
Kipindi alipokuwa yupo Pugu, yeye ndiyo alikuwa ni mwalimu msaidizi kwa wanafunzi wenzake wote wa FVII waliokuwa wanasoma somo la Chemistry (PCB na PCM). Yeye ndiye alikuwa anawafundisha pia wanafunzi wenzake wa FVI somo la Chemistry, ukiondoa mwalimu wa somo hilo
Kuna kipindi niliwahi kusikia alianzisha hadi shule huko maeneno ya Chanika. Huyu mtu yuko wapi siku hizi?
 
Achana na mabagara asee, Nzoi, Angelo, Rwezaula,Nampanda..., pugu ilikuwa raha saana asee
Niliwahi kufika Pugu mara ya mwisho Julai 2013. Nilikuta walimu wawili tu niliowafahamu; Mabagala na Mama Mugyabuso, ambaye yeye wakati tunasoma, alikuwa kisichana kidogo kilnafundisha O-level, na umri wake haukuwa unatofautina sana na wa wanafunzi
 
Not Mungu Mwl Msungu bingwa wa kiswahili na Geography RIP.
Huyu alikuwa anawaambia wanafunzi wake wa EGM, alikuwa anawafundisha "MAJOGRAFU", Fom V "A" na Fom VI "A".
Alikuwa anawambia "we mswahili we mswahili wewe, nakutoa hapa Five A nakupeleka Six A. Nikikutoa Six A nakupeleka moja kwa moja Mlimani" halafu anamalizia kwa kusema Eeh!
Darasa la mwaka 1990-1992 kuna vijana wa EGM aliokuwa anawafundsiha; basi ilikuwa kila wakikutanana wanaanza kumwigiza sauti yake na namna ambavyo alikuwa anaongea, wakikutana wanaanza kuongea kwa kuigiza sauti nilikuwa nacheka hadi nataka kuzimia. Walikuwa wanmptia sana, matendo na sauti
 
Sie tumezoe Goms, asee ila mkuu wewe ni Mhenga.
Mh. Waziri Kolimba aliyekuwa kwenye awamu ya tano ya Rais Magufuli, ndiyo alikuwa mwalimu wetu kipindi hicho akiwa kisichana kidogo; tulikuwa tunacheza nacho "Volley Ball" pale nyuma ya Bweni la Azimio, karibu na Bwalo la Chakula (Majilisi)
 
Ahahahah safi sana brother
 
Back
Top Bottom