Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

Pugu Sec,

Hata aliyepata Zero tulisema hajaondoka hivihivi, i.e amejifunza Maisha...

Nilikuwa pale 7/94 to 6/96

Kaaaaazi kwelikweli
 
Unawakumbuka walimu wafuatao?Mabagara,Wajimira,Nzoi,Msungu(marehemu),Secondmaster Swai(marehemu),Headmaster Mtera,Mama Mukuru,Mzee Mukuru,Makono(marehemu),Teti,Mkwiche,Grace Chuma,Mamiro,Mama Mtera,Mbulanya,Godfrey Wasiwasi,Kaunda(mwalimu wa michezo 1984-1988),Mzava,Chamuriro,Mugyabuso(marehemu),Bakari Mbonde(Ex-Rufiji Mp)n.k Orodha yao ni wengi sana,waliotangulia mbele ya haki Mungu awaweke mahari panapostaili, aaaammmmmmiiiiiiiiiinnnn.

Rwezaura mbona unamsahau na dada zetu akina Kolimba na Mkandawile?
Halafu alikuja mzungu mmoja kutoka Uingereza, ali-mreplace Stakes, yeye alikuwa anaitwa Steve, basi akawa anautesa sana moyo wangu, pikipiki lake kubwa halafu mzigo uko nyuma umemkumbatia, halafu na mimi ndiyo nilikuwa nau-mind kishenzi......, matatizo matupu ukikutana nao unaanza kutetemeka hauwezi kuongea hata neno, Steve alivyochukua ika2wa tena shida,...matatizo sana! Alikuwa anafundisha organic Chemistry PCM na alikuwa anaijua sana halafu alikua anajua neno moja tu la kiswahili "hakuna shida".
 
..............daah, nimefurahi sana kusikia PUGU boys mpo jamvini. mimi ni ex-pugu boys...form 6 leaver 2005. ni daktari Masters degree holder kwa sasa. DOCEBIT VOS OMNIA ni TEACH THEM EVERYTHING.
 
....umemaliza 2005 then tayari leo ni daktari with masters? hii timeline ni very fast au m wenzetu uliskip some classes.
 
We learnt a lot of things from that school...
Nakumbuka bweni la Mapinduzi tulishinda mbuzi kwenye ligi ya mabweni tukapikiwa na wali...

So funny, ukikumbuka old days za Pugu!
Mwalimu Mabagala alikuwa ni kituko, kwa kukimbizana na wanafunzi... Lol!

Pugu holds alot of good memories!
 
....umemaliza 2005 then tayari leo ni daktari with masters? hii timeline ni very fast au m wenzetu uliskip some classes.
Thank you Koba kwa kuliona hili. Mabagara nilikutana nae pale UD mwaka 2001 akisoma first degree ya chemistry, Juma wasiwasi nae alikuwepo! Aaaa kuna issue moja sita isahau ilitokea pale Pugu mwaka 1997 kama nakumbuka ( by the way mimi nilikuwa pale 5/1996 hadi 6/1998), head master alikuwa ameenda kwenye selection ya wanafunzi watakao join form five, so Mzava akaachiwa shule, jamaa bana akatulisha maharage sijui ya aina gani yana matobo kinoma! na kuna jamaa mmoja alikuaj pale PUGU nakumbuka mwishoni mwa 1997 tulikuwa tunamuita NYAU alikuwa ni mwalimu, aaa jamaaa alikuwa noma sana yule, nakumbuka siku moja kuna jamaa kidogo apigane nae kwenye ile chamber ya Azimio! du! long live pugu boys ( mtambo wa fungus!)
 
Umenikumbusha mabali. Yale maandamano ya kwenda kwa mama Kunambi!
 
Keadmaster Mapua kuna anayemkumbuka? miaka ya 74/75 alivyokuwa akiwatetemesha wanafunzi na walimu pia!
 
Wadau wa pond... hivi docebit walishapata maji??
 
Wapate wapi bwana!!!!!!!!
Pale kawaida kila mgeni rasmi akija kwenye "graduation" kesi ilikuwa ni hiyo hiyo.
Mnaishia kupewa ahadi nzuri nzuri kisha ....."kapuni"
Kwenye graduation yetu alikuja mheshimiwa fulani akatuambia "....aaah yule waziri wa maji! mi nimesomanaye yule kwa hiyo msiwe na shaka
mi nitaongea naye na maji yatakuja."
Baada ya hapo hatukumuona wala maji hatukuyaona.
Nilienda pale mwaka jana-wimbo ni ule ule.
Kati ya vitu ambavyo niliangalia kwa heshima zote ni "NYUMBA ALIYOKUWA AKIISHI BABA WA TAIFA" wakati anafundisha Pugu
Mi sidhani kama ile nyumba inatunzwa kwa hadhi inayostahiri.
....aaagggh.. mi sijui bana labda wenyewe wanaona poa tu.
 
WAPI HIYO MAZEE... MUZEE WA SHAMBA, CHARWE, MBARAKA, MSUNGU (rip), CHAVILA, MUGYABUSO (rip), NZOWI, MKANDAWIRE, WASIWASI, AMANDA (HEHEHEEEE), PITA SHIJA, WAZEE WA AZIMIO,

I MISS OLD GOOD DAYS, LEO NAJISKIA KUPITA PALE PUGU NIANGALIE ZILE PIT LATRINE KAMA WAMEBADILISHA, MAANA ILIKUA LAZMA UENDE NA CHUP! TU LA SIVYO NZI WANAHAMIA KWAKO

DOCEBIT VOS OMNIA
Kiongozi umenikumbusha mbali sana,hapo kwenye bold.huyo Amanda alikula hela yangu na uroda asinipe,wakati huo aikuwa anasoma Kisutu Girls!,Pugu for ever
 
Wapate wapi bwana!!!!!!!!
Pale kawaida kila mgeni rasmi akija kwenye "graduation" kesi ilikuwa ni hiyo hiyo.
Mnaishia kupewa ahadi nzuri nzuri kisha ....."kapuni"
Kwenye graduation yetu alikuja mheshimiwa fulani akatuambia "....aaah yule waziri wa maji! mi nimesomanaye yule kwa hiyo msiwe na shaka
mi nitaongea naye na maji yatakuja."
Baada ya hapo hatukumuona wala maji hatukuyaona.
Nilienda pale mwaka jana-wimbo ni ule ule.
Kati ya vitu ambavyo niliangalia kwa heshima zote ni "NYUMBA ALIYOKUWA AKIISHI BABA WA TAIFA" wakati anafundisha Pugu
Mi sidhani kama ile nyumba inatunzwa kwa hadhi inayostahiri.
....aaagggh.. mi sijui bana labda wenyewe wanaona poa tu.

Hivi si kuna mbunge kulee

sasa nikirudi lazma tumpige vita mbunge aliyepita na uzuri ki kwamba vijana above 18 pugu wako wengi sana... na wanaweza kampeni... provided hawatapigwa tu na wale magwanda wa pale mwisho wa lami
 
...seeems mko wengi humu,kwanini msijipange mkachingishana na misaada na kutumia jumuia ya pugu mkatafuta solution kuliko kupigishana elele na wanasiasa wasioelewa kitu,i cant believe kwa shule kubwa yenye historia kubwa,wasomi wengi waliopitia pugu na jumuiya kubwa inayoishi around pugu eti wameshindwa kujiletea maji ya kutosha....wanahitaji kisima kimoja tuu,tank na some pipes maana maji yapo chini yamejaa kona zote pale,ni uzembe wa hali ya juu na akli mbovu tuu kwa wanaohusika
 
POND BOYS!!!!!!!!!!!!!!!!! E bwana nimecheka mpaka basi! Wakulu nami nilikuwa pale, maisha ya Pugu yana raha na kero zake, lakini mimi naona raha zake zinazidi. Nakumbuka ndio ninasiku chache nimeripoti form 5, usiku mmoja mida kama saa 5 usiku nikasikia makelele, kobra, kobra, halafu watu wana dive vitandani faster! Nikajiuliza hivi mtu ukilala kitandani nyoka hawe kukuuma? Mara nikasikia O-leves waliopo kwenye cibic yetu wanasemezana "acha hilo liformfivu litakula mboko za kobra" e bwana chubwiii! nami kitandani. Nomaaaaaaaaaaaaaaaaaa...jamaaa alipita kwa kishindo cubic hadi cubic pla Umoja.

Nilibahatika kuwa na baba Pugu!....nilipoanza form 5 nilikuwa na toka tech school, nikapewa kiranja wa maitenance chini ya Nzoi. Nilikuwa na vifaa vyangu vya umeme, kila socket breaker iki-trip naenda na timu yangu kurekebisha. basi siku mmoja Nzoi akaniita pamoja na timu yangu akaniambia chukua vifaa twende mwishop wa lami kuna kutengeneza umeme. kufika huko vifaa badhi vikawa havijakamilika(kwenye hitima) akaniambia rudi skuli acha vifaa nitatafuta fundi mwingine huku....Nomaaaaaa mzee alivipiga bei vyote uskiu huo akapata mnazi! Kumuuliza ananiambia unataka vya nini wakati sijakupa kazi! Nami nikasema ngoja, alikuwa kaifundisha tuition zake za physics nikawa naingia bila kulipa. Ikamuuma! akaanza kulalama, "wengine humu wanaingia bila kulipa wanafikiri mimi baba yao" watu wote walikuwa wanajua ni mimi maana nilisema silipi na hanifanyi kitu. Tuition kilaini kwa exchange na tester, pliers plus few screw drivers. Mijamaa ikkaanza kuniita " mtooto wa Nzoi"
Nakumbuka siku ya final paper ya Chemistrypractical mambo hayakuwa mazuri, nikaanza kuchanganya maji na acid, moshi vuuu.... mwl Swai aksema " wewe mbona unawasha moto kwenye mtihani?!" nikamwambia ndio swali linasema hivyo...alichoooka.

Naikumbuka Pugu sana mpaka hapo juzi juzi nimeahidia na wanangu nitaenda kuwatembeza pale....vinapenda sana kusikia story za baba yao.
 
Lovely Pugu memories

Pamoja na shida zetu, tulifaidi sana tu
 
...seeems mko wengi humu,kwanini msijipange mkachingishana na misaada na kutumia jumuia ya pugu mkatafuta solution kuliko kupigishana elele na wanasiasa wasioelewa kitu,i cant believe kwa shule kubwa yenye historia kubwa,wasomi wengi waliopitia pugu na jumuiya kubwa inayoishi around pugu eti wameshindwa kujiletea maji ya kutosha....wanahitaji kisima kimoja tuu,tank na some pipes maana maji yapo chini yamejaa kona zote pale,ni uzembe wa hali ya juu na akli mbovu tuu kwa wanaohusika

mkuu, i treid kutafuta hiyo pugu alumni bila mafanikio

nani anaweza kuwa na contacts zake?

pamoja twaweza
 
Duh!!!Umenikumbusha mbali sana katika maisha ya Pugu Sekondary. Nakumbuka kipindi ninasoma pale nyama ilikuwa inaliwa siku ya alhamisi usiku ikiitwa kwa jina la KISHOKA. Wali tulikuwa tunakula siku ya jumatano usiku. Maisha ya pale yalikuwa veri interesting, wakati huo KITILA MKUMBO mchangiaji maarufu wa JF alikuwa mwenyekiti wa bweni la Azimio na sasa ni mhadhiri wa UDSM. Ni kweli mabafu yalikuwa shida na ilikuwa tunaoga ktk bustani zilizokuwa mbele ya mabweni. Mimi niklikuwa DOM MONITOR wa MAENDELEO II. Ohhhh, nilitaka kusahau ishu ya BETO. Beto ni neno maarufu sana pale Pugu enzi hizo likimaanisha CHOO. Ukitaka kuingia ******(BETO) lazima uvue shati, vinginevyo uatoka unanuka na hutaweza kukaa na wenzako. Pia nakumbuka tulikuwa tukinywa uji saa nne wakati wa break na mihogo kutoka kwa mzeemaarufu kwa jinaa la MZEE WA SHAMBA. Kwa ujumla niliinjoi maisha ya pale na sasa nakula kuku serikalini. Walimu wangu hongereni sana na ipo siku nitatembelea Pugu hasa bweni langu MAENDELEO II. PUGU BOYS MPOOOOOO, WAZEE WA DOCEBIT VOS OMNIA
 
Back
Top Bottom