Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawakumbuka walimu wafuatao?Mabagara,Wajimira,Nzoi,Msungu(marehemu),Secondmaster Swai(marehemu),Headmaster Mtera,Mama Mukuru,Mzee Mukuru,Makono(marehemu),Teti,Mkwiche,Grace Chuma,Mamiro,Mama Mtera,Mbulanya,Godfrey Wasiwasi,Kaunda(mwalimu wa michezo 1984-1988),Mzava,Chamuriro,Mugyabuso(marehemu),Bakari Mbonde(Ex-Rufiji Mp)n.k Orodha yao ni wengi sana,waliotangulia mbele ya haki Mungu awaweke mahari panapostaili, aaaammmmmmiiiiiiiiiinnnn.
..............daah, nimefurahi sana kusikia PUGU boys mpo jamvini. mimi ni ex-pugu boys...form 6 leaver 2005. ni daktari Masters degree holder kwa sasa. DOCEBIT VOS OMNIA ni TEACH THEM EVERYTHING.
Thank you Koba kwa kuliona hili. Mabagara nilikutana nae pale UD mwaka 2001 akisoma first degree ya chemistry, Juma wasiwasi nae alikuwepo! Aaaa kuna issue moja sita isahau ilitokea pale Pugu mwaka 1997 kama nakumbuka ( by the way mimi nilikuwa pale 5/1996 hadi 6/1998), head master alikuwa ameenda kwenye selection ya wanafunzi watakao join form five, so Mzava akaachiwa shule, jamaa bana akatulisha maharage sijui ya aina gani yana matobo kinoma! na kuna jamaa mmoja alikuaj pale PUGU nakumbuka mwishoni mwa 1997 tulikuwa tunamuita NYAU alikuwa ni mwalimu, aaa jamaaa alikuwa noma sana yule, nakumbuka siku moja kuna jamaa kidogo apigane nae kwenye ile chamber ya Azimio! du! long live pugu boys ( mtambo wa fungus!)....umemaliza 2005 then tayari leo ni daktari with masters? hii timeline ni very fast au m wenzetu uliskip some classes.
Wadau wa pond... hivi docebit walishapata maji??
Kiongozi umenikumbusha mbali sana,hapo kwenye bold.huyo Amanda alikula hela yangu na uroda asinipe,wakati huo aikuwa anasoma Kisutu Girls!,Pugu for everWAPI HIYO MAZEE... MUZEE WA SHAMBA, CHARWE, MBARAKA, MSUNGU (rip), CHAVILA, MUGYABUSO (rip), NZOWI, MKANDAWIRE, WASIWASI, AMANDA (HEHEHEEEE), PITA SHIJA, WAZEE WA AZIMIO,
I MISS OLD GOOD DAYS, LEO NAJISKIA KUPITA PALE PUGU NIANGALIE ZILE PIT LATRINE KAMA WAMEBADILISHA, MAANA ILIKUA LAZMA UENDE NA CHUP! TU LA SIVYO NZI WANAHAMIA KWAKO
DOCEBIT VOS OMNIA
Wapate wapi bwana!!!!!!!!
Pale kawaida kila mgeni rasmi akija kwenye "graduation" kesi ilikuwa ni hiyo hiyo.
Mnaishia kupewa ahadi nzuri nzuri kisha ....."kapuni"
Kwenye graduation yetu alikuja mheshimiwa fulani akatuambia "....aaah yule waziri wa maji! mi nimesomanaye yule kwa hiyo msiwe na shaka
mi nitaongea naye na maji yatakuja."
Baada ya hapo hatukumuona wala maji hatukuyaona.
Nilienda pale mwaka jana-wimbo ni ule ule.
Kati ya vitu ambavyo niliangalia kwa heshima zote ni "NYUMBA ALIYOKUWA AKIISHI BABA WA TAIFA" wakati anafundisha Pugu
Mi sidhani kama ile nyumba inatunzwa kwa hadhi inayostahiri.
....aaagggh.. mi sijui bana labda wenyewe wanaona poa tu.
Hivi si kuna mbunge kulee
sasa nikirudi lazma tumpige vita mbunge aliyepita na uzuri ki kwamba vijana above 18 pugu wako wengi sana... na wanaweza kampeni... provided hawatapigwa tu na wale magwanda wa pale mwisho wa lami
Lovely Pugu memoriesPOND BOYS!!!!!!!!!!!!!!!!! E bwana nimecheka mpaka basi! Wakulu nami nilikuwa pale, maisha ya Pugu yana raha na kero zake, lakini mimi naona raha zake zinazidi. Nakumbuka ndio ninasiku chache nimeripoti form 5, usiku mmoja mida kama saa 5 usiku nikasikia makelele, kobra, kobra, halafu watu wana dive vitandani faster! Nikajiuliza hivi mtu ukilala kitandani nyoka hawe kukuuma? Mara nikasikia O-leves waliopo kwenye cibic yetu wanasemezana "acha hilo liformfivu litakula mboko za kobra" e bwana chubwiii! nami kitandani. Nomaaaaaaaaaaaaaaaaaa...jamaaa alipita kwa kishindo cubic hadi cubic pla Umoja.
Nilibahatika kuwa na baba Pugu!....nilipoanza form 5 nilikuwa na toka tech school, nikapewa kiranja wa maitenance chini ya Nzoi. Nilikuwa na vifaa vyangu vya umeme, kila socket breaker iki-trip naenda na timu yangu kurekebisha. basi siku mmoja Nzoi akaniita pamoja na timu yangu akaniambia chukua vifaa twende mwishop wa lami kuna kutengeneza umeme. kufika huko vifaa badhi vikawa havijakamilika(kwenye hitima) akaniambia rudi skuli acha vifaa nitatafuta fundi mwingine huku....Nomaaaaaa mzee alivipiga bei vyote uskiu huo akapata mnazi! Kumuuliza ananiambia unataka vya nini wakati sijakupa kazi! Nami nikasema ngoja, alikuwa kaifundisha tuition zake za physics nikawa naingia bila kulipa. Ikamuuma! akaanza kulalama, "wengine humu wanaingia bila kulipa wanafikiri mimi baba yao" watu wote walikuwa wanajua ni mimi maana nilisema silipi na hanifanyi kitu. Tuition kilaini kwa exchange na tester, pliers plus few screw drivers. Mijamaa ikkaanza kuniita " mtooto wa Nzoi"
Nakumbuka siku ya final paper ya Chemistrypractical mambo hayakuwa mazuri, nikaanza kuchanganya maji na acid, moshi vuuu.... mwl Swai aksema " wewe mbona unawasha moto kwenye mtihani?!" nikamwambia ndio swali linasema hivyo...alichoooka.
Naikumbuka Pugu sana mpaka hapo juzi juzi nimeahidia na wanangu nitaenda kuwatembeza pale....vinapenda sana kusikia story za baba yao.
...seeems mko wengi humu,kwanini msijipange mkachingishana na misaada na kutumia jumuia ya pugu mkatafuta solution kuliko kupigishana elele na wanasiasa wasioelewa kitu,i cant believe kwa shule kubwa yenye historia kubwa,wasomi wengi waliopitia pugu na jumuiya kubwa inayoishi around pugu eti wameshindwa kujiletea maji ya kutosha....wanahitaji kisima kimoja tuu,tank na some pipes maana maji yapo chini yamejaa kona zote pale,ni uzembe wa hali ya juu na akli mbovu tuu kwa wanaohusika