Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

Duh long time! Mabagala anakufukuza halafu anakupita then anakwambia mtoto mtoto geuza mwenyewe urudi shule. Alikuwa noma sana na kitambi chake cha kiaina!
Wale wa PCM na PCB wa miaka ya 1990 - 2000 mnamkumbuka Mkandawile?
 
Daahh!!

Pond boys wa miaka ya karibuni wapo, mbona kimya sana. Naona mq brother tu ndio wametia neno hapa
 
HA HA HA HA HAAAAAA!!!! NEXT LEVEL.
At least we now have something in common!
Nilikuwa Pugu in 1975 High School.
It was a very challenging place.Chakula hamna, maji hamna na tarehe sitaishau ni 5/5/1975 wanafunzi wote tuliandamana kwa mguu toka Pugu hadi kwa Mkuu wa Wilaya Mama Kunambi kuprotest hali mbaya ya maisha pale shuleni.
Marehemu Mama Kunambi alituonea huruma sana na akakodi maba si ya UDA kuturudisha shuleni.
Kwa miezi kadhaa baada ya hapo chakula na na maji yalirudi kwa fujo!!
Mwalimu Mkuu aliyejulikana kama Mbise wakati huo alitushukuru kwa undertones kwa kuwezesha tatizo kujulikana na hatua kuchuliwa haraka.
Vile vile hivyo mwaka huo 1975, Mozambique ilipata uhuru wake na tulisherehekea sana na kwa fujo kubwa na kikundi cha ngoma ya sindimba ya kimakonde toka Gongo la Mboto!!!!
Shikamoo mkuu
 
Duh long time! Mabagala anakufukuza halafu anakupita then anakwambia mtoto mtoto geuza mwenyewe urudi shule. Alikuwa noma sana na kitambi chake cha kiaina!
Wale wa PCM na PCB wa miaka ya 1990 - 2000 mnamkumbuka Mkandawile?
Mm nilikuwa EGM lkn namkumbuka sana Mkandawille
 
Dah!! Umenikumbusha mbali sana. Mi nlipita pugu 1998-2000(A-LEVEL).
Naikumbuka sana mihogo ya sh 20, ilitusevu ingawa tulikuwa tunasinzia darasani.
Nakumbuka pia jinsi nlivyokuwa nkila ugali wa jana asubuhi kwa maharage ya jana kama kitafunwa cha chai iwapo sh 20 ya kunnua mihogo ilikosekana. Wenyewe tulikuwa tukiuita mchanganyiko wa ugali na maharage ya jana kwa jina la PROCESS. Sidhani kama kizazi hiki cha ubongo wa fleva kitayaweza maisha yale. Watoto wa mama walikuwa kila weekend wanadrop kwenda town kuchenji dayati, mwalimu mkandawile aliwatunga jina la DAYATI (DIET) BOYS.
Nakumbuka pia jinsi nyama ilivyokuwa adimu, ilipikwa tarehe 15 na 30 kila mwezi. Siku ya kupewa machungwa palikuwa hapatoshi, fujo mtindo mmoja. Mi nlikuwa napozi bweni la ujamaa.
Katika siku nnazozikumbuka ni hii: siku moja ulipikwa ugali kwa unga uliooza mchana. Kumbe unga ule tulikuwa tukiula usiku ndo maana hatukujua kuwa umeoza, sa that day walikosea wakapika mchana, palikuwa hapatoshi, ikabidi tule wali mchana kitu ambacho ni nadra sana kula wali mchana.
Nakumbuka tulipokuwa form 5, dent mwenzetu alianguka uwanjani na kufa papo hapo wakti wakicheza mpira.
Nakumbuka siku ya kufanya mtihani wa mwisho ilikuwa ni siku ya kumaliza physics paper 2, ndio siku alokufa mwalimu msungu, mtaalam wa network ya mabomba pugu. Masikini wanafunzi wengi hawakumzika msungu kwani walikuwa wameshaondoka, msungu alifariki mida ya saa 9 mchana.
Mwalimu wasiwasi nlisikia alikuwa ud kuongeza elimu, baadae nkawa namuona luningani katika maigizo na matangazo ya biashara.
Namkumbuka ticha wa bios, mama mbulanya na ticha wa physics practical, ticha nzoi.
Aiseee!!!! Nmekumbuka mbali. Wale ma-pcb boys mnawakumbuka mkandawile, kambwili na mzezele??????? Hao ni walimu binafsi, walitupiga tafu kusaka principles




Duh!!! jamaa alikuwa muongeaji kinoma, akachukua uhead boy.



Washikaji wengine walikuwa wakijiandikia barua wenyewe na kujitumia ili waonekane nao waakumbukwa.
Je, wee ndo yule seleman mfupi?????, alikuwa na ndoto ya kuwa daktari???? Tulikuwa class 1, 5G/6G kama sikosei. Kama ndo wee unakumbuka ulivyokuwa ukilia baada ya kutoka katika physics paper 2???. Unamkumbuka some body buberwa????, saa hizi ni mganga mkuu msaidizi tmk hospital, dsm.
Kiongozi tulikuwa pamoja mwaka huo hivi unakumbuka unyama aliotufanyia Angelo kwenye practical ya chemistry? Siwezi msahau. Buberwa alikuwa mtu wangu wa karibu sana
 
Achana na mabagara asee, Nzoi, Angelo, Rwezaula,Nampanda..., pugu ilikuwa raha saana asee
 
Nilikuwa O level 1982-85,Maji yalijuwa shida,Gongs Maji ya kunywa,Pond kuoga,siku nzima zamu ya kusomba Maji no vipindi,Second master Swai,Mabagala ndiyo young tu ,Head Mosha,Mkwizu,Wajimila,Mungu,Mukulu duuh long time ,Class mate wa mwakahuo Mni PM, mfano Robert Luseba,Julius Mkodo, nikiishi Maendeleo 1.
 
Nilikuwa O level 1982-85,Maji yalijuwa shida,Gongs Maji ya kunywa,Pond kuoga,siku nzima zamu ya kusomba Maji no vipindi,Second master Swai,Mabagala ndiyo young tu ,Head Mosha,Mkwizu,Wajimila,Mungu,Mukulu duuh long time ,Class mate wa mwakahuo Mni PM, mfano Robert Luseba,Julius Mkodo, nikiishi Maendeleo 1.
Not Mungu Mwl Msungu bingwa wa kiswahili na Geography RIP.
 
IMG_20170515_120304.jpeg
IMG_20170515_120319.jpeg

Napakumbuka sana mahala hapa. Japo palikuwa na changamoto za maji, walimu na purukushani za hapa na pale kama migomo na maandamano hadi Wizara ya elimu enzi za Mungai (PCB class 2001-2003) lakini all in all kwa kusoma pako poa sana
 
Mi pamoja na adha zote za maji, fungus e.t.c wala sikuwa naziona maana hii shule niliipendea uhuru wa kutosha.. Yaan kwanza haina geti wala fence...
Basi mi ikifika ijumaa sa 6 wakati waislam wanaenda kusali mimi huyoo town hadi j3 morning nakuja naingia bwenini Azimio natinga uniform nazama class... Daah nikikumbuka duuh rahaa sana..

Na kwa mwendo huu six nilitoka na ONE nzuri iliyonipeleka UDSM fresh..
Wengine tukiwekwa huru ndio tuna-perform..
 
Back
Top Bottom