Pumzi imeshakata kutoka kujivisha Umagufuli mpaka kuanza kukejeri

Pumzi imeshakata kutoka kujivisha Umagufuli mpaka kuanza kukejeri

Alipopewa tu waziri mkuu akajua vile viatu vya JPM au kassimu anaviweza.

Mwisho wa siku kawa yule yule na tabia zake.

Ile siku anajisema yeye ni kama JPM.

Mimi napenda CCM

CCM OYEEEEEEEE
 
Alipopewa tu waziri mkuu akajua vile viatu vya JPM au kassimu anaviweza.

Mwisho wa siku kawa yule yule na tabia zake.

Ile siku anajisema yeye ni kama JPM.
Kwl sukuma gang ni mazombie, Majaliwa ana rekodi gani? Naona aibu mimi, Magu ndiyo katuharibia nchi, labda km ndiyo rekodi unayoongelea. PM wa sahv ni kichwa mchapakazi na ndiye Rais ajaye 2030
 
Back
Top Bottom