Pumzi inakata na hakuna mapumziko: Magaidi wengi zaidi wa Hamas wanaendelea kujisalimisha kunusuru uhai wao

Hawa vilaza watajulia wapi plan ya jews. Wangekuwa wana akili ya kufikiri kidogo wangejiuliza kwanini vita inaendelea Gaza lakin kule West Bank masetler washafukuza wapalestina na kuwaua na kuchukua maeneo yao.
 
Hata wakat inaanza mlisema ikifika mwezi hali itakua ngumu
Usilolijua tu nikwamba hali za wapalestine ni ngumu sana tokea pale mwaka 1948 mazayuni walipowavamia nawakawapora ardhi zao
Hamas kamatieni hapo hapo
Mkuu angalia Al Jazeera siku mojamoja utapata mwanga kidogo
 
Jeshi la Israel linalokalia kwa mabavu lilibuni picha hii, likidai kuwa limewateka nyara wapiganaji wa upinzani kutoka ndani ya Hospitali ya Kamal Edwan kaskazini mwa Gaza na kuwalazimisha "kuinua silaha zao na kujisalimisha".

Baada ya uchunguzi, daktari anayefunzwa, Nasr Imad Al-Madhoun, na muuguzi anayefanya kazi katika hospitali hiyo walitambuliwa.
😃😃😅
 
Attachments

  • IMG_8113.jpeg
    IMG_8113.jpeg
    83.6 KB · Views: 2
Hawa vilaza watajulia wapi plan ya jews. Wangekuwa wana akili ya kufikiri kidogo wangejiuliza kwanini vita inaendelea Gaza lakin kule West Bank masetler washafukuza wapalestina na kuwaua na kuchukua maeneo yao.
Unalishwa uharo na wewe unakula tu😂
 
Hamas wamebakia kama mapanya buku kujificha ficha ovyo ovyo kwenye mashimo tu. Wanapukutishwa mpaka basi.
 
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.

Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.

Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati wanachinja watu huko Israel.

View attachment 2842501
Masikini kuwadi wa Hamas FaizaFoxy sijuwi yu na hali gani huko motoni aliko.
 
Hamas wanaangamia, viongozi wao na familia zao wapo Qatar, huu ni uhuni.

Kwanini viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wapo Qatar wanaishi maisha ya kifahari badala ya kurudi Gaza ?

Huyo Ismaili Haniyeh ana utajiri wa dollar Bill 4. Anakula maisha Qatar kwa gharama ya damu ya wapalestina wasiokua na hatia.

Utajiri wake wewe wa nini au unataka uolewe viongozi wa Hamas wote matajiri mabasha zenu wameshindwa vita wanahoji utajiri Qatar ndiyo anatoa pesa hizo wewe upo Kimara bucha unaumia.
 
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.

Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.

Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati wanachinja watu huko Israel.

View attachment 2842501
Israel wanafanya kosa kubwa sana kuwabakiza hai, gharama ya kuwahudumia ni kubwa kuliko kuwaua.
Waliua na kubaka 7-10 , wacha wauawawe ili wawahi mabikra 72 huko walipoahidiwa.
 
Utajiri wake wewe wa nini au unataka uolewe viongozi wa Hamas wote matajiri mabasha zenu wameshindwa vita wanahoji utajiri Qatar ndiyo anatoa pesa hizo wewe upo Kimara bucha unaumia.
Utajiri wake unatokana na damu za Wapalestina.
anachukua misaada za magaidi wa kislamu dunia nzima nakusema anenda kusaidia gaza badala yake anaishi 5-star hotel na wanawake wanaojiuza huku akiangalia vita kupitia al jazeera.

#Pathetic.
 
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.

Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.

Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati wanachinja watu huko Israel.

View attachment 2842501

IMG_1567.jpg
 
Huko anakochukua pesa wajinga, ila wewe. Ama kweli:

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg
 
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.

Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.

Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati wanachinja watu huko Israel.

View attachment 2842501
Propaganda
 
FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom