TANZIA Pumzika kwa amani Lt. Gen Benjamini Msuya

Ukipata muda soma unclassified docs za CIA walizoachia na zilizo leak kuhusu hiyo vita na kilichokuwa kinaendelea OAU, Tanzania, Uganda, Sudan,Kenya, UK , US na Libya kuhusu vita halafu utaelewa chanzo cha hiyo vita. Usiwe unasikiliza tu upande ulioshinda bali pande zote na stakeholders waliohusika. Namsifia sana Nyerere kwenye propaganda alitushika sana Watanzania.
 
Miaka ya ngapi ngapi hiyo?
 
Choko choko zenye lengo gani?
 
Binafsi huwa sipendi fallacies maana kupata objective information unapaswa kuwa informed na taarifa rasmi na sio fallacies. Kuhusu propaganda ndio medani yenyewe ukisema nyerere alitufungaa tayari umeshachukua upande kwa hiyo utakachokitoa ni maoni yako binafsi. Mzee wangu alikuwa commissioned officer, uganda ameisha baada ya vita.
 
Ufahamu kwamba kuna taarifa nyingi rasmi ambazo zina uwongo ndani? Wewe ni mgeni Tanzania? Sasa wewe Baba yako kuwa commissioned officer inaleta uzito gani hapa? Jifunze kutengeneza hoja bila kuleta hizo story za Baba yangu sijui Mama yangu.
 
Mimi sijadraw conclusion ya nani kaanzisha vita though mzee wangu alipiganisha combania mstari wa mbele kabisa, Nijaribu kutafuta taarifa ambazo zitabalance na sio kutumia gut feelings katika sehemu ambayo inaitaji utafiti. Ntakupa mfano ukimchukua mtu wa kagera ambae alishuhudia kipindi majeshi ya amini yanafanya uharifu baada ya kuiikaria ardhi yetu atakuambia kitu tofauti na yule wa uganda mpakani ambae anaeleza jinsi askari wetu walivyoanza kuvurumusha mizinga. Kwa hiyo jua kua mm sio mjinga, siwezi kutumia chanzo kimoja kama sehemu ya kupatia taarifa.
 
Wewe siyo mjinga lakini siyo mwelewa. Mimi naongelea chanzo cha vita wakati wewe una focus kilichotokea vitani.
 
Thibitisha! Huku kwetu aliuawa mipaka OCD mapema kabisa. Walioathiriwa kyaka na Mutukula wapo Hadi sasa wakikusoma hutaeleweka. Ghofu la like kanisa lilopigwa Bomu lipo. Acha hizooo
 
Thibitisha! Huku kwetu aliuawa mipaka OCD mapema kabisa. Walioathiriwa kyaka na Mutukula wapo Hadi sasa wakikusoma hutaeleweka. Ghofu la like kanisa lilopigwa Bomu lipo. Acha hizooo
Hamna mtu amebisha hapa kwamba vita haikutokea. Soma vizuri nilichoandika.
 
Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu
unaweza kuwa rais ikiwa wewe ni raia wa nchi ya kigeni? Ama alikuwa kiongozi wa vikosi vilivyodhibiti nchi tu?
 
Wewe siyo mjinga lakini siyo mwelewa. Mimi naongelea chanzo cha vita wakati wewe una focus kilichotokea vitani.
Inaonekana wewe ni intellectually arrogant au hutuki kuelewa maoni ya wenzako. Kuna narrative zinasema kuwa sisi ndio tulianza kurusha makombola kwenda uganda then idd amini akajibu kwa ku annex sehemu ya kagera. Sio fair kudhalauliana katika mambo ya kueleweshana. Nyerere anadai uganda alianza kufanya uchokozi baada ya ndege zake kufanya manuva kwenye Anga Tanzania. Kwa hiyo chanzo cha vita ni debate ambayo itajibiwa na tafiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…