Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kwahiyo wewe ndo Mohamed SaidLet...
Tayari nishaweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe ndo Mohamed SaidLet...
Tayari nishaweka.
Poleni sana.CCM,
Kafia hapa nyumbani.
Hayo uliyosoma ni wakati sisi vijana tumekwenda Uingereza kusoma.
Siyo rika ya kina Yahya Sinwar na Ismail Haniyeh? 🤣😅Sidhani, labda early 80s.
early 60s vijana walikuwa rika la Nyerere.
Dah, yani umewataja hao komredi sikujua kama unawafahamu...Siyo rika ya kina Yahya Sinwar na Ismail Haniyeh? 🤣😅
Dr.Mzee rika lako wanapukutika.
Pole sana .
R.I.P Pudenciana Temba, Mwendo umeumaliza salama katika dunia hii 🤭TAAZIA: PUDENCIANA TEMBA
Majonzi.
Inachoma sana moyo.
Ikiwa mtakumbuka miezi michache sana hapa hapa niliwekewa kumbukumbu ya kifo cha Dr. Edith Kitambi nami kwa kuwa sikupata taarifa ya kifo chake nikaandika taazia.
Edith katika picha ni huyo dada kulia kwangu.
Nimesoma kifo cha Pudenciana Temba alipata kuwa Editor Daily News.
Pudenciana ni huyo kulia kwangu kwenye picha.
Pudenciana alikuwa mwanafunzi School of Journalism University of Wales Carfiff.
Picha hii imenitia majonzi sana.
Hawa dada zangu niliishinao kwa wema na ni bahati mbaya sana kuwa tulipoachana Uingereza hatukapata kuonana tena hadi napokea taarifa ya vifo vyao.
Mwan...Pole sana mkuu.
Hiyo picha ni ya mwaka gani?
Mlijua kutupia pamba enzi zenu aisee
100...Dah, yani umewataja hao komredi sikujua kama unawafahamu...
Naona ni rika moja.
Mzee ulikuwa una bahati iliyoje kuzungukwa na warembo wakali namna hio?100...
Hapana mimi nilikuwa mkubwa kwao.
Hawa walikuwa wasichana wadogo hata kuolewa bado.
100...Mzee ulikuwa una bahati iliyoje kuzungukwa na warembo wakali namna hio?
Oscar...Pole sana Mkuu,Mungu awalaze pema peponi.
pole sana shekh, uingereza ni nchi ya makafiri, wewe huwa unaita wakristo kuwa ni makafiri, ilikuaje sasa ukaenda kutembelea na kula mema huko uingereza? tupe story kidogo.TAAZIA: PUDENCIANA TEMBA
Majonzi.
Inachoma sana moyo.
Ikiwa mtakumbuka miezi michache sana hapa hapa niliwekewa kumbukumbu ya kifo cha Dr. Edith Kitambi nami kwa kuwa sikupata taarifa ya kifo chake nikaandika taazia.
Edith katika picha ni huyo dada kulia kwangu.
Nimesoma kifo cha Pudenciana Temba alipata kuwa Editor Daily News.
Pudenciana ni huyo kulia kwangu kwenye picha.
Pudenciana alikuwa mwanafunzi School of Journalism University of Wales Carfiff.
Picha hii imenitia majonzi sana.
Hawa dada zangu niliishinao kwa wema na ni bahati mbaya sana kuwa tulipoachana Uingereza hatukapata kuonana tena hadi napokea taarifa ya vifo vyao.
Yes...pole sana shekh, uingereza ni nchi ya makafiri, wewe huwa unaita wakristo kuwa ni makafiri, ilikuaje sasa ukaenda kutembelea na kula mema huko uingereza? tupe story kidogo.
Kina...Pole kwake leo kesho kwetu
nilishawahi kukusikia, ulikuwa unajadili namna waislam walivyopigwa mwembechai, namna mnavyoenda kuhiji, haya maneno uliyaongea, sema kwasababu kila binadamu ana madhaifu labda useme tu uliteleza, na wewe unapenda watu wote wakristo kwa waislam, na hautaki makafiri wauawe. ukisema hivyo nitakuelewa sana mzee. usijisahaulishe, sijakujua leo.Yes...
Sijapata kutoa maneno hayo.
Isiwe umeyasoma kwa Mohamed Said mwingine.
Hakikisha kabla ya kuandika kuzuia fedheha kwako na kwangu.