TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

Tunaomba update ya huu msiba
P
 
RIP Mwamba Mr. Superman. Nakumbuka alikuwa na kipindi chake TBC miaka funali hapo nyuma kikiwa na mada mbalimbali.
 
Alinisaidia sana Mara kadhaa nikienda Ofisini kwake alikuwa anakuwa na members kadhaa wa JF. na alikuwa akiniambia "Dogo unamjua Fulani wa JF? sasa ndo huyu hapa." I wish siku moja ningekukuta nae na akanitambulisha kuwa hapa upo na Kiranga" maana you're my first role model
 
Hivyo unavyomsema ndiyo alivyokuwa.

Jamaa nimemuangalia anaanza struggle Bongo, mpaka anatoboa Bongo hapo hapo kwa nidhamu ya kazi, kujituma, kuwa mtu wa matumaini, kupenda kazi yake, kuwa mtu wa ushawishi, kuwa mtu wa watu.

Nimesikitika sana.

Kuhusu kukutana natumaini siku moja tunaweza kuandaa kitu na Max.
 
1998 nilifahamiana na brother Sanctus akiwa Bado kijana na Mimi nikiwa Mtoto mitàa ya Segerea , Alikuwa MTU mwema sana na mshauri mzuri Kwa sisi wadogo zake wa pale mtaani, Nasikitika Leo ndio naona taarifa hii.
Mara ya mwisho kuonana nae last two years kwenye msiba wa kijana wake wa USA. Dah pumzika Kwa Amani JF,Tabata legend, msabato safi, smart brother Sanctus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…