Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu


Full tank ya mtungi kwa gari ndogo unakuwa ni kilo ngapi ya gesi ndani ?
 

Na Je kuna gauge inayoonyesha gesi imebaki kiasi gani au utajuaje kama inakaribia kuisha ?
 
Maelezo mazuri sana lakini kuna mapungufu hujaweka gharama za kuufunga mfumo huo kwenye gari kwa vigezo mbali mbali kama vile engine capacity et al. Tafadhali tuwekee hii
 
Maelezo mazuri sana lakini kuna mapungufu hujaweka gharama za kuufunga mfumo huo kwenye gari kwa vigezo mbali mbali kama vile engine capacity et al. Tafadhali tuwekee hii
Engine capacity za gari ambazo ni SUV kama style ya prado,cruiser,x5,Q7,Touareg hizo ni 2M ila gari ndogo ni 1.6M kama utalipa cash! Ila kwa installment utapeleka kiasi kadhaa kisha unapeleka rejesho kila baada ya muda flani! Hii ni kwa mujibu wa rafiki yangu aliefunga mtungi kwenye IST yake juzi kati
 
Hii serikali ikiona watu wengi wanahamia kwenye gesi , nayo itahamishia kodi na tozo zote humo, mwisho wa siku bei ya gesi itakuwa sawa na ya petroli.
 
Mtungi kwenye gari ndogo ni kilo 11 na hii kilo 11 itakupeleka umbali mara 2 zaidi ya ule wa lita 11 za Petrol.

Wakijitahidi kupeleka hizi huduma mikoani watasanya wateja wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…