Punguza mazoea ukishaanza kuzisikia hizi kauli kutoka kwa mwanamke wako

Kuna haka ka kauli pia "Wewe una mambo mengi sana usidhani mimi siwezi kua kama wewe"
 
.......hapana mamii, lazima kuna namna huwa mnakuwa disappointed sana na nyuzi za mara kwa mara za humu, sidhani kama mitandao mingine ipo bize na singomamies kama humu....
Hapana aisee! Maisha ni zaidi ya nyuzi za jf.
 
Hapana aisee! Maisha ni zaidi ya nyuzi za jf.
......ni kweli ila sio wote wenye uwezo wa kulet it be na kuwa not bothered, na pia watu jf ndo entertainment yao 24 hrs wako online wanalike kila koment, so if kwako sio shida then you are lucky, it's good for u.......
 
Unamaanisha yani uko na mwanamke alafu mnaweka mazungumzo ya kumjadili ex???!! WTF
 
Wakishaachwa na ma ex nao ula kona,wakati mwingine ni kuishi NAO kama unaishi na mgonjwa wa akili.
Thus matajiri huwa wapo bize na pesa na sio mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…