Punguza mazoea ukishaanza kuzisikia hizi kauli kutoka kwa mwanamke wako

Punguza mazoea ukishaanza kuzisikia hizi kauli kutoka kwa mwanamke wako

Sema kizazi Cha Sasa hivi kupata mke ni bahati Pana mke na Pana Dustin la ngono,wengi ni dustini wazuri kwa ngono na sio Kwa familia.
Wanawake wa sasa hivi wanapenda fake life maisha ya show off za kwenye mitandao sababu ya kiwango cha ujinga kuongezeka hasa kwa waafrika sababu ya vyakula vya kisasa GMO food.
 
Ukimuuliza why company yako unapenda kua na wanaume tu? Wote jibu waga ni moja tu eti "Marafiki wa kiume sio masnitches kama marafiki wa kike na wana msaada mkubwa sana"
Lakin lazim aliwe fisi sungura hawakai nyumba moja
 
1. Mimi hua sifuti namba za ma ex wangu, siwezi jua anaweza kua msaada mkubwa kwangu baadae (muongo, bado ana feelings na hao majamaa)

2. Siwezi kuacha kuwasiliana na ex/mzazi mwenzangu, hatujaachana kwa ubaya (ni suala la mda tu ila kiporo kitapashwa)

3. Acha kumkaripia mwanangu, hata kama amekosea. Zaa wako (Hii ni ya singo maza)

4. Tunawasiliana kwa ajili ya mtoto, sitoacha kumuheshimu, yeye ndio mwanaume wa kwanza kunipeleka leba (singo maza tena)

5. Mimi hua napenda company na wanaume tu. Hata marafiki zangu wengi ni wanaume. (Ruuun!!!)

6. Yule mwanaume nilimpendaga sana. Sidhani kama nitakuja kupenda kama vile (maana yake wakianza kuwasiliana hauna chako)

Unaweza kuongezea nyingine. Vijana washtuke wasije kuweka kambi mazima katika hamna!!!

hii tano ipo kwa demu wangu nawaza kumuacha
 
N A K A Z I A [emoji419][emoji375]
Nachangia misumari mitatu ili wadau WAKAZIE na nyundo.
steel-nails-2672412042.jpg
 
Back
Top Bottom