Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mke wangu kabla sijamuia alikuwa na Marafiki wa kiume tu. Nilifanya uoelslezi kama ana fumuliwa sikuwahi kupata any evidence.Mimi hua napenda company na wanaume tu. Hata marafiki zangu wengi ni wanaume.
Hii kauli nimeisikia mara nying mno karibu kila mwanamke
Wanawake wa hivi ni wachapa kazi na hawana mbambamba kwenye mambo yao.
Akikupenda wewe utafurahi