Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mke wangu kabla sijamuia alikuwa na Marafiki wa kiume tu. Nilifanya uoelslezi kama ana fumuliwa sikuwahi kupata any evidence.Mimi hua napenda company na wanaume tu. Hata marafiki zangu wengi ni wanaume.
Hii kauli nimeisikia mara nying mno karibu kila mwanamke
Siku isiyo na Jina yajaMke wangu kabla sijamuia alikuwa na Marafiki wa kiume tu. Nilifanya uoelslezi kama ana fumuliwa sikuwahi kupata any evidence.
Wanawake wa hivi ni wachapa kazi na hawana mbambamba kwenye mambo yao.
Akikupenda wewe utafurahi
Angewatembezea dudu balaaNa mwanamke anaesema
"Mimi ningekua mwanaume, wanawake wangenikoma"
huwa anamaanisha nini?
upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SINGO MAZA NI LAANA
U said it all bro!!Wapo singo maza wanaojitambua, hasa wale waliofiwa na waliowazalisha. Hawa ambao mabwana zao bado wanapumua [emoji706]
Hivi kunawanawake wanayaongea haya mbele ya wanaume zao kweli!!??1. Mimi hua sifuti namba za ma ex wangu, siwezi jua anaweza kua msaada mkubwa kwangu baadae (muongo, bado ana feelings na hao majamaa).
2. Siwezi kuacha kuwasiliana na ex/mzazi mwenzangu, hatujaachana kwa ubaya (ni suala la muda tu ila kiporo kitapashwa).
3. Acha kumkaripia mwanangu, hata kama amekosea. Zaa wako (Hii ni ya singo maza).
4. Tunawasiliana kwa ajili ya mtoto, sitoacha kumuheshimu, yeye ndio mwanaume wa kwanza kunipeleka leba (singo maza tena).
5. Mimi huwa napenda company na wanaume tu. Hata marafiki zangu wengi ni wanaume (ruuun!).
6. Yule mwanaume nilimpendaga sana. Sidhani kama nitakuja kupenda kama vile (maana yake wakianza kuwasiliana hauna chako).
Unaweza kuongezea nyingine. Vijana washtuke wasije kuweka kambi mazima katika hamna!
Niaje
Seen.1. Mimi hua sifuti namba za ma ex wangu, siwezi jua anaweza kua msaada mkubwa kwangu baadae (muongo, bado ana feelings na hao majamaa).
2. Siwezi kuacha kuwasiliana na ex/mzazi mwenzangu, hatujaachana kwa ubaya (ni suala la muda tu ila kiporo kitapashwa).
3. Acha kumkaripia mwanangu, hata kama amekosea. Zaa wako (Hii ni ya singo maza).
4. Tunawasiliana kwa ajili ya mtoto, sitoacha kumuheshimu, yeye ndio mwanaume wa kwanza kunipeleka leba (singo maza tena).
5. Mimi huwa napenda company na wanaume tu. Hata marafiki zangu wengi ni wanaume (ruuun!).
6. Yule mwanaume nilimpendaga sana. Sidhani kama nitakuja kupenda kama vile (maana yake wakianza kuwasiliana hauna chako).
Unaweza kuongezea nyingine. Vijana washtuke wasije kuweka kambi mazima katika hamna!
Kuoa single maza tena? Umerogwa au?Kuna single mothers walizaa bila kupanga, ule usichana kurukaruka akanasa. Hata kama aliyezaa nae yupo ila hawana mpango waa mahusiano tena na wamepevuka Sasa wanajua wanachotaka. Hawa ni wengi sana na wanaolewa Kama kawaida.
NAKAZIAππππππ
SINGO MAZA NI LAANA
NAKAZIAUnaoa 'single maza' wa nini?! Aliyezaa nae alimshindwa, sembuse wewe!
Naam1. Mimi hua sifuti namba za ma ex wangu, siwezi jua anaweza kua msaada mkubwa kwangu baadae (muongo, bado ana feelings na hao majamaa).

Hahahaππππππ
SINGO MAZA NI LAANA