Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

Kufaaaaaa Ccm kufa kabisa

"To know the enemy is half the victory"
 
Mi nasema acha wajinga waliwe... Tena waliwe sana na zaidi na zaidi ili serikali(iliyopo) iendelee kupanda mbegu za kujiangamiza... Wafanyakazi walitukanwa mchana kweupe 2010 na wamesahau nasema tena acha mliwe...
 
Mijiccm ndiyo mi adui yetu

"To know the enemy is half the victory"
 
Mimi nimefunga na sitak kudanganya,,,,,kwakua ofisi yangu ipo mbali na napoish basi naenda job once a week,vinginenvyo salary itaishia BARABARANI
 

wikolo na wabunge waliipitisha BAJETI KWA ROHO SAFIIIII
 
Last edited by a moderator:
PAYE imepunguzwa kutoka 14% hadi 13%, wataalamu wakasema hilo punguzo halina tija, sasa tunaona kwenye figure ni Bk 2000 tu.

Naona hata huelewi kinachoandikwa. Pole yako.
 
Zitto alishalizungumza tena zamani sana akasema serikali imepunguza buku jero kama paye.
 
Last edited by a moderator:
Mbona humalizii hiyo 2,000 kutoka kodi ya shillingi ngapi?

We mama bora uwe unachangia kule kwenye jukwaa la mahusiano na mapenzi, kila kitu ushabiki tu, umeambiwa imepunguzwa Tsh 2000 tu, hivi ambacho hujaelewa hapo ni nini? Mfano kama ulikua unalipa Tsh 100,000 umepunguziwa Tsh 2000, maanake utalipa Tsh 98000/= Ugumu uko wapi hapo? Ndio maana tunasemaga ukiona mtu anapenda ccm assumption kichwani ni either huyo mtu ni mjinga au fisadi au anafaidika na mfumo wa kifisadi.
 

Sasa kama umepunguziwa 2,000 kinakushinda nini kulipia simu yako 1,000 ?
 


Mkuu kiroba umeongea mambo ya maana sana.

Kama hawa viongozi Wa wafanyakazi wanapitia hapa jf Itabidi maoni yako wayachukue jinsi yalivyo Na wayafanyie kazi.

Vinginevyo hawana haja ya kuendelea kulalamika bila kuchukua hatua
 
kwa niaba ya wafanyakazi nchini napenda kuwasilisha maombi maalum ya kujua matumizi ya kodi ya PAYE kama ilivyokuwa kwa kodi mpya ya simcards.
Ni vyema tukaambiwa ni % ngapi ya PAYE inakwenda kwenye afya,elimu,miundombinu,maji,nishati n.k
 
kweli kwa wabunge kupitisha kodi ys simcard, wakatwe mishahara na posho ya siku hiyo irejeshwe; mbona halmashauri zikipata hati chafu au DED wakifanya fyongo wanakatwa mishahara, mrema alishadadia hili la DED, sasa ni zamu yako kushadadia wabunge mkatwe mishahara kwa kuborongo kiasi hicho.
 

mkubwa!pamoja na haya yote sasa ni wakati wa kujua PAYE inatumkaje.tunakatwa tu...hatujui inaenda wapi.
 
kwa niaba ya wafanyakazi nchini napenda kuwasilisha maombi maalum ya kujua matumizi ya kodi ya PAYE kama ilivyokuwa kwa kodi mpya ya simcards.
Ni vyema tukaambiwa ni % ngapi ya PAYE inakwenda kwenye afya,elimu,miundombinu,maji,nishati n.k


Mkuu usijiumize kichwa, usitegemee Pinda atakuambia kitu kilichokwenda shule hata siku moja....naye yule ni janga lingine la taifa kwani hajuwi akifanyacho na haelewi nini anachokisema. Kwa kifupi, pole sana.
 
Mkuu usijiumize kichwa, usitegemee Pinda atakuambia kitu kilichokwenda shule hata siku moja....naye yule ni janga lingine la taifa kwani hajuwi akifanyacho na haelewi nini anachokisema. Kwa kifupi, pole sana.
ni wakati wa kushinikiza ili tupatiwe ufafanuzi wa kodi tunazolipa.isije ikawa tunalipa kodi mara mbili au zaidi katika suala moja yaani umeme!
 
naam!ni vyema tukajua kuwa shilingi 1 ya PAYE inakwenda wapi shilingi 2 ya PAYE inakwenda wapi n.k n.k
Ni upuuzi kulipa kodi bila kujua inakwenda wapi.
Ikiwezekana wafanyakazi wajulishwe kodi wanayokatwa inakwenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…