Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu kodi kwenye petroli na simu, amesemaje?Kuna wabunge walikuwa wanaomba PAYE ipunguzwe mpaka ifikie 10% lkn waziri akasema kwa kuwa mwanzoni ilikuwa ni 18% na ikapunguzwa kidogo kidogo mpaka 14%, yeye ameona kwa sasa iwe 13% na watapunguza siku zijazo kadiri watakavyoona inafaa.
Hii serikali inayoongozwa na watu wapumbavu kama Pinda inataka kutugeuza wafanyakazi wa nchi hii ng'ombe wao wa maziwa? Pumbavu kabisa.Waziri wa fedha ndio anatolea ufafanuzi ila anasema serikali itaendelea kadri ya mapato yanavyopatikana kwa hiyo asilimia imebakia kama ilivyo !
Wana JF,
Kuna mambo ya Kushangaza sana, eti kodi imepungua kwenye Mshahara kwa TSH. 2000/= kwa Mfanyakati. Eti kuna watu wanakaa asubuhi hadi jioni ohh Serikali imepunguza kodi kwenye Mishahara ya wafanyakazi hivi kweli? Waziri anasimama kabisa bungeni kutangaza punguzo la shilingi elfu mbili? Rais anakwenda kwenye sherehe ya wafanyakazi na kutangaza kwa mbwembwe zote eti kapunguza kodi kumbe ni SH elfu mbila hana hata aibu.
Just imagine wamepandinsha kodi kwenye mafuta na sasa kila kitu kimepanda kwa kati ya TSH 100/= na 200/= huku ukipunguza kodi kwa Tsh BK 2.
Hii inatia aibu kwa CCM. Wafanyakazi amkeni CCM haitujali kabisa.

"Ukisukumwa mara ya kwanza sogea, na pia ukisukumwa mara ya pili pia sogea. Lakini ukisukumwa mara ya tatu, basi muangalie mwenyezimungu halafu fanya maamuzi" - Mh. Godbless Lema.
Kasungura ni kadogo itabidi tushirikiane hivyo hivyo. Tufanye kazi kwa bidii zaidi ili pato la taifa liongezeke.Tangu lini serikali ya CCM ikajali maisha ya wananchi!
Ndio maana wageni wanapewa rasilimali za nchi Na kuneemeka wakati wananchi wakifukuzwa hata kwenye ka ardhi kao bila huruma!
Si unaona hata wakulima wanavyohangaika Na hata kuuza mazao yao wanapangiwa bei Na pa kuuza!
Mungi shirikisha ubongo kidogo, unataka nani akutafutie hiyo taarifa?Tunataka kujua kodi kwenye mishahara imepungua kwa asilimia ngapi?
Kusema buku bee haieleweki vizuri
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums