Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

Mkuu, dizain Great Thinkers wako busy na ishu ya Soggy kutinga gwanda ndo mana hawasomeki kipande hichi.
 
Waondoe tuu hata hilo punguzo la asilimia moja ibaki kama zamani, wewe unapunguza kodi ya P.A.Y.E kwa asilimia moja unaongeza kodi kwenye petrol, kwenye simu, mshahara hujaongeza hizo si jokes? sisi wafanyakazi tukae kimya tu tutawafanyizia 2015
 
Kuna wabunge walikuwa wanaomba PAYE ipunguzwe mpaka ifikie 10% lkn waziri akasema kwa kuwa mwanzoni ilikuwa ni 18% na ikapunguzwa kidogo kidogo mpaka 14%, yeye ameona kwa sasa iwe 13% na watapunguza siku zijazo kadiri watakavyoona inafaa.
 
Vipi kuhusu kodi kwenye petroli na simu, amesemaje?
 
1%???? Wacha tuendelee kusoteka na Jua hili maana
 
Waziri wa fedha ndio anatolea ufafanuzi ila anasema serikali itaendelea kadri ya mapato yanavyopatikana kwa hiyo asilimia imebakia kama ilivyo !
Hii serikali inayoongozwa na watu wapumbavu kama Pinda inataka kutugeuza wafanyakazi wa nchi hii ng'ombe wao wa maziwa? Pumbavu kabisa.
 
Jamani nakumbuka wakati wa kilele cha may mosi mwaka huu JK alitangaza kushuka kwa PAYE kwa wafanyakazi ili kuwapunguzia ugumu wa maisha.Kuna mtu mwenye taarifa lini hiyo adjustment inaanza au ni changa la macho.Na je great thinkers mnalizungumziaje hili au lipo kisiasa zaidi maana magamba nao hata hawaeleweki kwa strategies.Naomba michango yenu.Ahsanteni sana
 
Wana JF,

Kuna mambo ya Kushangaza sana, eti kodi imepungua kwenye Mshahara kwa TSH. 2000/= kwa Mfanyakati. Eti kuna watu wanakaa asubuhi hadi jioni ohh Serikali imepunguza kodi kwenye Mishahara ya wafanyakazi hivi kweli? Waziri anasimama kabisa bungeni kutangaza punguzo la shilingi elfu mbili? Rais anakwenda kwenye sherehe ya wafanyakazi na kutangaza kwa mbwembwe zote eti kapunguza kodi kumbe ni SH elfu mbila hana hata aibu.

Just imagine wamepandinsha kodi kwenye mafuta na sasa kila kitu kimepanda kwa kati ya TSH 100/= na 200/= huku ukipunguza kodi kwa Tsh BK 2.

Hii inatia aibu kwa CCM. Wafanyakazi amkeni CCM haitujali kabisa.
 
Tangu lini serikali ya CCM ikajali maisha ya wananchi!

Ndio maana wageni wanapewa rasilimali za nchi Na kuneemeka wakati wananchi wakifukuzwa hata kwenye ka ardhi kao bila huruma!

Si unaona hata wakulima wanavyohangaika Na hata kuuza mazao yao wanapangiwa bei Na pa kuuza!
 
Kweli hawa watunga sera wa serikali ya CCM huwa siwaelewi na nahisi ni wazee sana na wamechoka kufikiria, mshahara wenyewe umeongezwa kwa madaraja na kwa asilimia kwa walio na mishahara ya milio mbili na laki tano (2,500,000) wameongezewa asilimia 10 na walio kati ya laki tano na chini ya millioni mbili 7.8%. Kima cha chini ambao kimsingi hawako wemeongezewa hadi 20%. TAFAKARI NA CHUKUA HATUA.
 
Wana JF,

Kuna mambo ya Kushangaza sana, eti kodi imepungua kwenye Mshahara kwa TSH. 2000/= kwa Mfanyakati. Eti kuna watu wanakaa asubuhi hadi jioni ohh Serikali imepunguza kodi kwenye Mishahara ya wafanyakazi hivi kweli? Waziri anasimama kabisa bungeni kutangaza punguzo la shilingi elfu mbili? Rais anakwenda kwenye sherehe ya wafanyakazi na kutangaza kwa mbwembwe zote eti kapunguza kodi kumbe ni SH elfu mbila hana hata aibu.

Just imagine wamepandinsha kodi kwenye mafuta na sasa kila kitu kimepanda kwa kati ya TSH 100/= na 200/= huku ukipunguza kodi kwa Tsh BK 2.

Hii inatia aibu kwa CCM. Wafanyakazi amkeni CCM haitujali kabisa.

Mbona humalizii hiyo 2,000 kutoka kodi ya shillingi ngapi?
 
Huu uzi mbona unaelea elea hivii. Sioni taarifa rasmi za kurejea ili kuhalalisha maelezo ya huu uzi?!
 
Wana JF,

Kuna mambo ya Kushangaza sana, eti kodi imepungua kwenye Mshahara kwa TSH. 2000/= kwa Mfanyakati. Eti kuna watu wanakaa asubuhi hadi jioni ohh Serikali imepunguza kodi kwenye Mishahara ya wafanyakazi hivi kweli? Waziri anasimama kabisa bungeni kutangaza punguzo la shilingi elfu mbili? Rais anakwenda kwenye sherehe ya wafanyakazi na kutangaza kwa mbwembwe zote eti kapunguza kodi kumbe ni SH elfu mbila hana hata aibu.

Just imagine wamepandinsha kodi kwenye mafuta na sasa kila kitu kimepanda kwa kati ya TSH 100/= na 200/= huku ukipunguza kodi kwa Tsh BK 2.

Hii inatia aibu kwa CCM. Wafanyakazi amkeni CCM haitujali kabisa.

"Ukisukumwa mara ya kwanza sogea, na pia ukisukumwa mara ya pili pia sogea. Lakini ukisukumwa mara ya tatu, basi muangalie mwenyezimungu halafu fanya maamuzi" - Mh. Godbless Lema.
 
Yalaaniwe majimbo yote ambayo CCM imeshinda, majimbo yote maana nyie ndo chanzo cha tatizo, sisi tulikwishaona mbali,lazima CCM iondoke bungeni hata kama ibaki na urais, iongdoke bungeni kwanza
 
Wana JF,

Kuna mambo ya Kushangaza sana, eti kodi imepungua kwenye Mshahara kwa TSH. 2000/= kwa Mfanyakati. Eti kuna watu wanakaa asubuhi hadi jioni ohh Serikali imepunguza kodi kwenye Mishahara ya wafanyakazi hivi kweli? Waziri anasimama kabisa bungeni kutangaza punguzo la shilingi elfu mbili? Rais anakwenda kwenye sherehe ya wafanyakazi na kutangaza kwa mbwembwe zote eti kapunguza kodi kumbe ni SH elfu mbila hana hata aibu.

Just imagine wamepandinsha kodi kwenye mafuta na sasa kila kitu kimepanda kwa kati ya TSH 100/= na 200/= huku ukipunguza kodi kwa Tsh BK 2.

Hii inatia aibu kwa CCM. Wafanyakazi amkeni CCM haitujali kabisa.

Binafsi sioni tatizo hapa, kwani kama ilivyoada ya wafanyakazi pamoja na vyama vya wafanyakazi huwa wanajipendekeza kwa serikali. Sasa kama mtu unajipendekeza kwake acha akupe za uso kavu kavu. Binafsi ningependa wafanyakazi wazidi kunyonywa na kupandishia kodi kubwa ili wajitambue na waamke kupigania haki zao.

Eti kila sherehe za mei mosi wanamualika rais akapige politiksi. Hata ningekuwa mimi kama mijitu inajipendekeza yenyewe na mimi na ichinjia baharini tu kwani si ni waoga hawawezi nifanya kitu. Tena hakuna watu majuha na majununi kama wafanyakazi na vyama vyao. Ni heri hata kungekuwa hakuna mambo ya vyama vya wafanyakazi kwani hivi vyama vipo tu kama miamvuli ya kufichia maovu ya serikali.

Chukueni hatua la sivyo mtabaki tu kama vifaranga vya kuku mkisubiri kunyonya hadi mtakapo gundua kumbe mwafanyiwa usanii kweupe mchana. Kuna haja gani ya kujipendekeza kumualika rais wa jamuhuri ya muungano awe mgeni rasmi? Hivi mnafikiri atasema nini zaidi ya kuwadanganya tu na kupiga siasa na fiksi nyingi? Hebu jaribuni ikifika siku ya wafanyakazi basi mkusanyike na kujadili dhuluma mnazofanyiwa. Fanyeni makongamano kila mwaka katika kuadhimisha sikukuu ya wafanyakazi. Alikeni wanaharakati, wanasiasa, na wadau wengine wengi katika hilo kongamano. Ikosoeni serikali mchana kweupe na pia muipe mapendekezo yenu mnayoona yataboresha maslahi yenu. Na kama hamuwezi basi ni bora mkanyamaza kulalamika kwani tumechoka kuwasikia kila mwaka na malalamiko haya haya.

Mwisho kabisa napenda kuchukua fursa hii kuwatakia pole kwa maumivu mnayopata kwa kodi zitozwao katika mishahara yenu. Lakini niwaache na usemi usemao kuwa wajinga ndio waliwao.
 
Tunataka kujua kodi kwenye mishahara imepungua kwa asilimia ngapi?
Kusema buku bee haieleweki vizuri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
"Ukisukumwa mara ya kwanza sogea, na pia ukisukumwa mara ya pili pia sogea. Lakini ukisukumwa mara ya tatu, basi muangalie mwenyezimungu halafu fanya maamuzi" - Mh. Godbless Lema.

Ukisukumwa mara ya nne Omba maelekezo kutoka kwa Mungu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tangu lini serikali ya CCM ikajali maisha ya wananchi!

Ndio maana wageni wanapewa rasilimali za nchi Na kuneemeka wakati wananchi wakifukuzwa hata kwenye ka ardhi kao bila huruma!

Si unaona hata wakulima wanavyohangaika Na hata kuuza mazao yao wanapangiwa bei Na pa kuuza!
Kasungura ni kadogo itabidi tushirikiane hivyo hivyo. Tufanye kazi kwa bidii zaidi ili pato la taifa liongezeke.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tunataka kujua kodi kwenye mishahara imepungua kwa asilimia ngapi?
Kusema buku bee haieleweki vizuri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mungi shirikisha ubongo kidogo, unataka nani akutafutie hiyo taarifa?
 
Back
Top Bottom