Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

Punguzo la 1% (kutoka 15% hadi 14%) kwenye kodi ya mishahara (PAYE) ni dhihaka kwa wafanyakazi wa Tanzania kwani gharama za maisha ziko juu sana kufuatia mfumuko mkubwa wa bei. Ifike wakati sasa serikali iwaonee huruma wafanyakazi kwa kuwapunguzia mzigo wa kodi badala ya kufawafanyia mzaha kama huu. Wafanyabiashara wakubwa na mafisadi kibao wanasamehewa kodi lakini mfanyakazi masikini anazidi kukandamizwa tu kila kukicha. Hii haikubaliki hata kidogo.

Kwa jinsi serikali ilipokuwa inatamba kwa mbwembwe kwamba itapunguza kodi ya mishahra, sikutegemea kwamba mwisho wa siku wangekuja kupunguza kiasi kidogo kama hiki cha kodi. Ni aibu kwa kweli. Wafanayakazi mnanapaswa kutambua kwamba seriklali ya CCM haina nia njema katika kuwapunguzia ukali wa maisha, hivyo basi fanyeni uamuzi sahihi hapo mwaka 2015 ili kurejesha nidhamu kwa serikali hii isiyokuwa na mwelekeo.

Kana kwamba hili halitoshi, bado wafanyakazi hao hao watakamuliwa Tsh 2500 kama kodi ya kumiliki simu kwa kila mwezi! Wananchi mmnatakiwa kuacha uzezeta—amkeni tukawafundishe adabu hawa mafisadi mwaka 2015. Saa ya ukombozi ni sasa. Bila kufanya hivyo, tutaendelea kukandamizwa hadi mwisho wa dahari.

Tafakari, chukua hatua!

-------
Mwananchi (Juni 14)

Hakika huo ni upembuzi yakinifu kuhusu Pay As You Earn (P.A.Y.E). Wataalamu wa uchumi kama kina mhadhiri msataafu mnene daktari mgimwa mtupe majibu juu ya ukokotozi wa mahesabu yenu juu ya hiyo kitu kama sio kuendeleza unyonyaji kwa mfanyakazi "wanambania hata kile kidogo alichonacho mpaka jasho lake linazidi kunyonywa a.k.a mfanyakazi " na ndo maana katika nchi kuna makundi makubwa mawili " WENYE NCHI & WANANCHI".
 
Nasema ni kweli na kweli tupu. Ni kwa vile nitaji-expose ila ningeweka salary slip yangu. Sasa uone NHIF ni sh. 78,000 tu kwa mwezi

mimi nakatwa asilimia zaidi ya asilimia kumi na nne wakati mwingine inafika 380,000
 
Upuuzi mkubwa, nilizani watakuja na kutoka kiwango cha juu 30% hadi 20% na chini 10%, kweli kama mtu anapuuzwa namna hii JE TANZANIA NI NCHI HURU? ambayo watu wake wanapanga mambo yao, NAPE JAMANI Nijibu
 
kwa bajeti hii tuliopo vijijini ndo tutaumia zaidi na hili ongezeko la kodi kutokana na miundombinu yetu mibovu,ccm haina nia nzuri na wananchi wake,tuungane kuitia adabu 2015,amkeni jamani mapinduzi ya kweli huanzia vijijini.
 
Punguzo la 1% (kutoka 15% hadi 14%) kwenye kodi ya mishahara (PAYE) ni dhihaka kwa wafanyakazi wa Tanzania kwani gharama za maisha ziko juu sana kufuatia mfumuko mkubwa wa bei. Ifike wakati sasa serikali iwaonee huruma wafanyakazi kwa kuwapunguzia mzigo wa kodi badala ya kufawafanyia mzaha kama huu. Wafanyabiashara wakubwa na mafisadi kibao wanasamehewa kodi lakini mfanyakazi masikini anazidi kukandamizwa tu kila kukicha. Hii haikubaliki hata kidogo.

Kwa jinsi serikali ilipokuwa inatamba kwa mbwembwe kwamba itapunguza kodi ya mishahra, sikutegemea kwamba mwisho wa siku wangekuja kupunguza kiasi kidogo kama hiki cha kodi. Ni aibu kwa kweli. Wafanayakazi mnanapaswa kutambua kwamba seriklali ya CCM haina nia njema katika kuwapunguzia ukali wa maisha, hivyo basi fanyeni uamuzi sahihi hapo mwaka 2015 ili kurejesha nidhamu kwa serikali hii isiyokuwa na mwelekeo.

Kana kwamba hili halitoshi, bado wafanyakazi hao hao watakamuliwa Tsh 2500 kama kodi ya kumiliki simu kwa kila mwezi! Wananchi mmnatakiwa kuacha uzezeta—amkeni tukawafundishe adabu hawa mafisadi mwaka 2015. Saa ya ukombozi ni sasa. Bila kufanya hivyo, tutaendelea kukandamizwa hadi mwisho wa dahari.

Tafakari, chukua hatua!

-------
Mwananchi (Juni 14)

Vyama vya upinzani vikiingia madarakani vitachukua hatua gani ya kupunguza kodi??? Au unatutaka tuindoe madarakani serikali ya CCM lakini huko mbele tusijue kutakuwa na nini? Unataka kutuhamasisha kama ilivyokuwa enzi za uhuru kisha tukahamakika (tukahamasika) kumng'oa mkoloni lakini tusijue akiondoka nchi tutaiendeshaje? Unataka kutusababishia matatizo bila ya kutupa ufumbuzi wa matatizo hayo? Tueleze sasa......kamba vyama vya upinzani kwa mfano mishahara itakuwa shilingi ngapi? Ukabila utashughulikiwaje, ubaguzi wa kikabila utashughulikiwaje, mikataba itakuwaje na uchumi utakuwaje na wao watatumia mbinu gani tofauti na zilizopo katika kumkwamua mtanzania kutokana na ujinga (kama huu wa kushabikia kitu usichokijua) na umasikini? Wao wakiingia watatumia sarafu gani? hii ya sasa ama watatumia dola? Na maswali mengi tu. Wajibie ama jibu wewe mwenyewe hapa JF ili tuwe na uhakika.
 
The current rates and the proposed rates are as follows as extracted from the budget attached;

Current Rates TOTAL INCOME
TAX RATES
Where total income does not exceed 2,040,000
NIL
Where total income exceeds Tshs. 2,040,000 but does not exceed Tshs. 4,320,000/=
14% of the amount in excess of Tshs. 2,040,000
Where total income exceeds Tshs. 4,320,000/=but does not exceed Tshs. 6,480,000/=
Tshs 319,000/= plus 20% of the amount in excess of Tshs. 4,320,000/=
Where total income exceeds Tshs. 6,480,000/=but does not exceed Tshs. 8,640,000/=
Tshs. 751,200/= plus 25% of the amount in excess of Tshs. 6,480,000/=
Where total income exceeds Tshs. 8,640,000/=
Tshs. 1,291,200/= plus 30% of the amount in excess of Tshs. 8,640,000/=

Proposed Rates TOTAL INCOME

TAX RATES
Where total income does not exceed 2,040,000
NIL
Where total income exceeds Tshs. 2,040,000 but does not exceed Tshs. 4,320,000/=
13% of the amount in excess of Tshs. 2,040,000
Where total income exceeds Tshs. 4,320,000/=but does not exceed Tshs. 6,480,000/=
Tshs 296,400/= plus 20% of the amount in excess of Tshs. 4,320,000/=
Where total income exceeds Tshs. 6,480,000/=but does not exceed Tshs. 8,640,000/=
Tshs. 728,400/= plus 25% of the amount in excess of Tshs. 6,480,000/=
Where total income exceeds Tshs. 8,640,000/=
Tshs. 1,268,400/= plus 30% of the amount in excess of Tshs. 8,640,000/=
 
mimi nakatwa asilimia zaidi ya asilimia kumi na nne wakati mwingine inafika 380,000

unayokatwa zaidi ya 18% ni PAYE au NHIF??,pia kufika 380,000 haimaanishi kwamba unakatwa zaidi ya 18%,kinachoangaliwa je unaearn sh ngapi kwa mwez?unadhan mtu anaepata 15m kwa mwez kodi yake itakua sh ngap?ni lazima itakua kubwa kuliko yule anaepata 1m!
 
hiyo yako ni 24.93%!!kimsingi kodi ni 14% na kwasasa imetangazwa itashuka hadi kufikia 13%!,ww km ni kweli kwenye salary slip yako unakatwa pesa hiyo uliyoitaja km kodi ya mshahara yaan pay as u earn basi utakua unaibiwa!!!je km kodi tu unakatwa 640,je NHIF?mfuko wa hifadhi ya jamii?chama cha wafanya kazi?

Nadhan utakua umechanganya makato yote manne ukaweka hapo ukidhani ndio kodi!!!,km vp weka salary slip yako hapa tuone!!

Kwa kawaida jumla ya makato yote yanayokatwa kwa mujibu wa sheria ukiachilia mbali madeni, huwa ni kati ya 19% na 20.03% zaidi ya hapo unaibiwa.....!!!!
 
kwa kawaida NHIF ni 03% of ur salary,so km salary yako ni 2,600,000 then NHIF ni sawa na 78,000 hakuna tatizo hapo!, ila tatizo lipo pale kwenye PAYE ambapo umeadai unakatwa zaidi ya 640 ambayo ni sawa na 24.93%,tangu nianze kua afisa utumishi ndo kwanza nikutane na ww mwenye kukatwa asilimia 25 kodi!!!,na ww umebweteka tu ilhali ukijua unatakiwa ukatwe 14%!!???

Umedai huwez kuweka salary slip yako eti utajiexpose mbona tayari umeshajiexpose kwa kututajia kua salary yako ni sh 2,600,000?au kwenye salary slip kuna kipi cha kukificha zaidi ya basic salary yako?

Nimegundua ww ni muongo!!!

Tafadhali nitumie private message nikupatie contact zangu, unaweza saidia hapo
 
Kwa kawaida jumla ya makato yote yanayokatwa kwa mujibu wa sheria ukiachilia mbali madeni, huwa ni kati ya 19% na 20.03% zaidi ya hapo unaibiwa.....!!!!

hapana mkuu umechemka kidogo!mtumishi anakatwa makato aina 4 zifuatazo!,pay as u earn yaan kodi 14%,mfuko wa hifadhi ya jamii i.e PSPF,PPF,LAPF nk 05%,bima ya afya ambapo kwa watumishi wa umma ni NHIF 03%,chama cha wafanya kazi mfano TUGHE,CWT nk 02% japo sio lazima kuwa memba wa chama cha wafanya kazi!!,so ukijumlisha hayo makato manne jumla unakatwa 24% ya salary yako!!jumlisha vzr mkuu!!
 
Tafadhali nitumie private message nikupatie contact zangu, unaweza saidia hapo

yaan mwenye shida ya kukatwa kodi kubwa ni ww halafu mm ndo nkuPM???hahahaha ww unachekesha sana ndugu yangu!!,kwakukusaidia tu ni kwamba hiyo 648,000 unayokatwa kwenye salary yako ya sh 2,600,000 (km ni kweli),hiyo ni jumla ya makato yote,yaan tax 14%,NHIF ni 03%,mfuko wa hifadhi ya jamii ni 05%,chama cha wafanya kazi ni 02%,jumla kuu ni 24%,.....na 24% ya 2,600,000 ilitakiwa iwe 624,000 yaan ndio jumla ya makato yote manne!!

Ndo mana nakwambia ww ni muongo!!!!
 
Unajua mtu kama huna exposure ni bora tu ukae kimya badala ya kutia watu hasira humu. Wengine wanajiita maafisa utumishi (kizazi cha viazi) huku hawajui hata serikali inakataje PAYE. Mie binafsi nakatwa 25.2 % of my basic salary, sina haja ya kueka salary slip maana kama wewe ni kizazi cha viazi bado utabisha tu/
 
[TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD][TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD]Gross
[/TD]
[TD] 2,600,000.00[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD]NHIF
[/TD]
[TD] 78,000.00[/TD]
[TD="align: right"]3%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD]TUCTA[/TD]
[TD] 52,000.00[/TD]
[TD="align: right"]2%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD]SOC.SEC[/TD]
[TD] 130,000.00[/TD]
[TD="align: right"]5%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD]Taxable Amt[/TD]
[TD] 2,340,000.00[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD]Tax[/TD]
[TD] 107,600.00[/TD]
[TD]Lower bracket Tax[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD] 486,000.00[/TD]
[TD]Above 720,000....inapigwa 30%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD]Totoal Tax[/TD]
[TD] 593,600.00[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 505"]
[TR]
[TD]Net Pay[/TD]
[TD] 1,746,400.00[/TD]
[TD]Total Tax Percentage 23%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kwa kawaida NHIF ni 03% of ur salary,so km salary yako ni 2,600,000 then NHIF ni sawa na 78,000 hakuna tatizo hapo!, ila tatizo lipo pale kwenye PAYE ambapo umeadai unakatwa zaidi ya 640 ambayo ni sawa na 24.93%,tangu nianze kua afisa utumishi ndo kwanza nikutane na ww mwenye kukatwa asilimia 25 kodi!!!,na ww umebweteka tu ilhali ukijua unatakiwa ukatwe 14%!!???

Umedai huwez kuweka salary slip yako eti utajiexpose mbona tayari umeshajiexpose kwa kututajia kua salary yako ni sh 2,600,000?au kwenye salary slip kuna kipi cha kukificha zaidi ya basic salary yako?

Nimegundua ww ni muongo!!!

Usiwe mwepesi wa kuhukumu. Kama kweli wewe ni afisa utumishi halafu unabisha bila utafiti, then you have a long way to go in your career. Angalia hii
SS.JPG

cc: Abdulhalim, Fugwe, Nzowa Godat
 
Usiwe mwepesi wa kuhukumu. Kama kweli wewe ni afisa utumishi halafu unabisha bila utafiti, then you have a long way to go in your career. Angalia hii
View attachment 97568

cc: Abdulhalim, Fugwe, Nzowa Godat
Ila kimsingi nimeamua kuacha kazi maana sijui hiyo 25% yangu inaenda wapi na sijaona sababu ya msingi kwanini nikatwe zaidi ya 30% ya mshahara wangu kwa lazima!
 
Jamani ni kwamba kila mtu anakatwa kadri anavyoearn,the more u earn the more the deduction,so mtu unaepata 2,600,000 ni haki yako kulipa hiyo 25% km kodi ya mshahara,kuna watu wanalipa kodi mpaka 30%!!!!so ndo hivyo jamani!!hii 14% ni kodi ya chini wanayokatwa wenye mishahara Midogo!!sorry nlichanganya madesa
 
Unajua mtu kama huna exposure ni bora tu ukae kimya badala ya kutia watu hasira humu. Wengine wanajiita maafisa utumishi (kizazi cha viazi) huku hawajui hata serikali inakataje PAYE. Mie binafsi nakatwa 25.2 % of my basic salary, sina haja ya kueka salary slip maana kama wewe ni kizazi cha viazi bado utabisha tu/

upo sahihi mkuu,na kuna watu wanakatwa mpaka 30%!!ndo hivyo ndugu!
 
Back
Top Bottom