hata wasingeongeza mishahara na kupunguza kodi lait inflation ingekuwa chini tusingelalamika mbona ben alikaa miaka 10 bila kupandisha mshahara na maisha yakaenda? na mfumuko wa bei ulikuwa chini ndio mazara ya kuchangua kiongozi kwa kuangalia sura kwa kuwa mshikaji alikuwa akionyesha sura ya upole na unyeyekevu huku akianguka majukwanii watu wakamuhurumia wakampa chance ndio matokeo yake sasa hayo