Punyeto inavunja ndoa yangu

Asante kwa ushauri...mpk sasa nimepiga mala moja..
 
Mazoezi ndiyo mkombozi wako! Kijana wa umri wako unakuaje na kilo hizo?,kama huna muda wa kwenda gym nunua machine ya kukimbia weka home weka nia kila asubuhi na jioni utapata matokeo chanya.... nyeto oyeee😃😃
 
Kubali kuuchosha mwili kila siku through mazoezi, unatakiwa upunguze kilo hizo, kijana 28 una kg 93 [emoji848] kuuchosha mwili kutakusaidia upunguze kasi ya kupuchuka.

Ila kusema kwamba utaacha siku moja tu hilo sahau, itakuchukua mda kidogo [emoji16] [emoji16]
 
Jomba umekua ng'ombe??pungua kwanza halafu nyeto sio nzuri utaitwa shabiki wa Alikiba sio mda
 
Aisee imekuwa uraibu sasa, nakushauri fanya toba ya kweli halafu funga hata mwezi mzima, sali sana hilo ni pepo limekuvaa mkuu.
 
Acha kuangalia punyeto,fanya mazoez acha kula fast food,acha kutumia energy drink acha kutumia soda au soft drinks pia achana na ngano,jiepushe na vishawishi vya ngono na vichochez vya hiyo nyeto ,kaa mwezi mmoja bila kusex ukifanya hivyo utakuwa mwanaume tena.
 
Limtu kama hili utegemee akizeeka atakua na busara kweli?
 
Kwa huu uandishi wa kuweka Sifuri sehemu ya O Bora nyeto ikuue tu
 
Kadiri siku zinavyokwenda mbele wanaume marijali tunazidi kupungua
 
Marijali hatutumii kilevi cha aina yoyote tunajilinda tunakula vyakula vya asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…