Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 517
- 1,045
Malaya hana love wewe Malaya anataka pesa kifo Cha mende kojoa haraka uende ukichelewa anakuzingua love aitoe wapi wakati anatiwa na kila mwanaume ?Usiwaite Malaya Waite “Love Experts”
Ni kweli kabisa unachokiongea maana Kuna mmoja wao pia alikiri baada ya kuacha muda mrefu punyeto siku akaota anapiga punyeto na wazungu wakatoka kama kawaida .Chanzo ni wet dreams utakaa kwa kujibana wee nisipige ngwese nisijichukulie sheria mkononi Ila wet dreams huwezi ikimbia lazima tu wajusi watoke huko ndani yaan lazima upizi utake usitake, umelala unashangaaa wajusi walipotokea kuangalia umelowesha mashuka Qmanyoko
watu tunajali sana muda na pesa 😂[emoji23][emoji23]Ila Ina side effects kubwa kuliko kutumia hiyo 3000
Demu wa hivyo hayupo labda um-book Malaya wa kumlipa kila unapojisikia,Kuwa na demu wa kudumu ili ukiwa na nyege unapiga anytime.
Halafu inatakiwa ujue kuwa Kuna matatizo yanatatuliwa kwa kuongezea tatizo jipya,Kama mada inavyosema punyeto ni Gereza na Haina mlango wa kutokea.Punyeto ni kitendo Cha kujisisimua sehemu zako za Siri Kwa kujishika shika mpaka kufika kileleni.
Nimekuja kugundua ni Vijana wengi walioathirika na tatizo hili na kibaya zaidi wameshindwa kuacha hii tabia.Wengi wao wamejaribu kuacha lakini wamejikuta mara Kwa mara wameanguka Tena na Tena.Zifuatazo ni baadhi ya maneno ya shuhuda za watu waliojaribu kuacha punyeto;
Mtu wa;
1 “Yaani sijui kama nitaweza kuacha”
2 “Miaka mitano sasahivi na sijui lini itakuwa end”
3 “Huwa Kuna wakati najiwekea Hadi tarehe kwamba kuanzia siku Fulani naacha lakini ikipita tu hiyo siku the following day najikuta Natamani kupiga punyeto najaribu kujizuia lakini nashindwa”
4 “Huwa hamu ikinipata napiga Hadi magoti kusali lakini Bado najikuta nimeanguka”
5 “Sidhani kama ntaacha sahivi nimepunguza”
6 “Huwezi ukaacha punyeto Mimi nilijaribu nimeshindwa”
7 “Huwa kabla sijaacha najiambia napiga ya mwisho alafu sipigi Tena zikipita wiki Tatu tu najikuta nimerudi kwenye anguko langu”
Shuhuda Kwa wanandoa waliooa
Mtu wa;
1 “Sisikii raha yoyote nikifanya mapenzi na mume wangu nashindwa kuelewa raha ya mapenzi”
2 “Nikimgusa mke wangu kuanza kumuandaa nina ejaculate hapo hapo na nikiendelea sichukui dakika mbili namaliza na siwezi simamisha tena”
3 “Nimetumia muda mrefu Sana kuacha punyeto lakini nilivyoingia kwenye ndoa nikajikuta Sina nguvu za kiume na kukojoa natumia dakika 2 tu na uume unalala kabisa nimetumia dawa nyingi lakini Bado hazijanisaidia mpaka mke ameniacha”
4 “Sina mtoto naona nishaadhirika”
PUNYETO NI MBAYA SANA NA KIBAYA ZAIDI YAWEZEKANA LABDA HAMNA TIBA KILA MTU ALIEPO KWENYE HILI GEREZA HAONI MLANGO WA KUTOKEA NI GIZA TU MBELE YAKE
KATAA PUNYETO
KATAA KUJICHUA
WANAWAKE NI WENGI
WANAUME NI WENGI USIJUCHUKULIE SHERIA MKONONI
Utakimbia nyeto Ila wet dreams huwezi ikimbia yaan utalowesha mashuka km kawaidaNi kweli kabisa unachokiongea maana Kuna mmoja wao pia alikiri baada ya kuacha muda mrefu punyeto siku akaota anapiga punyeto na wazungu wakatoka kama kawaida .
Wewe unasema hivyo ukiulizwa Ibara ya 136 & 137 pamoja na ile Ibara ya 35 za Katiba zinahusu nini huna Cha kujibu zaidi ya kutumbua macho tuhawa ndio vijana taifa linawategemea hapo baadae wako hoi kutwa nzima wanapiga migalala na wengine mashoga!
Bora CCM waitafune nchi mpaka ibaki magofu maana hakuna matumaini.
Ndio nimemwambia ukitaka kuacha book Malaya unaemudu (asiwe Shangazi) wa kumtia kila wiki, kuanzia hapo sahau kuhusu nyeto km huwezi kuoaHivi mjini kuna mwanamke wa bure? Watafute hela kabla ya kuacha nyeto
kwa hiyo adi kwenye kula ban mnaleta connection 😀Wapi ? 😅
ILijitype tu
Na comments km hizi zinathibisha wanaume wanapiga nyenze Ila usilolijua wanawake ndio wanaoongoza kwa kupiga nyenze kuliko wanaume,Hakujawahi na wala haitotokea kuwa na mgonjwa wa punyeto
Ndio kwisha habari yako tena wewe huna chako tenaSasa ukikatwa mboooo ukitaka kutomba utombee gugubolo?
Yeaaah ni nyeto bebiiPunyeto☹️
Sina konekshen mkuu though nitarud october kama nilivyosema. Saa 6 ikifika nitakua nje rasmi kutimiza ahadi yangu. Uungwana ni vitendo sio manenokwa hiyo adi kwenye kula ban mnaleta connection 😀
Masterbating to porn hiyo ni rahisi kuacha.Kuangalia porno na hawa wanawake wetu wanaotuvalia nusu uchi ndio tatizo linafanya wapiga nyeto washindwe kuacha
Hawa Wanawake nao ni kama mashetani yanavaa UCHI ukiyatongoza hayataki kukubali.Mtu anavaa kama Malaya lakini hataki kusikia habari za kimalaya.Na comments km hizi zinathibisha wanaume wanapiga nyenze Ila usilolijua wanawake ndio wanaoongoza kwa kupiga nyenze kuliko wanaume,